serikali

  1. JamiiForums Tanzania Tutaponea wapi sisi Watanzania baada ya Serikali kututupa mkono? Airtel nao washusha kiwango cha Data

    Watanzania kama ilivyo ada tumekuwa wanyonge mpaka basi. Tumekubali kukamuliwa kila sehemu na Serikali imeamua kuendelea kutunyonya mpaka damu. Kifurushi cha Airtel cha Tsh 1,000 kwa GB 1 nacho kimepunguzwa. Sasa ni MB 500 kwa tsh 1000 ndani ya siku 3. Tunajua Serikali nayo inafaidika na...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Msemaji wa Serikali: Tanzania haijawahi kusema haijawahi kuwa na Virusi vya Corona, hatujadharau chanjo

    Msemaji wa Tanzania Dkt Hassan Abbas amesema Tanzania inakabiliana na janga la corona kwa kutumia dawa za asili. DKt Abbas alimwambia mwandishi wa habari wa BBC,Salim Kikeke kuwa Tanzania haitapuuzia chanjo iliyokubalika kimataifa kuwa salama kutumia kama kinga. Pia Ameeleza kuwa hakuna ambaye...
  3. JamiiForums Tanzania Kituko cha mwaka - Wananchi wa Vunjo wamtuma mwakilishi wao Bungeni kuomba kupewa rasmi ardhi na Serikali ili kufanya makazi mapya

    Yaani Mbunge wa Vunjo mwenye PhD anamwomba Waziri wa Ardhi awapatie Wachagga wa Vunjo ardhi kwingineko katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Sababu ni ili walime kwani kwao wamegawana ardhi kwa mila zao na kujikuta na vipande vidogo sana ambavyo mtu hawezi kulima. Eti wamesongamana, si...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Mganga Mkuu wa Serikali, Prof. Makubi: Wananchi chukueni tahadhari za kujilinda na kuwalinda wengine dhidi ya magonjwa, msisubiri matamko

    Mganga Mkuu wa Serikali Prof Abel Makubi amewataka watanzania kuchukua tahadhari dhidi ya magonjwa ya kuambukiza na yasiyoambukiza kadhalika wajikinge wenyewe na kuwakinga wengine. Makubi amesisitiza kuwa hizi siyo nyakati za kusubiri matamko wakati unaona kabisa mbele kuna nyoka, jiongeze...
  5. JamiiForums Tanzania Viongozi acheni utani wa maisha ya raia wenu, chukueni hatua za haraka kabla nchi haijageuka kuwa graveyard

    Mwaka jana tuliishinda corona kwa sababu zifuafazo: 1. Serikali ilikuwa mstari wa mbele kusimamia mapambano ya corona 2. Kulikuwa na taskforce inayoshughulika na wagonjwa wa corona. Kama mgonjwa yuko nyumbani mlikuwa hamruhusiwi kumsafirisha ila mnapiga simu anafuatwa nyumbani ili kuepusha...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali yafuta shughuli za Nanenane mwaka 2021

    Waziri wa Kilimo wa Serikali ya Tanzania, Profesa Adolf Mkenda ametangaza kusitisha shughuli zote za maonyesho ya Nanenane zilizokuwa zifanyike mwaka huu. Akizungumza leo Jumatano Februari 10 2021 bungeni Jijini Dodoma, Profesa Mkenda amesema fedha zote za umma bila kujali ni za wizara gani...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Serikali na Wizara ya Afya ninaomba "FUKIZA KILA KAYA", kampeni maalumu ya kutokomeza magonjwa ya milipuko

    Tunaona nchi mbalimbali zikizalisha chanjo za magonjwa ya Corona na kuwagawia wananchi wake na kuuza kwa mataifa mengine. Sisi nasi tumezalisha Tiba za magonjwa kama hayo na tunaona kwenye mitandao ya kijamii waliozitumia wakizisifu. Ni kwa bahati mbaya sana dawa hizi zinapatikana kwa shida...
  8. J

    JamiiForums Tanzania DC Gondwe: Serikali hairidhishwi na kasi ya Ujenzi wa mradi wa Mwendo kasi (BRT)

    Mkuu wa wilaya ya Temeke Godwin Gondwe amesema serikali ya Rais Magufuli hairidhishwi na kasi ya mkandarasi katika mradi wa ujenzi wa miundombinu ya mwendo kasi wilayani Temeke. Gondwe amempa miezi mitatu mkandarasi huyo kupeleka mpango kazi wa ujenzi huo ofisini kwake. Source ITV habari...
  9. JamiiForums Tanzania Nape: Ukusanyaji wa kodi ni taaluma ila Serikali imeacha kutumia wenye taaluma inatumia task force ambao kazi yao ni kuua biashara tu

    Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amesema kuna changamoto kubwa ya biashara nyingi kufungwa na hili ni kutokana na Serikali kutotumia Wanataaluma katika kukusanya kodi. Mafanikio yanayofurahiwa sasa kwenye mapato ni ya muda mfupi lakini itafika wakati hakutakuwa na cha kukusanya. Asema...
  10. JamiiForums Tanzania Bajeti ya Serikali na mpango wa maendeleo wa Taifa kwa mwaka 2021/22: Serikali inatarajia kukusanya na kutumia jumla ya Sh. trilioni 36.26

