serikali

  1. M

    Serikali kutodhibiti idadi ya wageni wanaoingia nchini kwa kisingizio cha Utalii, inahatarisha Usalama wa Taifa dhidi ya virusi vya Corona

    Mhudumu wa uwanja wa KIA amesema katika kipindi hiki ambapo ugonjwa wa Corona Virus umepiga sana China, idadi ya watalii kutoka China imeongezeka maradufu kuja nchini. Wachina wenyewe wakihojiwa wamesema pamoja na utalii wamekuja kutafuta sehemu salama kukimbia ugonjwa huo kwao. Hii hali...
  2. Nimekosa amani mwanangu anakohoa kifua kikavu na hapati nafuu

    Ni siku kama ya tatu mwanagu wa mwaka mmoja anakohoa kikohozi kikavu na usiku anapata taabu ya kupumua. Mimi ni mfauatiliaji wa thread ya Coronavirus humu, nimekosa raha kabisa na isitoshe niko mbali nao. Yaani kila nikifuatilia habari ya wataliii Arusha natamani kulia kwa jinsi serikali...
  3. J

    Viongozi wengi wa Serikali waliotokea UVCCM wana jazba na kejeli ukiwaondoa Dkt. Nchimbi na Shigela, hii husababishwa na nini?

    Nikupe tu mifano Mwita Waitara, Salum Happi, Ole Sabaya, Kasesela, Albert Chalamila na wengine wengi tu wale manaibu waziri ukimtoa Mavunde ni full jazba. Je, sababu ni nini? Enzi za Tanu Youth League tulifundishwa namna ya kuhimili vishindo, changamoto na makandokando ya uongozi sina hakika...
  4. K

    Bila kuchelewa, Serikali ya Tanzania ijipambanue kupata uchaguzi huru na haki ili kuondoa upotoshaji

    Kwanza naomba Mods, uzi huu usiunganishwe na nyengine. Kwa siku za hivi karibuni kumekuwa na kauli mbali mbali kuhusu Madai ya tume huru ya uchaguzi Tanzania. Si vyama vya upinzani tu lakini hata wadau wa maendeleo na demokrasia wamesikika wakihimiza kwa serikali kuleta tume huru ya uchaguzi...
  5. J

    Tanzania haitasita kuizuia Zambia kupitishia mizigo yao hapa nchini

    Waziri wa biashara mh Bashunga amesema Zambia inafanya faulo katika biashara ya mahindi kwenye soko la DRC. Mh Bashunga amesema kama Zambia wataendelea na faulo zao japo wote tuko kwenye SADC basi serikali haitasita kuizuia kupitishia mizigo yao hapa nchini. Source ITV habari!
  6. Wanaotumia vitabu visivyo na ithibati ya Serikali kuchukuliwa hatua

    Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, William Tate Ole Nasha amesema serikali haitegemei kuona vitabu ambavyo havina ithibati ya serikali na ikigundulika hivyo hatua za kinidhamu zitachukuliwa dhidi ya wahusika. Hayo yalielezwa leo wakati wa uzinduzi wa usambazaji vitabu vya kiada...
  7. Simba / Serikali mdhibitini Haji Manara kabla hajaleta madhara Kwa Taifa

    We Haji Manara unapenda Sana kutania na.kukashifu wenzako lakini wewe ukitaniwa unakuwa mkali, hizo NI Double Standard. Jerry Muro.kaongea Kwa utani Tu " Haji Manara arudi kwenye kazi ya ualimu WA madrassa" wewe umefanya press conference unalalamika eti Uislamu umekashifiwa na umeenda mbali...
  8. J

    Serikali kuu ya Kenya yamnyang'anya Sonko jiji la Nairobi je jiji la DSM tunajifunza nini kufuatia sakata la Meya Mwita?

    Jiji la Nairobi limekumbwa na ufisadi uliotukuka hali iliyopelekea Gavana wa jiji hilo kuzuiwa kuingia ofisini na taasisi ya kupambana na rushwa nchini humo. Leo serikali kuu ya Kenya imetwaa uendeshaji wa jiji hilo ikiwemo usimamizi wa utoaji Huduma zote za kijamii ikiwemo elimu, afya, maji...
  9. Ili kundoa usumbufu kwa serikali na CCM, Wizara ya elimu iagizwe kuondoa topiki zinazomfanya mwanafunzi kuwa mchambuzi,masomo ya kuchagua A au B muhim

    Nimetafakari sana na kugundua kumbe ccm hii shida tunayoipata tumeitengeneza wenyewe tangu enzi za mwalimu Nyerere Kipindi cha mzee Nyerere,masomo mengi ya kuhoji mifumo yalifundishwa, na haya ndio shida kubwa kwetu Awamu ya mzee Mwinyi na Mkapa,Benki ya Dunia na mashirika ya kimataifa...
  10. K

    Ushauri kuhusu elimu bure

    Kwanza kabisa naipongeza sana Serikali kuhusu dhana ya Elimu Bure kuanzia elimu ya msingi mpaka Sekondari LAKINI kuna changamoto zinazotakiwa kuangaliwa kwa umaakini sana. Kwanza fedha inayotolewa kwenye shule ni kidogo sana. Leo asubuhi nimesikia kule Shinyanga katika Shule mmojawapo wanapewa...
  11. Erick Kabendera aachiwa huru baada ya kukiri makosa na kufutiwa shtaka

