serikali

  1. JamiiForums Tanzania Huu ndio ukweli; ajira zipo ila Serikali haina pesa za kuajiri

    Huu ndio ukweli ajira zipo ila serikali haina pesa za kuajiri na kulipa mishahara. Je, tufanyeje ili kupata fedha za kuajiri na kulipa mishahara? Nini maoni yako katika hili. Wewe ungekua ndio kiongozi ungefanyeje ili kupata fedha za kuajiri na kuwalipa mishahara hao ambao utawaajiri?
  2. JamiiForums Tanzania Wananchi kuikosoa Serikali ni haki yetu

    Nani anasema maoni pinzani,maoni kinzani yamezuiwa katika nchi hii. Matatizo ya Wapinzani IGP Sirro alikuwa anawagombeza Chadema katika Uchaguzi uliopita. Anasema Chadema walikuwa hawana heshima kwa Polisi. Tundu Lissu alikuwa anafanya kazi nzuri ya kuikosoa Serikali katika Bunge. Kashkash ya...
  3. JamiiForums Tanzania Hivi Serikali haiwezi kupima miji yote kabla ya ujenzi holela kuenea?

    Dodoma kwa sasa inaonekana imepangika kweli kweli. Kwa asilimia kubwa imepimwa, ikifuatiwa na mkoa wa Pwani lakini upande wa kuanzia Bagamoyo. Je, Serikali haiwezi kufanya hivyo kwa miji yote midogo na mikubwa?
  4. JamiiForums Tanzania Naomba udhamini wa elimu ya juu

    Wakuu, Kama kuna anayefahamu kuhusu taasisi, jumuiya au hata shirika linalojihusisha na udhamini wa wanafunzi wa elimu ya juu anisaidie nina shida ya udhamini. AHSANTE
  5. JamiiForums Tanzania TAMISEMI: Serikali kuifanyia mapitio Sera ya Zahanati kila Kijiji na Kituo cha Afya kila Kata

    Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Dkt. Festo Dugange amesema Serikali imeamua kuifanyia mapitio Sera ya Zahanati katika Vijiji na Vituo vya Afya katika Kata. Ameeleza, "Tumeamua hivyo ili tuwe na ujenzi wa Zahanati na Vituo vya Afya kimkakati zaidi...
  6. JamiiForums Tanzania TLP: Kudai katiba Mpya ni kuichonganisha Serikali, Katiba Mpya haipo kwenye ilani ya CCM

    HAIWEZEKANI Chama cha Siasa kuibuka na kusema kinataka masuala ambayo yapo kwenye Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) bali wanachama waeleze changamoto katika jamii zinatatuliwa kwa njia gani? Umoja wa Vijana Chama cha Tanzania Labour Party (TLP) kupitia Mwenyekiti wa Vijana Taifa TLP, Eng.Aivan...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna haja sasa ya serikali kuingilia kati mapenzi

    Kutokana na wimbi la wanandoa kujinyonga,kujiua,kuuwa,kujeruhi wenza wao! Ni dhahiri sasa serikali iingilie kati na kuweka sheria kabla ya ndoa ni lazima wapenzi wapimwe akili na uwezo wao wa kusuhulisha mambo! Na ukionekana dishi limeyumba hutaruhusiwa kuishi na mweza yeyote na endapo...
  8. JamiiForums Tanzania Ushauri: Vijana wanaochangishana kumsaidia Sabaya wafuatiliwe, wana nia ovu ya kuzuia haki isitendeke(obstruction of justice), pia wanatukana Serikali

    Hawa ni lile kundi ambalo mimi nimelichana hapa JF hivi karibuni, lina mambo ya hovyo sana. Hili kundi linachangishana pesa huku likitoa maneno ya kashfa kwa mkuu wetu. Nina wasiwasi wana lengo la kuzuia haki isitendeke. Vyombo vya kisheria na vya kidola viwakamate, viwahoji na ikibidi...
  9. JamiiForums Tanzania Maajabu ya serikali ya CCM, Kiongozi wa Wilaya UVCCM ni Mtumishi wa Umma

    Ninakishangaa sana chama ambacho ndicho kinatakiwa kua kinara katika kutii katiba ya nchi lakini kinafumbia na kukumbatia mambo ya ajabu kabisa. Ni uvunjaji wa sheria na katiba ya nchi kuona kiongozi wa chama cha siasa tena mwenyekiti wa Wilaya kabisa bado ni mtumishi wa umma tena ni mkuu wa...
  10. JamiiForums Tanzania Ajira TAMISEMI 2021: Serikali imejitahidi kupunguza malalamiko

    Kwanza niaze kwa kumshukuru Mola mlezi kwa kila neema na upendo wake. Natumai wote ni wazima. Nianze tu kwa kuipongeza serikali kwa kuajiri watumishi wapya katika sekta ya elimu na afya, kiukweli serikali kupitia OR-TAMISEMI imejitahidi kutenda haki kwa namna mchakato mzima ulivyofanywa ili...
  11. D

    JamiiForums Tanzania Kabla ya kupunguza gharama za kuingiza umeme kuwa 27000, wangefanya huduma hiyo kuwa ya haraka kwa bei ya zamani

