serikali

  1. JamiiForums Tanzania Tuache Siasa, Riba ya Mabenki ya biashara kukopesha Raia ni suala la Vihatarishi na sio maamuzi ya Serikali

    Riba ya Mabenki kukopesha wateja wao sio suala la kisiasa, Huwezi ukasema kuanzia Leo Mabenki ya biashara riba ya kukopesha iwe asilimia kumi 10% Mabenki kukopesha Raia au wateja wake kinachoangaliwa ni: 1. Vihatarishi (Risk) vinavyoizunguka biashara au kazi ya mteja husika, Biashara au kazi...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali imeshindwa kuajiri vijana wenye vyeti halali, inarudisha kazini wenye vyeti feki

    Wakati mwingine mpaka unahisi kuna laana juu ya nchi yetu. Vijana wasio na mbele wala nyuma but wakiwa na taaluma zao mmegoma kuwapa ajira lakini cha kushangaza mnawarudisha wazee 4000 walioshutumiwa na kuondolewa kazini kwa udanganyifu wa taaluma zao. Watu hao kama walionewa waseme walienda...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali ya Ethiopia yalaumiwa kwa hali mbaya ya Tigray

    Wakati Ethiopia ikiwalaumu Waasi kwa hali inayoendelea Tigray, Waasi hao wamesema vizuizi vilivyowekwa na Serikali ndiyo sababu ya hali mbaya ya eneo hilo wakisisitiza Jamii za Kimataifa kukwama kuchukulia hatua dhidi ya Waziri Mkuu kumeongeza tatizo Wamesema Mfumo wa Huduma za Afya umeharibiwa...
  4. C

    JamiiForums Tanzania SoC01 Njia zinazoweza kutumiwa na Serikali kupata mapato badala ya kuwakamua Watanzania kwenye tozo

    Serikali zote Duniani ni lazima ziwe na vyanzo vya mapato vya uhakika vya kuendeshea Serikali mapato hayo ni muhimu kwa sababu ndiyo yanayojenga barabara,yanayonunua silaha,yanayonunua madawa na kulipa mishahara na posho watumishi wa umma na wanasisa.Hivi karibuni kumeibuka mjadala kuhusu...
  5. JamiiForums Tanzania CHADEMA acheni usanii hamna huruma yoyote na Jeshi la Polisi wala Serikali

    Kwa kuwataka Polisi kuwa na intelijinsia ya kutosha ni kuwadhihaki kwa vile hutumia sababu hiyo kuvuruga mipango yenu. Aidha ni kama hamkusikia maelezo ya Polisi ya namna mhusika alivyo zipata hizo silaha. Kwa ujumla Polisi wamechulua hatua za haraka sana kumkabili huyu jamaa vinginevyo...
  6. JamiiForums Tanzania Naipongeza Serikali kwa kufanikisha zoezi la ukusanyaji kodi za majengo kwa njia ya simu

    Habari wadau! Jana nimeweza kulipa kodi ya jengo kupitia simu ya mkononi baada ya kununua umeme kupitia luku yangu. Binafsi naipongeza sana serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia rais Samia Hassan,pongezi za kipekee ziende kwa waziri wa fadha Dr Mwigulu Lamack Nchemba Madelu...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Polisi angalieni upya taratibu zenu za upelelezi, kuwaweka watu mahabusu muda mrefu ni gharama kwa Serikali

    Rais Samia ameliagiza jeshi la polisi kuhakikisha linakamilisha upelelezi kwa haraka na kuwaachia huru watuhumiwa ambao kesi zao hazina mashiko. Rais amesema hivi sasa idadi ya wafungwa inakaribiana kuwa sawa na idadi ya mahabusu. Kadhalika Rais Samia amemtaka IGP Sirro kuhakikisha hawatumii...
  8. JamiiForums Tanzania Askofu Shoo, samahani unapata wapi nguvu za kuihukumu Serikali kuwa imemuonea Mbowe?

    Homilia ya Baba Askofu Shoo wakati wa maziko ya Mama Mkwe wake na Mbowe imenistua - Baba Askofu Shoo amepata wapi nguvu za kuituhumu serikali kuwa inamuonea Mbowe ili hali kesi yake iko mahakamani?
  9. S

    JamiiForums Tanzania Rais Samia wasaidizi wako wa Uchumi pamoja na Jeshi la Polisi nchini vinaharibu mwenendo wa Serikali yako

    Rais samia tambua kuwa kila jambo litakalofanyika ndani ya serikali yako liwe zuri au baya ni wewe ndio unayenyooshewa kidole na si mtu mwingine , kuwa makini sana na hawa wasaidizi wako wanafanya maamuzi yao ikiwa pamoja na kujenga hoja juu ya maamuzi hayo kwa maslahi yao binafsi , husifikiria...
  10. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Mashtaka dhidi ya Freeman Mbowe ni mepesi kuliko pamba, awaponda Waendesha Mashtaka

    Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu , amechambua mashitaka yaliyosomwa Mahakamani yanayomkabili Mwenyekiti wake Freeman Mbowe , huku akiyaita duni , mepesi na ya UONGO. Amedai ana uzoefu wa kutosha kwenye kesi za uzushi na uongo kama hii kutokana na kazi yake ya Uanasheria aliyoifanya...
  11. S

    JamiiForums Tanzania CCM na Serikali yake sio wanamwogopa Mbowe. Hapana, CCM hawawaogopi Watanzania

