serikali

  1. V

    Naunga mkono kwa asilimia mia Serikali kutoagiza Chanjo ya Corona kutoka nje

    Naiunga Mkono Serikali kwa ASILIMIA MIA isiruhusu wala kuagiza CHANJO ya Corona. Hii ni kutokana na taarifa zinazozunguka kuhusu uwezekano wa chanjo kutokuagizwa kuleta hapa nchini. Hii ni kutokana na mwenendo mzima wa hali ya Ugonjwa Duniani ambayo inaweza kutuoatia taswira ya chanjo yake...
  2. B

    Kwanini serikali isiwaombe CHADEMA iwasaidie kuzungusha bakuli kwa ajili ya ujenzi wa madarasa?

    Sio siri ninavyoona mimi CHADEMA wakizungusha bakuli kwa ajili ya ujenzi wa madarasa kila mkoa tutapata fedha za kutosha, tusikae tukaona aibu au kujifanya tunaweza, inawezekana tukubali matokeo na tuombane msamaha kama kuna sehem tumekosea na hatukujua itasababisha mengine kukwama ili tufanye...
  3. Ungependa Serikali ifanye nini kuongeza chachu ya maendeleo ya watu na Taifa?

    Natamani kuona mawazo chanya ya watanzania wakipendekeza nini kingefanyika ili kikidhi matarajio ya ndoto zao na za Taifa. Hapa tuongelee maendeleo/Uchumi, mambo ya kampeni za siasa tuweke pembeni. Kama hoja inahusu mkoa/eneo fulani litaje. Binafsi napendekeza; 1. Vijana wetu wanao maliza...
  4. Serikali ya CCM haifurahi ukiwa na kiasi kikubwa cha fedha benki, unafilisiwa kwa kupewa kesi ya Uhujumu Uchumi

    Salaam Wakuu, Nmeanza kuelewa kwanini Matajiri wengi wa Tanzania wanaficha fedha zao nje ya Nchi. Siwalaumu tena. Na kama hii hali ikiendelea, Benki nyingi zitatikisika kiuchumi kwani watu watasusa kupeleka hela. Zamani Watanzania wengi walikuwa hawapeleki fedha zao benki. Walikuwa...
  5. Uganda: Google yakataa kufunga channel ya YouTube kwa maombi ya Serikali

    Tume ya Mawasiliano ya #Uganda (UCC) iliitaka Google ifunge YouTube Channels 17 ikiwemo Ghetto TV inayomilikiwa na Bobi Wine kwa madai kuwa zilitumika kueneza machafuko yaliyotokea hivi karibuni Google wamesema huwa wanafuata sheria za nchi lakini ni lazima iwe amri ya mahakama. Maombi...
  6. Kama Kanisa linafungamana na Serikali mpaka linashindwa kukemea maovu, kuna haja ya kuendeleza Sakramenti ya Kitubio?

    Ndugu zangu wakatoliki hebu tulitafakari kanisa letu kwa hii miaka mitano namna lilivyoshindwa kukemea maovu mbalimbali yaliyofanywa na serikali je Kuna haja ya kwenda kutubu kwao Kama zamani au ndio Hawa masnichi watatuchoma na kuuza madhaifu yet kwa watesi wetu? Ukiona viongozi wa kanisa...
  7. S

    Serikali hii ya Magufuli itakuwa na ubavu wa kugomea masharti magumu ya Wachina ilhali wanataka kukamilisha miradi hii ndani ya miaka mitano?

    Binafsi naona Serikali hii mpaka sasa imeshajiweka katika mazingira magumu yatayopelekea kukubali mashariti magumu kutoka kwa mtu yoyote (wakiwemo wachina) anaetaka kuwekaza fedha zake katika kukamilisha miradi mikubwa ya awamu ya tano kama ule wa Bwawa la Umeme wa mto Rufiji na ule wa ujenzi wa...
  8. A

    Serikali pitieni upya Sera ya 'Elimu Bure', ikiwezekana ifutwe kabisa

    Ingawa ni jambo jema kwa serikali kutoa elimu bure ili kusaidia watoto watokao kaya maskini kupata elimu ya msingi lakini huu mpango unafaa kuangaliwa upya kwa sababu utekelezaji wake una hasara nyingi kuliko faida. Hasara ya kwanza: Tangu kuanzishwa kwa sera ya elimu bure, serikali imeshindwa...
  9. D

    Serikali ipige marufuku mara moja hizi pyramid schemes kama Q-NET na kamari nyinginezo kwani zinaliathiri Taifa na kuua nguvu kazi ya Taifa

    Kila uchao watanzania wanaumizwa na ghilba zilizobeba miradi hii haram kuwa watapata maisha bora! Ilianza DECI, watu wakakimbilia kama nyumbu. Hadi leo wamekuwa mafukara. Ikaja sasa Q-NET mara FOREVERLIVING, MR KUKU pia ziko kamari lukuki hivi sasa, bila kusahau MIKOPO UMIZA mitaani. Wengi...
  10. RC Kunenge: Anayejiona hawezi kwenda na kasi ya Serikali hii atupishe, akae pembeni. Watendaji mnajivuta mno