    SERIKALI imesema katika mwaka wa fedha 2021/22 inatarajiwa kukusanya na kutumia Sh. trilioni 36.26, sawa na ongezeko la asilimia 4.0 ya bajeti ya mwaka 2020/21 ya Sh. trilioni 34.88. Maeneo ya kipaumbele mwaka huu ni kuchochea uchumi shindani na shirikishi, kuimarisha uwezo wa uzalishaji...
  11. J

    JamiiForums Tanzania Wananchi Chunya wamwambia RC Chalamila wagonjwa wanaotapika damu wako 22, RC aagiza wapelekwe hospitali ya Rufaa

    Mkuu wa mkoa wa Mbeya Chalamila na mbunge wa Chunya wamezuru kijiji cha Ifumba wilayani Chunya kupata taarifa za ugonjwa usiojulikana. Wananchi wamesema ugonjwa huo ni kweli upo na umeshaua watu zaidi ya 30 na kwa sasa kuna wagonjwa 22 ambao wamelazwa na wengine wanaugulia majumbani. Ndipo...
  12. JamiiForums Tanzania Kuendelea kushuka kwa Utalii: Serikali yaombwa kuangalia upya tozo zilizowekwa kwenye Hifadhi

    Wakati Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo akiomba Serikali ipunguze tozo za kuingia katiba hifadhi ya wanyama ya Serengeti, Spika wa Bunge Job Ndugai naye amesisitiza ombi hilo akiitaka Wizara ya Maliasili na Utalii kuangalia viwango vyao kwani grafu ya utalii inashuka. Hata hivyo, Waziri wa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Serikali mulikeni haya matumizi ya energy drink!

    Nipo mkoa fulani kwa miezi kadhaa sasa. Nimeshangazwa na matumizi makubwa ya energy drink, husasani kwa vijana. Kuanzia za Mo hadi Azam. Sielewi chanzo cha matumizi haya ni nini. Nafikiri Serikali inatakiwa kuelimisha bayana madhara ya hivi vitu! Jana nimesoma maelezo kwenye chupa moja kuwa...
  14. JamiiForums Tanzania Napendekeza: Iwe ni lazima kutembelea Chato National Park

    Katika hali ya kumuunga mkono mh Rais na jitihada zake za maendeleo nashauri iwe ni lazima kwa wafanyakazi wa Serikali angalau kwa mwaka mara moja wawe wanatembelea Burigi - Chato National Park ili kuhamasishana katika Utalii wa ndani. Pia na shule za sekondary nazo kwa mwaka ziwe zinatembelea...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Kwa haya mambo mawili Serikali imepigwa mweleka

    Salamu wanajamvi! Niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna mambo mawili ambayo kwa mtazamo wangu serikali ni kama imepigwa KO! Au unaweza kusema imepigwa mweleka kabisa. La kwanza ni kuhusu ajira kwa vijana. Tangu mwaka 2016 serikali haija ajiri vijana wanao hitimu vyuo vikuu na vyuo vya kati...
  16. B

    JamiiForums Tanzania Corona: Afrika CDC yaipa onyo Serikali ya Tanzania

    Mabibi na mabwana, hatimaye tuko hapa sasa: Afrika CDC imeionya Serikali ya Tanzania kuhusu namna inavyoshughulika na corona. Kwa mujibu wa matangazo ya DW mchana huu, Afrika CDC imeionya Serikali ya Tanzania kuwa kwa namna hii na hili la kutotoa takwimu za ugonjwa huu, Tanzania inaliweka bara...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Serikali iandae sherehe kubwa kuadhimisha miaka 100 ya kuzaliwa kwa Mwalimu Nyerere

    Hakuna chembe ya shaka, Mwalimu Nyerere alikuwa zawadi kubwa ambayo Mwenyezi Mungu alitupa sisi Watanzania na Afrika. Tarehe 13 April mwaka 2022 Mwalimu atatimiza miaka 100 tangu kuzaliwa kwake. Bado mwaka mmoja na miezi michache Hii ni fursa nzuri sana ya kumuenzi Mwalimu, na kuitangaza nchi...
  18. JamiiForums Tanzania Wanaotaka dawa za kienyeji (asili ) zitolewe kwenye hospitali za Serikali ni vema wakaruhusu pia kupiga Chale na ramli

    Maadam tumeamua kwa kauli moja kuirejesha nchi yetu kwenye zama za mawe na ujima ( God must be crazy ) , basi ni vema tukaruhusu na msingi mkubwa wa miti shamba hiyo ambao ni uchawi na ushirikina , ramli na kupigana Chale . Hii itasaidia wachawi wengi wa Sumbawanga na kwingineko nchi nzima...
  19. E

    JamiiForums Tanzania Barua ya wazi kwa Serikali yangu: Misallocation of employment inasababisha upungufu wa ajira Tanzania

    Naomba nirejee kwenye mada moja kwa moja. Kuna watumishi wanapangiwa vituo vya kazi na serikali alafu wanavikimbia na kuhamia private tena bila taarifa. Watu hao wanasababisha misallocation of employment, jambo ambalo linaongeza upungufu wa ajira inchini. Kama watumishi hao wangebakia...
  20. JamiiForums Tanzania Serikali inavyowakomoa walimu

    Baada ya kuelezea 'scenario' ya jana rafiki yangu mmoja amenitafuta. Ni rafiki yangu wa muda mrefu, lakini sikuwahi kujua sana kuhusu upande wa pili wa maisha yake. Yeye ni firstborn kwenye familia. Baba yake alifariki akiwa kidato cha 3, hivyo alipomaliza kidato cha 4 aliamua kusomea ualimu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…