serikali

  1. JamiiForums Tanzania VIDEO: Katibu wa Kanda ya Pwani Chadema atema cheche dhidi ya CCM na serikali yake

    Katibu wa Kanda ya Pwani Chadema, Hemed Ally, ametema zake cheche hizo mbele ya wananchi huko Bagamoyo. Msikilize....
  2. JamiiForums Tanzania Serikali kuja na tuzo kwa wasanii

    Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo imeanza mchakato wa kuandaa tuzo kwa wasanii ambazo zitajumuisha sekta zote ndani ya wizara hiyo ikiwemo habari, utamaduni, sanaa na michezo. Akizungumza na TBC katika kipindi cha Serebuka, Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya...
  3. J

    JamiiForums Tanzania RC Chalamila avunja mkataba wa Serikali na JWTZ wa ujenzi wa ofisi za halmashauri za Busokelo

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya Albert Chalamila amevunja mkataba wa ujenzi wa jengo la halmashauri ya Busokelo mkoani Mbeya kati ya serikali na kampuni ya JWTZ Mzinga. Chalamila amesema ujenzi huo ulioanza mwaka 2018 umekuwa ukisuasua hivyo pamoja na kwamba wajenzi hao ni chombo cha dola hawezi...
  4. P

    JamiiForums Tanzania Kwa hali ya ajira ilivyo sasa, Serikali fikirieni upya kuhusu fao la kujitoa kwenye ajira

    Kuna kundi kubwa sana la vijana wasiokuwa na ajira ama wako kwenye ajira zisizo rasmi na ajira za ujira mdogo. Hawa wote wanategemea siku moja kupata kazi zenye maslahi ya kuridhisha. Kibaya zaidi kuna watu wameajiriwa serikalini na sekta binafsi lakini sio wote walio na malengo ya kustaafu...
  5. JamiiForums Tanzania Waziri Kairuki: Serikali itaboresha Mazingira ya Uwekezaji

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji,Angellah Kairuki amesema kuwa serikali ya Awamu ya Tano,inaendelea kutengeneza Mazingira mazuri kwaajili ya Uwekezaji ili kuvutia sekta hiyo. Akizungumza jijini Arusha katika ziara yake ya kikazi ya siku mbili Kairuki alisema kuwa serikali chini ya...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali yapongezwa kwa kusimamia Uchumi imara na jumuishi uliopelekea Tanzania kuingia Uchumi wa Kati Duniani

    Chama Cha Mapinduzi kimeipongeza Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Chini ya Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kwa usimamizi wa Uchumi imara, madhubuti na jumuishi ambao umewezesha kuingia katika kundi la nchi zenye uchumi wa kati miaka mitano kabla ya wakati. Katibu wa NEC –...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Picha: Gari la serikali na mafuta ya serikali mtu anatumia shangingi hilo kwenda kulewa na kubebea malaya kwa Kodi za walala hoi

    Kuna watu wamepinda nyie acheni. Pamoja na mkwara wa waziri mkuu lakini wapi! SHANGINGI hilo, jana usiku mtu kalewa nalo chakali!
  8. JamiiForums Tanzania Serikali imefuta Tozo 163 Kuwaondolea Usumbufu Wafanyabiashara

    WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa, amesema Serikali kupitia mpango wa maboresho ya mazingira ya biashara nchini (Blue Print) imeweza kufuta tozo 163 kati ya 173 zilizokuwa zikisababisha kero na usumbufu kwa wafanyabiashara nchini. Akizungumza katika ufunguzi wa Maonyesho ya 44 ya Biashara ya...
  9. JamiiForums Tanzania Hivi Serikali inajua rushwa inayoendelea kwenye shirika la Hifadhi ya Jamii?

    Nadhani kwa sasa hawa wafanyakazi wa hilli shirika wamepiku askari wa babarani kwa kuonea watu na kula rushwa. Mtu akiwa nafuatilia haki yake atazungushwa sana ili mradi tu atoe rushwa. Kuna mama mmoja ni kati ya wafanyakazi wa DSTV walioachishwa kazi toka mwaka juzi, amefuatilia anaambiwa atoe...
  10. JamiiForums Tanzania Mvomero Morogoro: Wanafunzi wapatao 733 Wanakalia Viroba juani kutokan ana madarasa kuchakaa

    Wanafunzi wapatao 733 wa shule ya msingi Mlali iliyopo wilaya ya Mvomero mkoani Morogoro wanalazimika kukalia viroba juani kutokana na madarasa waliyokuwa wakitumia kuchakaa kisha kubomolewa tangu mwezi Februari mwaka huu. Chanzo: ITV Tanzania Mzukulu ninavyojua tu ni kwamba Maendeleo na...
  11. JamiiForums Tanzania TUNAOMBA MCHANGO WA MAWAZO YAKO: Serikali itumie mbinu gani ili kufidia muda wa likizo ya Corona na wanafunzi waweze kumaliza mitaala yao kwa wakati??

