serikali

  1. JamiiForums Tanzania Askofu Bagonza: Wabunge wamekubaliana na Serikali kuwanyonya wananchi

    "Tozo za miamala ya simu zimeunganisha mihimili bunge na serikali dhidi ya wananchi na walaji. Katiba inatenganisha mihimili hii miwili. Tozo zimeiunganisha. Ni kinyume cha katiba. Wabunge wamekubaliana na serikali kuwanyonya wananchi. Nani mtetezi wa wananchi?" Askofu Bagonza
  2. JamiiForums Tanzania Serikali imeshindwa kuwadhibiti matapeli wa minada?

    Juzi nimepita Mbezi ya Kimara kuna mmama kapigwa sh elfu 60 live live na wale matapeli wanaouza nguo na bidhaa kwa mnada. Hao ni matapeli, na wale wanao kuwa wana bid huwa wenzao na mtu akitoa pesa anapewa bidhaa feki. Serikali/ Ulinzi shirikishi waanze...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Serikali na Wizara ya Afya, tulikosea sehemu ndio maana mapambano dhidi ya covid yamekua magumu kueleweka, tumieni njia hizi

    Mapammbano dhidi ya COVID 19 yamekua magumu kueleweka kwa wananchi, kwasababu hatukuwekeza zaidi katika afya msingi, kuanzia kwenye jamii zetu. Afya ya msingi ni kuhakikisha kunakuwepo na mikakati endelevu wa kuhakikisha huduma za afya hususa ni kuzuia maambukizi mapya (Prevention). Afya ya...
  4. JamiiForums Tanzania SoC01 Serikali itumie wafungwa kama chanzo cha mapato. Iondoe Kodi inayokata kwenye Miamala ya Simu

    Wafungwa ni watu wanaotumikia vifungo mbali mbali katika magereza zilizopo nchini Tanzania kote. Wafungwa hawa wana ujuzi tofauti tofauti kwa kusomea ama kwa kujifunza mtaani, wengine ni engineers, nurses, wahasibu, doctors, mafundi kama fundi bomba, fundi nyumba, fundi kupaua, na wengine wana...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali na Tume ya Warioba walichokisema juu ya Katiba Mpya

    Habari wanajukwaa na Watanzania wote kwa ujumla? Nachukua fursa hii adimu kwanza kumshukuru Mungu wa rehema! Niende kwenye mada moja kwa moja, kwa muda sasa Tanzania tuliingia katika mchakato wa Katiba mpya jambo ambalo mpaka leo halijazaa matunda siyo kwasababu pengine wahusika wa jambo hili...
  6. JamiiForums Tanzania Video: Kinachoendelea Ujerumani watanzania tupunguze lawama kwa serikali

    Hapa nimejifunza kuwa majanga ya asili hayana mwenyewe,uwe makini kwenye miundombinu au uwe mzembe lazima likukute tu. Nchi makini kimpango na kimiundombinu inapigwa na mafuriko je sisi ni kina nani? Hayo mafuriko yangetokea Tanzania saivi mitandao ishajaa lawama kwa serikali.
  7. JamiiForums Tanzania SoC01 Kwanini masomo yasipunguzwe mapema ili kuwaondolea Watoto mzigo?

    “Tunasema vijana wajiajiri wakati sisi wenyewe wametuajiri wao, kwanini sisi tusujiajiri kwanza alafu tuone kama kujiajiri ni rahisi ndio tuwaambie nao wajiajiri?”,maneno haya yalisemwa na mbunge mmoja akiwa bungeni wakati wa kuchangia hoja iliyohusu Ukosefu wa ajira. Ni ukweli usiopingika...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mlipa Kodi anayependa kodi! Serikali na wananchi wajue hili

    Watanzania wengi walikuwa wanafikiri kodi ni kitu cha watu wengine! Sasa ndiyo wanajua ni lazima kulipa kodi. Zile risiti ambazo tulikuwa hatuziombi ni pesa ambazo serikali imekosa na sasa tunalipa wote. Wale machinga ambao mlikuwa mnawashangilia wauze bila kodi sasa ndiyo mnajua kwamba...
  9. JamiiForums Tanzania Tozo mpya miamaka ya simu: Serikali wekeni bayana mipango ya maendeleo, wekeni viwango vya makato vinavyotabirika

    Rais Samia Suluhu Hassan Asubuhi ya leo, magazeti mengi yalikuwa na vichwa vya habari vinavyoonyesha hofu ya umma inayohusiana na tozo katika miamala ya simu ambazo zilianza jana. Tozo hizo kupitia miamala ya kidijitali sio mpya nchini Tanzania. Shughuli za elektroniki zinazohusiana na ununuzi...
  10. JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz tunakushukuru, Umeamsha vijana wengi walioridhika na mafanikio

    Kijana Diamond Platnumz ni msanii ambae ni fundisho sahihi la namna halisi la jinsI ya kuwa na maendeleo one step at a time, kutumia connections za watu (networking) na kuji brand, pengine niseme wasanii wengi wapo kwenye kiwanda cha muziki ila huyu jamaa yupo kwenye kajiongeza mpaka kwenye...
  11. JamiiForums Tanzania Watu makini kama mbunge wa Kawe Josephat Gwajima wamekaa kimya juu ya uharamu unaotendwa na serikali kwa wananchi. Hii maana yake nini?

