serikali

  1. E

    JamiiForums Tanzania Serikali inakusanya Tshs. trilioni 211.2 kwa mwaka? Kama ni kweli basi neema yaja

    Kwa mujibu wa website ta ATE Serikali inakusanya trilioni 17.6 kwa mwezi sawa na trilioni 211.2 kwa mwaka, yaani kwa mkwanja huu hamna wasiwasi SGR itakamilika kwa wakati na bwawa la nyerere nalo hamna shida litajengwa, nimeweka kiambatanisho hapa chini https://ate.or.tz/sites/default/files/TZA...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Serikali ya Kenya yaburuzwa mahakamani kwa kukosekana uwazi mradi wa SGR

    Asasi ya Kiraia ya Okoa Mombasa ikishirikiana na Taasisi ya Uwajibikaji wa Kijamii (TISA) wameiburuza Serikali ya Kenya mahakamani kudai kuwekwa wazi kwa mikataba ya ujenzi wa Reli ya Kisasa ya Mombasa - Nairobi ya Standard Gauge Railway (SGR). Mashirika hayo mawili yanadai serikali iweke wazi...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali ishugulikie kushamiri kwa uuzwaji wa vifaa vya nyumbani ambavyo vimekwishatumika

    Ninaliona hili kwa hapa Arusha na sijajua kama Serikali inaufuatiliaji wa kujiridhisha uhalali wa kila kinachouzwa kwenye hizi yadi. Kumekuwa na masoko yanayoibuka yaliyosheheni vifaa/vyombo mbalimbali kama Majiko, Meza, Vitanda, Magodoro, TV, Feni n.k. Ningetamani kama inawezekana kuanzishwe...
  4. JamiiForums Tanzania Serikali itunge sheria; iwe lazima mmiliki wa nyumba au kiwanja kupanda miti isiyopungua minne

    Nawasalimu wana Jamvi. Mi sina mengi, lakin kutokana na mabadailiko ya kimazingira naona ni muhimu kwa serikali kuja na sheria pamoja na sera itakayo tamka kuwa kutokupambana miti ni kosa la jinai na mmiliki wa nyumba au eneo atapaswa kuwajibika. Kwa mfano kwa kwa kila nyumba au kiwanja...
  5. JamiiForums Tanzania Mulugo: Mwaka Kesho Serikali itashindwa kuwapeleka watoto Sekondari

    Naibu Waziri wa zamani wa Elimu na Mbunge wa Songwe, Philip Mulugo leo Bungeni amesema mwaka kesho serikali itashindwa kuwapeleka watoto Form one kwenye shule za serikali kwasababu mpango wa elimu bure ulianza miaka sita iliyopita hivyo watoto waliopo leo darasa la sita ni takribani 1.8 milioni...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali ya Kikwete ishitakiwe kwa kupoteza pesa za umma kupitia mchakato wa Katiba mpya

    Serikali ya awamu ya nne chini ya Mh. Kikwete ilitumia fedha nyingi (billions of Tanzania shillings) kuchakata katiba mpya. Baadaye mchakato ulipopamba moto na kugusa maslahi binafsi ya wachache mchakato ukatupwa kapuni. Pesa zikapotea, muda ukapote. Ni wakati sasa serikali ile ya Kikwete...
  7. JamiiForums Tanzania TFF, Karia na Serikali inaonekana kuihujumu Mwadui

    Kwa mtu aliyeangalia mechi ya jana lile goli la Tatu la Yanga lilikuwa Offside ya wazi kabisa. Ya wazi kabisa bila utata. Lakini Tunaona jinsi ambavyo TFF inavyoshirikiana na Yanga kuzihujumu team ndogo kama Mwadui. Mwadui jana wameupiga mwingi sana wamekuja angushwa na rushwa katika mpira...
  8. JamiiForums Tanzania Dodoma: Serikali kufunga kamera za usalama maeneo mbalimbali ili kupunguza uhalifu

    Serikali imedhamiria kufunga kamera za usalama katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dodoma kwa lengo la kupunguza uhalifu ambao umeanza kushamiri katika maeneo ya jiji hilo baada ya Serikali kuhamia Dodoma huku wimbi la watu likichagiza hali hiyo ya uhalifu. Hayo yamesemwa leo na Mkuu wa Mkoa wa...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Huduma ya LUKU imepotea tena, hatuwezi kununua umeme

    Ni masaa matano tokea system ya LUKU kupotea yaani huwezi kununua umeme Hii ni ishara mbaya kwa waziri na serikali kwa ujumla kwa hili tatizo kujitokeza mara ya pili ndani ya miezi miwili Mama samia Ebu kuwa mkali kidogo yaani nina uhakika madudu mengi yatakuja kwa utawala huu, mchwa wa...
  10. U

    JamiiForums Tanzania Serikali iwaangalie walimu wa masomo ya Sanaa (Arts)