    Wakuu, Huenda Kabendera akawa huru leo baada ya Hati ya Mashtaka kufanyiwa marekebisho. Baada ya Erick Kabendera kukubali makosa, Upande wa Serikali wamemsomea Mashtaka Rasmi. Mashtaka hayo ni pamoja na Uhujumu Uchumi pamoja na Kukwepa Kodi baada ya kosa la kuongoza Genge la Uhalifu...
  12. Sudani Kusini: Rais Kiir na Mpinzani wake, Riek Machar wakubali kuunda Serikali ya Muungano

    Rais wa Sudan Kusini Salva Kiir na Mpinzani wake Riek Machar wamekubaliana kuunda serikali ya muungano kufikia siku ya Jumamosi kama walivyokubaliana. Hatua hiyo inafuatia mkutano uliofanyika katika Ikulu katika mji mkuu wa Juba siku ya Alhamisi. Rais Kiir ameahidi kuwalinda viongozi wa...
  13. S

    Bayport: Majambazi yanayolindwa na Serikali?

    Ndugu Watanzania wenzangu ni nani anayeilinda kampuni ya Bayport Financial services. Taasisi hii imelalamikiwa muda mrefu mpaka malalamiko kutinga bungeni lakini bado ipo na inawaibia, kuwadhulumu watanzania hasa walimu wa nchi hii. Mimi ni mwalimu niko mkoa wa Simiyu wilaya ya Itilima niliwahi...
  14. Al-Shabaab waendelea kuwa mfupa mgumu kwa serikali ya Kenya

    Kitendo cha serikali ya Kenya kuwahamisha waalimu wote ambao sio wazawa/waisilamu kutoka kaunti za Mandera na Wajir na kaskazini mashariki mwa Kenya kutokana na kushindwa kuwahakikishia usalama wao kwasababu ya kulengwa na Alshabaab, ni dalili za wazi kwamba GoK imesalimu amri mbele ya...
  15. Kampeni za kujiandikisha na kuboresha daftari la wapiga kura: Kutakuwa na uchaguzi au ni yale yale ya serikali za mitaa?!

    Wakati wa uchaguzi wa serikali za mitaa mwaka jana watu walihimizwa kwenda kujiorodhesha kwaajili ya uchaguzi huo. Baada ya kujiorodhesha kukatokea kituko cha karne ambapo wagombea wa upinzani zaidi ya asilimia 99 waliondolewa kwenye kinyang'anyiro na wale wa chama tawala kutangazwa kuwa...
  16. Serikali yaagiza wanaotoza fedha za nguzo za umeme kwa wananchi wakamatwe

    Waziri wa Nishati wa Tanzania, Dk Medard Kalemani ameagiza makandarasi au mameneja wanaolazimisha wananchi kulipia nguzo za umeme ili kuunganishiwa nishati hiyo kukamatwa. Amesema watu hao wanapuuza agizo la Serikali inayotaka nguzo hizo kutolewa bure. Ametoa ufafanuzi huo Februari 15, 2020...
  17. T

    Mfanyakazi wa Serikali mmoja huku Idukilo kasema kwa masikitiko bado anatumia mshahara wa enzi za Kikwete

    Ameongea kwa masikitiko sana sana kuwa ameshindwa kutoa rejesho la mkopo niliomkopesha wa shilingi laki 3 kwa sababu mshahara anaoutumia mpaka sasa ni wa wakati wa JK haujapanda na wakati maisha yamekuwa magumu mno. Nikamwambia lkn vipi mbona watoto wenu wanasoma bure, huoni kama mmesaidiwa...
  18. R

    Natarajia kufungua shauri la kikatiba kuhusu Ibara ya 46(3) Inayoenda kinyume na ibara 13(1) katika mahakama Kuu ya Tanzania

    Habari wanabodi? Heri ya siku ya wapendana nao. Ni matumaini yangu kwamba wote hamjambo humu ndani. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Ni kwamba mwishoni mwanzoni mwa mwezi wa tatu natarajia kupeleka Shauri mahakama kuu ya Tanzania kuhusu uhalali wa Ibara ya 46(3) ya Katiba ya...
  19. Uchumi wa Serikali ya Rais Magufuli kichekesho cha karne

    Aliingia madarakani mwaka 2015 na kwa mjibu wa TRA toka kipindi icho anakusanya 1.3 trion *50 miezi aliyokaa madarani. amekusanya trion 65. Na kakopa zaidi ya trion 25 jumla ni trion 90 Wakati huo. Kapunguza mikopo ya watoto chuo kikuu, wanafunzi bado wanakaa chini, ajira za walimu hakuna...
  20. Kwa hili la homa ya Ini, Serikali haiko makini na afya za raia wake. Raia wote wangepatiwa chanjo bure

    Kuna muda unashindwa kuelewa kama viongozi waliopo madarakani wapo kwa maslahi ya wananchi na Taifa hili kwa moyo wa dhati, leo asubuhi vyombo vingi vya habari ikiwemo magazeti wameandika na kuzungumzia usambaaji wa kasi wa hii homa ya Ini. Homa ambayo watawala hawajaichukulia kwa uzito wake...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…