Triple C anapiga chenga mpaka refa serikali iko kimya tu!

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,185
103,688
2444337_IMG_20200702_045911_429.jpg


83647640_1639360459556296_5585559289059379809_o.jpg


Pasi alizopiga Chama peke yake ni zaidi ya pasi za Yanga nzima mechi ya Kagera sugar. Jana kabla ya kufunga goli alipiga chenga mpaka refa

Ni muda wa serikali kutolea tamko suala hili
 
Mkuu waache kidogo..sasa hivi haja zinakuja zote..kubwa na ndogo
 
Back
Top Bottom