serikali

  1. Ninaipongeza serikali ya Uingereza kwa kuwavumilia Watanganyika

    Tanganyika ilikuwa koloni la Uingereza chini ya Mfalme baadae Malikia, wakati tukiwa chini ya Mkoloni tulianza harakati za kudai uhuru, uhuru ni zaidi ya katiba lakini mkoloni alituvumilia na hakuwahi kumzuia Nyerere kwenda UNO kudai uhuru na kama kulitokea purukushani basi zilikuwa za kiwango...
  2. M

    Serikali ya awamu ya Sita imegeuka ya uwongo na ulaghai

    Kwa mambo yanavyokwenda ni vigumu kujua kuwa rais Samia yuko in charge ya mambo, au kuna genge la watu limemcorner rais wetu na kumtengenezea ajenda kwa manufaa ya kundi hilo binafsi. Rais alovyoanza kuongoza hii nchi, kila mmoja aliona nia yake nzuri, dhamira yake nzuri, na kiukweli alikong'a...
  3. Mara: Wawekezaji wakabidhi Jengo la Ofisi ya Serikali ya Mtaa kwa Joshua Nasari

    Bunda, Mara 08/08/2021. Siku ya Tarehe 8/8/2021 kundi la wadau wa maendeleo Mkoa wa Mara wanaoishi na kufanya kazi sehemu mbali mbali hapa nchini (Mara Investors) limekabidhi jengo kwa ajili ya ofisi ya Serikali ya Mtaa ili kusaidia huduma za kiutawala kwa wakazi wa mtaa wa Serengeti Kata ya...
  4. Serikali inawahamisha wananchi wasahau na wasiongelee tena TOZO ya miamala ya simu. Wananchi tuendelee kuwalaani viongozi wetu waliotuletea huu wizi.

    Huo hapo juu ni wizi na hujuma za waziwazi tunaofanyiwa na serikali yetu. Cost of living imekuwa kubwa, uchumi wetu wa kusuasia unazidi kuwa hoi hasa wazazi na ndugu zetu wanaotegemea mpesa, tigopesa, airtel money kufanyiwa miamala yao. Fikiria ndani ya ada za miamala kuna 18% kodi inayoenda...
  5. Simu za maofisini (land line) hazifanyi kazi kwenye ofisi za Serikali na Mashirika ya Umma na Taasisi zake Tanzania

    Ninaandika mada hii kwa masikitiko makubwa sana,ofisi za umma,mashirika ya umma na taasisi zake tanzania hazitumia simu za land line ili kuwahudumia wananchi. Matokeo yake viongozi,watendaji wa serikali wanatembea na ofisi zao mifukoni mwao. Wawekezaji wanatafuta simu za maofisi wakiwa nje...
  6. J

    Morogoro: Katibu Mkuu CCM atembelea mradi wa treni ya mwendokasi kipande cha stesheni ya Kilosa - Dar es Salaam

    Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Chongolo, pamoja na sekretariati ya CCM Taifa Pamoja na viongozi wa serekali na Chama Mkoa wa Morogoro leo tarehe 10/08//2021. Wanatembelea mradi wa treni ya mwendo kasi(SGR) kipande cha stesheni ya Morogoro Kilosa - Dar es Salaam #KaziInaendelea #ChamaImaraSerikaliImara
  7. Mapendekezo: Serikali irekebishe au itunge sheria mpya kabisa ya ugaidi au Terrorism Act na itoe miongozo kwa raia kuchukua tahadhari

    Kesi za ugaidi au kumtuhumu mtu kwa kupanga njama za kufanya vitendo vya kigaidi ikiwemo kuua viongozi ni jambo kubwa sana. Hata ile kuwatuhumu watu fulani katika jamii kuwa wanapanga kutekeleza vitendo vya kigaidi na pia kuua raia wengine pia ni jambo kubwa. Katika matukio makubwa ya kuleta...
  8. T

    Serikali ifanye nini ili uchumi wetu uipiku Kenya na mataifa yenye uchumi mkubwa kuliko sisi?

    Kama inavyojulikana ni kwamba Tanzania ina kila sababu ya kupiga hatua kiuchumi kutokana na mahali ilipo. Hata hivyo mimi nilitarajia baada ya kuachana na siasa za kijamaa huenda tungeanza kuyapiku kiuchumi mataifa mengi yanayotuzunguka na hata yaliyo mbali. Ndipo najiuliza kama taifa tufanye...
  9. Nani alitufundisha kuhusu Duka la mtandao (Postashop) Kwanini hatujifunzi kwa walioendelea?