    Natamani inchi yangu ijifunze kuangalia kipaumbele cha kero! Ni kweli kabisa gharama za kuingiza umeme hazitakiwi kuwa kubwa namna ile kutokana na mazingira kwamba Luku na miundo mbinu si Mali ya mteja Bali ni Mali ya mtoa huduma! Lakini kutokana na mipangilio mibovu, pamoja na kuwepo ile...
  12. JamiiForums Tanzania Dkt. Kigwangalla: Serikali haimsaliti Rais aliyepita kuhusu Nyungu

    "Huwezi kusema serikali nzima inamsaliti Rais wetu aliyetangulia mbele ya haki. Mwaka jana wakati tunatumia ‘nyungu’ kulikuwa hakuna taarifa za chanjo, kulikuwa hakuna hata mmoja wetu aliyejua dawa za kutibu UVIKO-19, kirusi kilikuwa kipya na taarifa zake hatukuwa tunazijua vizuri" Mh. Hamis...
  13. JamiiForums Tanzania Waziri wa Elimu na TAMISEMI, ni sawa Wanafunzi Shule za Serikali kuambiwa waende na dissecting kit na vitabu vya tahasusi?

    1. Mwanangu amechaguliwa kuendelea na masomo ya kidato cha tano na sita (F. V & VI) mwaka huu 2021 Shule ya Sekondari Nyantakara katika tahususi (Combination) ya Chemistry, Biology & Geography (CBG) iliyoko wilaya ya Biharamulo mkoa wa Kagera. Hii ni shule ya serikali ya Tanzania. 2. Licha ya...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali ina taarifa kuwa Mabenki yanapunguza na kufukuza wafanyakazi?

    Waziri anayehusika na kazi anayo habari kuwa mamia ya wafanyakazi katika mabenki mbali mbali hapa nchini wamepoteza ajira kwa kufukuzwa? Walianza Access, Finca na sasa Stanchart na mengine binafsi isipokuwa yanayomilikiwa na serikali. Kibaya zaidi wafanyakazi wanalipwa mafao duni na wengine...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Watumishi wapata kicheko, Mhe. Rais Samia kaishafanya jambo lao - mishahara juu

    Jambo lililoshindikana kwa miaka mitano Mhe. Rais Samia ameliweza ndani ya siku 100. Ni usiku usiku miamala imesoma kwa madaraja mapya tena bila watumishi kupewa barua. Maisha marefu kwa Mhe. Rais Samia Suluhu. Hurrah Mhe. Rais Samia.
  16. S

    JamiiForums Tanzania CCM: Serikali inatoa kipaumbele sekta ya elimu

    Na Mwandishi Wetu, Dodoma. Akizungumza Alhamisi 24 Juni 2021 kupitia jukwaa la walimu waliofanya ziara ya kimafunzo makao makuu ya CCM Dodoma, Katibu Halmashauri Kuu ya Taifa Itikadi na Uenezi, Ndg. Shaka Hamdu Shaka, amesema Serikali ya CCM inatambua na kuthamini mchango mkubwa unatolewa na...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali itoe ufafanuzi kwanini kuna watu waliostahili kupata daraja jipya hawajapata

    Naaam, Kwa taarifa nilizonazo sio wote waliostahili daraja jipya la mshahara wamepata. Kuna kundi kubwa la watu wametoka bila bila Serikali itoe ufanunuzi kwanini hao wengine wamewekwa reserve. Je, watapanda lini? Na je, hamuoni mnatengeneza tatizo jipya la malimbikizo huku mkitatua la...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Serikali ya watu wa JamiiForums

    Kwa umoja wetu natoa mapendekezo ya kuundwa kwa serikali ya watu wa JamiiForums (JF) HATUA: -Kufanya uchaguzi wa rais wetu pamoja na mkaimu -Kisha raisi kwa mamlaka tutayompa atamchagua waziri mkuu -Uteuzi wa mawaziri wa nyuzi zote za (JF)
  19. JamiiForums Tanzania Hongera Serikali: Ukweli kuhusu Bajeti ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2021/2022

    Kwema wanajamvi, tumshukuru Mwenyezi Mungu kwa uzima na afya. Poleni na majukumu mbalimbali ya kulijenga taifa, Moja kwa moja naomba niende kwenye mada. Wahenga walisema "Hakuna marefu yasiyokuwa na ncha", baada ya mjadala mrefu juzi Juni 22, 2021 Bunge la Tanzania lilipitisha na kuidhinisha...
  20. JamiiForums Tanzania Je, hili Tangazo la Tigo linalotuhimiza kupata cha 'Asubuhi cha Tigo' TCRA na Serikali wamelibariki na kuona limekaa Kimaadili?

    Tuendeleeni tu Kuruhusu 'Upuuzi' na 'Uhuni' huu wa maneno yanayoashiria 'Ufirauni' kutumika na Makampuni ya Simu huku Serikali mkipokea Kodi yenu Kubwa na Maadili kwa Jamii na Kizazi kuzidi 'Kudidimia' tu. Kuna Kampuni nyingine nayo nimedokezwa inataka kuja na 'Promo' yake isemayo ' Ukitaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…