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Mimi mdogo wenu (Last Born) Infantry Soldier nipo mzima kabisa wa afya. Thanks to God the Almighty. Eti ndugu zangu watanzania; Serikali itumie mbinu gani ili kufidia muda wa likizo ya Corona na wanafunzi waweze kumaliza mitaala yao kwa wakati...
  12. JamiiForums Tanzania Serikali kusaidia wenye wake wawili

  13. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu kuongea katika mjadala wa kupinga 'JANGA' la utawala usiozingatia demokrasia 08 July 2020

    Tarehe 8 Julai kutakuwa na tukio la kujadili hali ya demokrasia kutoka kwa wanaharakati wakubwa wa demokrasia watu mbalimbali watakaoongea, ikiwemo Bob Wine wa Uganda na Tundu Lissu wa Tz Wengine watakaoongea ni Fadzayi Mahere wa Zimbabwe, Jeffrey Smith wa USA na Nic Cheeseman wa United...
  14. JamiiForums Tanzania Triple C anapiga chenga mpaka refa serikali iko kimya tu!

    Pasi alizopiga Chama peke yake ni zaidi ya pasi za Yanga nzima mechi ya Kagera sugar. Jana kabla ya kufunga goli alipiga chenga mpaka refa Ni muda wa serikali kutolea tamko suala hili
  15. JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yaitangaza Tanzania kuingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati

    Leo 1 of july 2020 Tanzania imeingia rasmi katika orodha ya Nchi zilizo katika uchumi wa kati "middle income economies " Tanzania imeweka rekodi hii haraka kuliko ilivyotarajiwa hapo awali Benki ya Dunia na taasisi nyingine duniani zimeendelea kumwaga sifa za pongezi kwa Rais Magufuli kwa...
  16. JamiiForums Tanzania Rais Mstaafu wa Tanzania, Mhe Jakaya Kikwete atunukiwa medali kwa mchango wake katika harakati za kurejesha amani nchini Burundi

    Rais wa Burundi, Mhe. Evariste Ndayishimiye amemtunuku medali Rais Mstaafu wa Tanzania, Mhe Jakaya Kikwete kwa mchango wake katika harakati za kurejesha amani nchini Burundi. Chanzo: ForeignTanzania Sisi akina Mzukulu tunaomba tuambiwe haraka kama Rais Mstaafu huyu Jakaya M Kikwete ana...
  17. E

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Madini, Dotto Biteko tunasubiri tamko la Serikali kuhusu mauaji ya wachimbaji wadogo wadogo

    Kufuatia mauaji ya wachenjuaji wapatao wanne waliokatwa mapanga huko ntambalale kahama niwakati sasa wachimbaji wapewe hadhi yao katika kazi zao kwa kupewa ulinzi ktk maeneo yao yakazi. Haiwezekani kila siku media zinawasifu wachimbaji wadogo kwa kuongeza mapato ya serikali lakini usalama wao...
  18. JamiiForums Tanzania TCRA yatolea ufafanuzi sheria ya umiliki wa laini moja iliyoanza kutumika leo

    Sheria ya umiliki wa laini moja ya simu kwa kila mtandao imeanza kutumika leo Julai Mosi 2020 ambapo ndio siku ya kwanza ya mwaka wa fedha wa serikali. Hata hivyo, Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imesema kuwa sheria hiyo haimzuii mtu kumiliki laini zaidi ya moja kwa mtandao mmoja...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Kigwangalla: Wananchi wana haki ya kuikosoa Serikali, na hiyo iko kikatiba

    Waziri wa utalii Dkt. Kigwangalla amesema wananchi wana haki ya kikatiba ya kuisema na kuikosoa serikali iliyopo madarakani. Dkt Kigwangalla amesema yeye haoni tabu kukosolewa au kutukanwa mitandaoni kwa sababu hiyo ndio siasa yenyewe. "Wizara hii hata nilipokuwa mbunge kabla sijateuliwa...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali kuacha kutumia nguzo za miti ili kuzuia ukatikaji wa umeme hasa sehemu zenye mafuriko

    SERIKALI itaachana na matumizi ya nguzo za umeme zitokanazo na miti na badala yake itatumia nguzo za zege ili kuepukana na uharibifu wa nguzo kuoza na kusababisha tatizo la ukatikaji wa umeme. Hayo yamesemwa wilayani Rufiji mkoani Pwani na Naibu Waziri wa Nishati, Subira Mgalu wakati...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…