    Je, CCM huwaweka kitimoto wabunge wake mara tu wanapoapishwa? Wanakuwa watu makini lakini huwezi kuwaona wakiipinga serikali kwenye masuala muhimu kama haya ya kodi. Inatia ukakasi sana.
  12. JamiiForums Tanzania Tetesi: Tozo ya Muda wa Maongezi yaiva, kuipuliwa muda wowote na serikali ya Mama

    Ni mwendo wa kuipua tu. Kabla ya tozo ya miamala haijapoa,kinaipuliwa kitu Airtime Levy. Mlaji kuwa tayari,kama hutashiba sema waipue kitu kingine
  13. B

    JamiiForums Tanzania Tumsaidie Rais Samia kuzifuta Tozo na Kodi za dhuluma

    Hapa Mama itabidi atuelewe tu kuwa tumeamua hatimaye kumsaidia kwani hao waliomzunguka hawamsaidii. Kodi na tozo za dhuluma hazikubaliki. Hivyo: 1. Tunasimama kabisa kutumia miamala ya simu kutumiana pesa kwa siku 3. 2. Baada ya hapo tathmini itafuata ya nini zaidi. Kutoka kwa Mama...
  14. JamiiForums Tanzania Makato ya mamala yapo poa, yanawiana na Uchumi wa kati

    MAKATO YA MIAMALA YAPO POA! YANALANDANA NA UCHUMI WETU WA KATI Kwa Mkono wa, Robert Heriel Nimefurahishwa na mambo yaendavyo, mwaka Jana tulipigiwa mbiu kuwa tumeingia uchumi wa Kati. Watu walifurahia hasa wenye mrengo wa kuishabikia CCM na Wanachama wa CCM pamoja na Watanzania WA kipato cha...
  15. JamiiForums Tanzania Mitandao ya simu huongeza t kwenye huduma za kifedha karibu kila mwaka. Je, serikali nayo itaongeza tozo kwa wanachi ili kuendana na kasi ya mitandao?

    Wakuu natumaini kuwa hamjambo! Napenda kuuliza hili swali langu dogo; Kwakuwa mitandao ya simu huongeza tozo mara kwa mara kulingana na sababu mbalimbali ikiwemo kuongezeka kwa gharama za uendeshaji. Je, serikali nayo itaongeza tozo kwa wananchi kama watakavyofanya mitandao ya simu au itabaki...
  16. JamiiForums Tanzania Ukosefu wa ufanisi katika Makusanyo: Serikali imeona ambapo haiwezi kupoteza mapato ni kwenye simu

    Serikali inapoteza karibu Tsh. 3Trn kwa mwaka ktk bandari ya Dsm kwa sbb ya kukosa ufanisi wa kukusanya kodi na rushwa. Maeneo mengi serikali haijawekeza teknolojia ktk kukusanya mapato, hivyo kukosa hata 30% ya lengo. Ambapo serikali haiwezi kupoteza mapato ni kwenye simu. Cyril
  17. JamiiForums Tanzania Nitaishangaa serikali kama kuanzia mwaka wa fedha 2021/2022 haitatoa chakula cha mchana bure kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari nchini.

    Habari zenu viongozi! Ni dhahiri Tanzania inakwenda kuwa serikali tajiri. Serikali ambayo haitakuwa tegemezi kwa namna yoyote ile. Kuna changamoto nyingi nchini katika sekta za afya, elimu, na uchumi. Nikianzia sekta ya elimu , serikali itoe chakula cha mchana bure mashuleni. Huku msingi na...
  18. JamiiForums Tanzania Ujumbe ulio tolewa na serikali kwenye kodi mpya ya miamala

    “Akufukuzaye hakwambii toka”, ni msemo wa kiswahili wenye maana kuwa ujumbe unaweza kuwasilishwa kwa njia moja ukimaanisha kitu kingine tofauti. Mfano ukienda kumtembelea rafiki yako akakulaza sebureni na vyumba vipo wazi, utaonekana mwenye busara asubuhi ukiaga vizuri na ukarudi kwako. Sababu...
  19. F

    JamiiForums Tanzania SoC01 Serikali iwekeze katika vipaji vya Watanzania ili kukuza uchumi wa taifa

    UTANGULIZI Ni ukweli usiopingika kwamba, Watanzania wengi wamebarikiwa kuwa na vipaji mbalimbali. Mfano, Utengenezaji wa bidhaa, ubunifu wa vyombo vya kielektroniki, uchoraji, uchongaji, matumizi ya compyuta, uimbaji nk. Licha ya Tanzania kuwa na vijana wengi wenye vipaji, bado kumekuwa na...
  20. JamiiForums Tanzania SoC01 Kodi ya Uzalendo: Ushauri wangu kwa Serikali jinsi ya kuthibiti na kujenga imani kwa walipaji

    Kutokana na makusanyo mapya ya kodi ya uzalendo kupitia miamala ya simu,serikali iandae system ya wazi kutrack hizi tozo na kuonyesha kila mchangiaji. Itapendeza sana kama watanzania tutaona wenyewe kupitia system itakayoandaliwa iwe ni website au app. Kama walivyofanya CDM mwaka fulani kuona...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…