    Shirika la Posta limeanzisha duka la mtandao. Sijui nani aliwashauri kufanya hivi? Kwanini hatujifunzi kwa walioendelea? Huwezi kufanya biashara ya kwa mlaji (consumer) kwa kutumia kodi za watu na ukafanikiwa. Yaani sisi tulitakiwa haya mambo tuwe tunaruka tu, kwasababu nchi zilizoendelea...
  10. S

    Liberata Mulamula: Rais Samia alipanga kukutana na wapinzani lakini ratiba zikaingiliana

    Kuna kitu kimoja ambacho nakichukia kupita kiasi katika maisha yangu ya U-Tanzania. Hiki ni kauli za Polisi au wanasiasa pale ambapo wanajaribu kuficha au kupotosha ukweli ambao ukiwekwa wazi wananchi wataona wanavyokiuka haki za msingi za Watanzania, wanavyokandamiza demokrasia au hata...
  11. P

    Zitto Kabwe ameongea vizuri; wahafidhina ndani ya CCM wamuache Rais Samia atekeleze maono yake

    Nilipenda maelezo ya ZZK Kiongozi wa ACT katika Kikao cha Kamati Kuu ya chama chake iliyofanyika Zanzibar jana tarehe 08 Agosti, 2021. Alirejea ukweli kuwa Rais Samia alianza vema sana uongozi wake baada ya kifo cha JPM. Hata hivyo kwa siku za karibuni kuna kila dalili ametishwa na kundi la...
  12. Njombe: Wananchi wataka wanaotupa watoto kuchukuliwa hatua

    Wakazi wa Kijiji cha Matiganjola wilayani Njombe wameiomba Serikali ya wilaya kufanya oparesheni ya kuwasaka wazazi wanaotelekeza watoto wao na kuwachukulia hatua kutokana na kukidhiri kwa vitendo hivyo. Wamesema hayo leo Agosti 8, 2021 katika mkutano wa hadhara wa mbunge wa Lupembe, Edwin...
  13. Kihongosi: Polepole uwe na nidhamu na adabu kama ulivyokuwa Awamu ya Tano

    Katibu mkuu wa UVCCM, Kenani Kihongosi amemtaka Mbunge Humphrey Polepole awe na nidhamu na adabu katika serikali ya awamu ya 6 kama alivyofanya kwa serikali ya awamu ya 5. Hiyo ni baada ya Polepole kupinga chanjo, jambo linalochukuliwa kama kupingana na Rais. Una maoni gani kwa wana CCM hao...
  14. Serikali kuwajibu Askofu Gwajima na Polepole ni kama kubwekea kila mbwa barabarani

    Friends and Enemies, Kuna msemo unasema kwamba kumrushia jiwe kila mbwa anayebweka barabaran huwezi kufika safari yako, Vipo vitu vya msingi vya kulumbana na Serikali,kama hivi ongezeko la gharama za tozo za miamala, kupanda mafuta na gesi,labda Tume Huru ya Uchaguzi na kadhalika. Lakini kukaa...
  15. N

    Serikali ya Rais Samia inamuogopa Askofu Gwajima na haina la kumfanya

    Naona imekua too much sasa hivi kila jumapili Rashidi, anatumia lile Godauni la ufufuo na uzima kupingana na serikali, naona mpaka sasa yeye ndiye mshindi maana imeonyesha dhahiri serikali inamuogopa na haina hata ubavu wa kupa onyo. Hivi huko Ufufuo wa Misukule na Uzima hawana Ibada...
  16. Serikali wafuatilie huduma za mitandao nyingi ni utapeli

    Kipindi cha nyuma kidogo nilijiunga huduma yao ya halo quiz mtandao wa halotel bila kuijui vizuri baada ya muda mrefu jan nikaweka salio ili nijiunge kifurushi natumiwa sms salio limekatwa basi nikaona hii huduma ngoj nijitoe Sasa kilichonileta hapa mpaka naandika uzi huu jana niliingia menu ya...
  17. SoC01 Muhimu Serikali kuunda Tume za kuzuia maafa ili ziwe mbadala wa tume za kuchunguza vyanzo vya maafa ambazo huundwa baada ya maafa kutokea

    Utangulizi Kumekuwepo na utokeaji wa maafa mbalimbali kama vile moto, ajali n.k ambayo kwa kiasi kikubwa yamekuwa yakisababisha athari ambazo zinaathiri ustawi wa mtu mmoja mmoja na ustawi wa jamii kwa ujumla. Baadhi ya athari ambazo zimekuwa zikijitokeza ni pamoja na upotevu mkubwa wa nguvu...
  18. SoC01 Migogoro ya Wafugaji na Wakulima, kweli ni Donda ndugu lisilopona mbele ya Serikali na wasomi?

    Athari za Migogoro ya Wafugaji na Wakulima. Migogro hii imekuwa ikisababisha upotevu wa rasilimali kwa raia, jamii na serikali kwa ujumla, uharibifu wa mali, uhai wa raia na mifugo kwa ujumla. Kwa miaka mingi katika nchi yetu tumekuwa tukiishi na jamii za kifugaji (pastoralists) kama wamasai na...
  19. Mbunge Asia Halamga: Chanjo ya UVIKO-19 ni hiari, Serikali haiwezi kuumiza wananchi wake

    Leo Mbunge wa Viti Maalum Vijana Mhe. Asia Halamga akiwa Mgeni Rasmi amefanya Uzinduzi wa Vijana Jogging Club Mkoa wa Kilimanjaro ambao una Kauli Mbiu "Amani Yetu, Maisha Yetu, Chukua Tahadhari Dhidi ya UVIKO-19" Akizungumza na Vijana mbalimbali waliojitokeza kwa wingi kushiriki uzinduzi huo...
  20. Wanasheria wetu waungane waipeleke Serikali Mahakani kwa kukiuka Nuremberg Code

    The Nuremberg Code ina vipengele vifuatavyo:-1 The voluntary consent of the human subject is absolutely essential. This means that the person involved should have legal capacity to give consent; should be so situated as to be able to exercise free power of choice, without the intervention of...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…