Leo nimewaza na kuwazua, sikupata jibu: dola ni nini?
Je, ni mkusanyiko wa viongozi na wananchi au ni viongozi peke yao?
Kazi ya dola ni nini? Kujilinda au kulinda wengine?
Wajibu wa raia kwa dola ni nini—kuitii, kuiogopa na kujinyongesha au kuna namna nyingine?
Au dola ndiyo majeshi, au majeshi ndiyo dola? Kipi kipo juu ya kingine kati ya dola na majeshi?
Naombeni jamani mods msiufunge huu uzi, tupate majibu.
Kuna mahusiano gani kati ya mamlaka ya dola na taifa?
Kipi muhimu zaidi kulinda mamlaka ya dola au nchi yenyewe?
Hivi ni nani kiongozi mkuu wa dola, na je huyo huyo ndiye anayeongoza nchi, au anaongoza dola tu na nchi haina kiongozi?
Hebu tujadiliane: ulinzi imara upo kwenye mamlaka ya dola au kwa nchi?
Kama ni nchi, mbona zinaingizwa silaha za kuvuruga amani ya nchi lakini dola inaendelea kuwa imara?