    Ule mshiko wa kukazania kuwa sababu ya Mbowe kutiwa jambajamba kila wakati na sasa kukamatwa katika aina ya kesi zinazochukua muda mrefu hadi kufikia hukumu ya mkosa au si mkosa ni sababu CCM wanamuogopa Mbowe, sio kweli bali kwa hali ilipofikia inaonyesha wazi CCM wamejitoa hofu na hawamuogopi...
  12. JamiiForums Tanzania Ombi: Serikali irudishe kodi ya kichwa

    Kila mmoja kwa nafasi yake inabidi awajibike kuichangia hii nchi tupate maendeleo Najua tayari kuna kodi nyingine ila hizi zilizopo sidhani kama zinatosha kuleta maendeleo kama wananchi tunavyotarajia sababu sio wote wanatoa. Nadhani ukiletwa utaratibu mzuri wa hii kodi Serikali yetu itapata...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Sasa ni dhahiri kesi ya Mbowe imekaa vibaya. Mashahidi 24 na vielelezo 19 vya serikali si mchezo. Ni mkao wa kunyolewa

    Kwa mashtaka yaliyosomwa leo tarehe 23 Agosti 2021 ni wazi serikali imejipanga ipasavyo kwa kesi hii ya Mbowe ya ugaidi. Serikali kuwa mashahidi 24 na vielelezo 19 siyo mchezo. Sasa tunafahamu kwa nini IGP alilizungumzia hii kesi kwa kujiamini sana na kueleza kuwa Mbowe kama ni mkristo mkweli...
  14. JamiiForums Tanzania Dodoma: V8 ya milioni 140 mali ya Serikali yauzwa kwa milioni 4.9

    Dodoma! Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa wa Dodoma ikiongozwa na Mwenyekiti wake, Godwin Mkanwa imebaini uuzwaji wa gari la Halmashauri ya Wilaya ya Mpwawa lenye thamani ya milioni 140 kwa million 4.9 kinyume na sheria ya mali za Umma! Chanzo: Darmpya
  15. JamiiForums Tanzania Nashauri Serikali iandae mdahalo mubashara wa Television baina ya Askofu Gwajima na Waziri wa Afya ili kumaliza utata uliopo juu ya usalama wa chanjo

    https://www.instagram.com/p/DI_yEyDICqU/?igsh=MTI5ZDUzaW5mNWM3Zg== Mdahalo wa wazi hutumika hata kule Marekani kipindi cha uchaguzi, ambapo wagombea kupitia vyama pinzani huwekwa kwenye jukwaa moja na kupitishwa kwenye ‘tanuru la moto’ ili kuona nani anafaa, vivyo hivyo ifanyike kwa Askofu...
  16. JamiiForums Tanzania Hapa tunaishauri Serikali ivunje Katiba kwenye Baadhi ya Mambo. Inachanganyikiwa ifuate lipi na wakati gani

    Ukimsikiliza Gwajima Me ana hoja zake na Gwajima Ke ana hoja zake. Kikatiba wapo sawa. Na pia kwa Tamko la Rais. Wapo sawa. Chanjo ni Hiyari. Kwa nini? Ndio maana Serikali inatujazisha fomu kuwa Chanjwa by your own risk. Ukiwa Ok sawa Shukuru Mungu. Ukiathirika pole maisha yaendelee...
  17. JamiiForums Tanzania Serikali ya Rwanda yaondoa Tozo kwenye miamala ya benki kwenda mitandao ya simu kuwalinda watumiaji

    Hii hapa taarifa kamili. Mungu ibariki Rwanda. ================ No charges and fees will henceforth be incurred when transferring funds from one’s bank account to their mobile money wallet and vice versa (push and pull charges). The Central Bank has scrapped costs in their latest directive...
  18. JamiiForums Tanzania Serikali inahitaji kujitangaza kuwa imefirisika tuelewe Moja

    List ya Kodi anazolipa raia Mnyonge:- Pay as you earn Vat 18% kwa kila bidhaa 4% Tax on services - Ufundi n.k Ewura kwenye manunuzi ya umeme na Mafuta Tanroad kwenye Mafuta wanachukulia humo humo Rail Levy unapoagiza kitu kupitia bandari Takataka za Majumbani low density area elfu 20 wenye...
  19. S

    JamiiForums Tanzania Katika Bajeti ya mwaka wa fedha wa 2024/2025, watafuta tozo zote huku wakidai Serikali yao ni sikivu

    Hawa watu wanajua uchaguzi bado uko mbali na ndio maana wanafanya yote haya licha ya kelele zote zinazopigwa na msitarajie watabadili chochote katika kipindi hiki(wakibadili, basi ni kidogo sana). Watachofanya ni kusubiri Bajeti ya kuelekea mwaka wa uchaguzi(Bsjeti ya 2024/2025) ndio watakuja...
  20. R

    JamiiForums Tanzania Serikali wasikilizeni Wananchi kuhusu tozo

    Wananchi wa kawaida/maskini ni walipa kodi wazuri, kupitia huduma/manunuzi ya bidhaa wanayofanya direct wanakua wamelipa kodi ila tatizo lipo kwa serikali ktk kuhakikisha kodi hizo zinaingia serikalini. Mfano mdogo serikali inapoteza mabilioni ya kodi wanayolipa wananchi kupitia manunuzi kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…