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Aboubakar Kunenge amewataka Wakuu wa Wilaya, Wakurugenzi, Wastahiki Meya, Makatibu Tawala na Wakuu wa Idara kuhakikisha wanasimamia kikamilifu majukumu yao ikiwa ni pamoja na kuhakikisha miradi yote yenye kutatua kero za wananchi inakamilika. RC Kunenge ametoa...
  11. K

    Serikali tazameni upya huduma zitolewazo kupitia e-Government kwa taasisi nyingi za Umma

    Serikali imefanya uwekezaji mkubwa sana kwenye serikali mtandao kwa kuweka e-Services kwenye taasisi mbalimbali ila zipo changamoto zinazokwamisha malengo ya mradi huu; 1. Top management wa Idara za serikali hawajui maana ya serikali mtandao na awajawahi kufundishwa au kuelimishwa kuwaondoa...
  12. Rais, Mawaziri, Wakurugenzi bado kuna shida kubwa kwenye mchakato wa uwekezaji nchini

    Baada ya kuisoma ilani ya chama tawala CCM na kusikiliza hotuba ya rais alipokua anafungua bunge watanzania wengi tuliiona nia ya dhati ya serikali yetu kuboresha uchumi kwa kiasi kikubwa haswa kwa kuhakikisha wawekezaji wanapewa support na serikali kwa kujengewa mazingira mazuri na rafiki ya...
  13. Serikali isiishie tu kukanusha madai ya wapinzani kuwa maisha yao yapo hatarini, bali iwahakikishie usalama wao

    Kumekuwa na madai mengi ya wapinzani kuwa maisha yao yapo hatarini kwa kuwa wanatishiwa maisha na "watu wasiojulikana" Imefikia hatua ya viongozi wetu wa upinzani, hususani wa Chadema, kuikimbia nchi hii na kwenda kutafuta hifadhi ya kisiasa nje ya nchi. Miongoni ya viongozi waliopata Hifadhi...
  14. K

    Siku Viongozi Wakuu wa Serikali wakifanya haya nitaamini ni Wazalendo

    1. Wakiacha kujilipa mishahara mikubwa na posho za vikao na safari, kisha kuelekeza fedha walizostahili zikatengeneze huduma za kijamii. Hakuna ukweli kwamba wao wanalipiwa nyumba, posho, mishahara na marupu rupu kibao then tuwaite wazalendo. Wao wanakula zaidi kuliko sisi? 2. Siku watoto wao...
  15. Jihadharini na utapeli wa hiki chuo wanajiita Tanzania Institute of Project Management, Serikali ichunguze hiki chuo

    Kichwa chajieleza, HiKi chuo niliwai ku-apply postgraduate course, lakini katika kufatilia nikagundua wanatoa course ambazo hazijasajiliwa na NACTE wala TCU, nikajaribu kupeleleza kwa mmoja wa staff wao ambaye naye alionyesha kuto rithika na huduma za hapo TPIM kumbe wana madudu mengi, ambayo...
  16. Madai ya TRA kukamata akaunti za Benki na hata kuchukua kilichomo, Serikali iangalie tena, huenda hiyo Mamlaka ikatumika vibaya

    Serikali hii nguvu ambayo mmeipatia TRA kuwa na uwezo wa kushirikia account za bank za wateja (wafanya biashara) na hata kuchukua pesa, muingalie, huenda hiyo nguvu (Authority) wanaitumia vibaya. Kama mnawapenda wafanya biashara na mnapenda waendelee mtawalinda 🌽🌽🌽 #Uzi tayari #maendeleo haya chama
  17. Zanzibar yaambulia Manaibu Waziri 2 katika Baraza jipya la Mawaziri

    Nimeangalia kwa umakini baraza jipya la mawaziri sijaona hata jina moja la kutoka Zanzibar. Tunaenzi vipi muungano wetu? Labda aliyeteua ana majibu sahihi lakini kwa afya ya muungano naona kama hii sio sawa. Mawaziri wote ni kutoka Tanganyika wakati Baraza ni la muungano Ina maana wajumbe...
  18. Ifike muda wahitimu wa vyuo waliokopeshwa na Serikali kusoma, walipe deni bila riba

    Habari zenu wana jamvi. Kwa muda mrefu sasa nimeangalia wahitimu wa vyuo mbalimbali waliofanikiwa kupata ajira na ambao bado wanalazimika kulipa mikopo waliyokopeshwa na serikali ili kufikia ndoto zao za elimu. Jambo ambalo mimi binafsi naliona ni jema kwa kuwa wanafanya mfuko huo uweze kuishi...
  19. V

    Semeni ukweli, kwa pisi hii, wewe ndo ungekuwa waziri wa ujenzi kipindi cha Mkapa usingemgawia nyumba ya serikali?

    Tiririkeni ya kutoka moyoni
  20. S

    Mpaka leo Serikali bado haijakamilisha kuhamishia Ofisi zake Dodoma (Makao Makuu ya Serikali)

    Ukiangalia mpango mzima wa Serikali kuhamia Dodoma mpaka mwaka huu wa 2020 ukiwa unaenda ukingoni kuna taasisi nyingi za Umma bado zinaendesha shughuli zake zikiwa nje ya makao ya serikali wengi wao wakiwa Dar es Salaam wakati mkuu wa nchi tayari yeye alishafuta makazi yake ya Dar es Salaam ...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…