    Ushauri tu kwa serikali yangu ya CCM,wahitu wote wa shahada na stashahada ya ualimu wa masomo ya arts. Serikali ione aibu Hawa watu imewatenga sana, na hili ni bomu ambalo siku limelipuka CCM hamtaamni. Kama hakuna umhimu wa masomo hayo Basi ni Bora kozi hizo zifutwe vyuoni kuliko...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Serikali, msibane sana uhuru wa kufuga. Si kila kitu lazima kiwe "nyara za serikali"

    Tuwacheni msamiati wa nyara za Taifa hapa Tanzania, mbona tunaposafiri roho zinatuuma, unaona watu wanafuga kanga, unaona watu wanafuga paa, swala, digidigi unaona watu wanafuga tausi, vitu ambavyo vinahitajika kutaka kuongezwa katika generation ya Mtanzania. Watz hatutaki kufuga simba wala...
  12. JamiiForums Tanzania Utitiri wa viongozi serikali una tija gani kwa Taifa?

    Nimejaribu kufikiri ni kwanini asilimia kubwa ya fedha za serikali znaishia kwenye matumizi ya kawaida, mojawapo ya sababu niliyoona ni uwepo wa utitiri wa viongozi wengi kwenye ngazi za juu hasa kuanzia wilayani na ukizingatia hawa wanahudumiwa siyo tu mishahara mikubwa bali kuna magari/mafuta...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Serikali ianzishe mfumo wa "internship" kwa Walimu wahitimu kuliko kujitolea

    Habari JF, Hakuna kitu kinaumiza kama msomi na mwalimu aliyesomea na kufuzu mafunzo ya ualimu na kwenda kufanya kazi katika shule za serkali kwa kujitolea bure Hakika hii haikubaliki, ni unyonyaji wa kiwango kisichoelezeka. Mtu kufanya kazi bure ndani ya nchi hii ni kinyume na haki za binadamu...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali isiyagawe mashamba makubwa kwa wananchi wa jembe la mkono

    Hiwezi kuanzisha kiwanda kinachotegemea wakulima wanaolima kwa kutumia jembe la mkono. Kama kuna yaliyokuwa mashamba makubwa, plantations ya wanyama, nafaka, kahawa, zabibu, machungwa, mkonge au mpira ambayo yalikuwa yanamilikiwa na serikali au wafanyabishara ni makosa makubwa kuyafuta na...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, unapoteua zingatia watumishi wa muda mrefu na wenye uzoefu serikalini badala ya kuwatoa mtaani

    Ninashauri ni wakati wa serikali kufikiria namna nzuri kufanya teuzi mbalimbali katika nafasi za serikali kwa kuzingatia uzoefu wa Kazi serikalini, uadilifu ili kutengeneza uzalendo. Kwa mfano haileti taswira nzuri kumuacha katibu wa tarafa au maafisa wameoshika nyadhifa mbalimbali ktk Idara...
  16. JamiiForums Tanzania Ni Wakuu wa Wilaya au Mabalozi wa Serikali katika Wilaya

    Naendelea kujiuliza hizi course za POLITICAL SCIENCE zinakazi gani kama tunaokoteza okoteza tu viongozi kwa kuangalia umaarufu wao! Kwann wasibebe wasomi/malecture ama watumishi wa serikali kwa nafasi hizi Zaid ya kuwajaza wauza sura,wasanii na wapiga picha na kushinda instagram muda wote...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali yatoa angalizo maambukizi mapya ya Corona

    Serikali ya Tanzania imesema kuna viashiria vya wimbi la tatu la ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya corona kuingia nchini kutokana na nchi jirani wananchi wake kuzidi kupata maambukizi ya ugonjwa huo. Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumamosi Juni 19, 2021 katika Uwanja wa...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri (Mwanayanga) Innocent Bashungwa toa kauli ya mwisho ya Serikali je, Dar es Salaam "Derby' ya tarehe 3 July, 2021 ipo au haipo?

    Katika ile Barua ya Kusimamisha Mchezo (Mechi) ilisema Serikali yako na kupitia Wizara yako ya Michezo ndiyo mliisimamisha. Siku zinakaribia na kuna Timu inasema haitocheza hadi ipewe sababu ya maana ya Kusimamisha ile ya awali. Tafadhali Waziri Bashungwa jitokeze hadharani, toa sababu ya...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali: Wahanga wa ajali wanastahili fidia, kuna uelewa mdogo wa masuala ya bima

    Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani, Khamis Hamza amesema wanaopata ajali au madhara katika Chombo cha Moto ambacho Fidia yake husimamiwa na Sheria ya Bima wanapaswa kulipwa. Ameeleza hayo baada ya Mbunge Rita Kabati kusemi abiria wengi wanaopata Ajali wamekuwa wakisumbuliwa na wamiliki wa Bima...
  20. S

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba, Mnalofanya Serikali ni ukiukwaji mkubwa wa kanuni za kodi na mnadhani Watanzania hawaelewi

    Mwigulu Nchemba, ambaye siku zote ametueleza kwamba yeye ni mchumi mbobezi aliefaulu degree yake ya uchumi pale Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kwa daraja la kwanza, anakuja kutufafanulia Watanzania kwamba serikali imefanya ufikirio saa katika suala la kodi ya laini ya simu ili isiwaumize...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…