serikali

  1. Serikali iweke taa za barabarani katika majiji yote makubwa nchini

    Katika miji yote mikubwa utakuta taa za barabarani zipo barabara chache na nyingi Ni mbovu haziwaki na hakuna ukarabati wowote. Hakuna ufuatiliaji wala uongezwaji wa taa katika barabara kuu na halmashauri hazijishughulishi na hilo wanachojua wao mwisho wa mwezi uhakika basi imetoka hiyo. Jiji...
  2. Manyara: Simanjiro walia kwa uhaba wa mvua, mifugo 62,500 imekufa

    Mifugo 62,593 imekufa wilayani Simanjiro mkoani Manyara kwa kukosa maji na malisho kutokana na ukame. Kati ya mifugo hiyo; Ng'ombe - 35,746 Kondoo - 15,136 Mbuzi - 10,033 Punda - 1,670 ====== Hali ya ukame inayoendelea wilayani Simanjiro mkoani Manyara imesababisha mifugo mbalimbali ikiwemo...
  3. Dkt. Tulia Ackson alikuwa chaguo la Magufuli, hafai kuwa Spika wa Bunge litakalosimamia Serikali ya awamu ya 6

    Tunatoa sana ushauri humu JF na wakati mwingine tunaonekana kama wavurugaji waliotumwa na wapinzani au watu tusiokuwa na uzalendo na taifa letu, mwisho wa siku ushauri inapuuzwa na kumsikia mama analalamika kua wapo watu ndani ya serikali hawako naye na wengine hawaelewi. Tulishauri kwamba Mama...
  4. Kabudi na Lukuvi hawapo kwenye mfumo rasmi wa shughuli za serikali. Ni matumizi mabaya ya kodi za wananchi

    Hii tunarudia kumwambia raisi Samia na washauri wake (ambao katika hili sioni kama walimshauri) kuwa kama ulishaamua kuwatema hawa watu basi endelea na msimamo wako. Ni hiari ya raisi kuteua na kutengua wala halazimishwi. Ila inapotokea kelele za nje kuonekana tishio kwa maamuzi yake asitumie...
  5. K

    Hakuna mkopo mzuri wa Serikali wa miaka 5

    Nimesikitiswa sana na wale wasomi wanao jaribu kuaminisha Watanzania kwamba kuna mikopo ya bank za biashara mizuri kwa serikali. Mikopo yenyewe mingi ni ya miaka 5 na riba zinakuwa 8%~10%. Hii mikopo sio mizuri kwa serikali hasa ukizingatia uwezo wetu. Serikali kwa ushauri wangu 1. Wasikope...
  6. K

    Mwendokasi wa madereva wa magari ya umma

    Wengi ni mashahidi jinsi magari ya umma hasa za Serikali yanavyoendeshwa kwa kasi bila hatua yeyote kuchukuliwa. Magari kama V8, Landcruiser hardtop yanaendeshwa kwa spidi inayozidi kilomita 200 kwa saa huku askari wa barabarani akisimama pembeni mwa barabara na kuangalia tu na hata kuipigia...
  7. Ubaguzi wa Serikali kufuatia ajali iliyohusisha waandishi

    Ajali ya gari iliyohusisha gari ya serikali iliyobeba waandishi wa habari na hiace iliyobeba abiria tulitangaziwa jumla ya watu 14 walipoteza maisha 6 waandishi na 8 wananchi. Lakini leo wale waandishi 6 ndio wameagwa na waziri wao kuibuka. Tena kaka na matamko mengi na ya hovyo. Ila wale 8...
  8. Serikali iachane na malipo kwa masikini wa TASAF bali ianze kuwalipa pesa walemavu wote wasio na ajira

    Huu ni mtazamo wangu, hawa wazee wa TASAF wenye viungo na akili timamu wapambane kivyao. Pesa za mfuko wa TASAF zisaidie masikini wenye ulemavu tu, hapo tutakuwa tumetenda haki. Kuliko kumpa mtu elfu 80 mwenye viungo kamili, ni bora kumpatia laki 3 mlemavu akajipatia unafuu wa maisha.
  9. Waziri Mwigulu: Serikali imeomba msaada au mkopo wa trilioni 7

    Mapema leo nimefanya mazungumzo kwa njia ya mtandao na Dkt. Sidi Ould Tah, Mkurugenzi Mkuu wa @badeabank kujadili namna ya kuharakisha upatikanaji wa fedha za mkopo nafuu na msaada Dola Bilioni 3 sawa na takriban Shilingi Trilioni 7. Benki ya BADEA iliahidi kuipatia Tanzania mkopo huu wa...
  10. Maduka ya Dawa yaliyo nje ya mageti ya Hospitali za Serikali huwa na dawa muda wote lakini ndani ya Hospitali husika hamna dawa

    Kipindi cha awamu ya tano Mheshimiwa Rais Magufuli alipiga marufuku sana ya maduka yaliyo nje ya hospitali za Serikali, kwani ilionekana kuwa hayo maduka ndo chanzo cha Kukosekana dawa ndani ya hospitali hizi za serikali. Wengi tulishuhudia huduma nzuri pamoja na upatikanaji wa dawa ndani ya...
  11. D

    Tuelekezane jinsi ya kupata mikopo ya serikali hususan kwa vijana

    Habari wakuu. Mtaani hali si hali mtaji umekua changamoto kubwa sana kwa vijana wengi. Wengi huishia tu madayworker na inshu za kuunga unga tu. Sasa huwa nasikia kuhusu mikopo inayotolewa na serikali kwa ajili ya vijana, walemavu na wanawake. Kwa waliowahi kuomba hii mikopo ama kuipata hii...
  12. D

    Ujenzi wa Barabara ya Kilombero mkandarasi anaidai Serikali?

    UJENZI WA BARABARA KILOMBERO MKANDARASI ANAIDAI SERIKALI? Mheshimiwa Rais, wilayani Kilombero, mkoani Morogoro, miradi mingi ya kimaendeleo ambayo inatumia fedha za umma haikamiliki kwa wakati. Iko mingi sana lakini kilio hasa ni huu mradi wa ujenzi wa barabara ya kiwango cha lami, ya urefu wa...
  13. Rais Samia suala la leseni kwa vijana wasio na ajira linaumiza sana. Serikali inavuna isichopanda, hili Jambo litazamwe upya!

    Salaam Mama , Rais wa JMT Awali ya yote nikupe Pole kwa majukumu ya kila siku unayokabiliana nayo! Kwa vijana tulio wengi,, ambao hatujapata nafasi ya kuajiliwa katika serikali yako na Bado tunatozwa ada ya leseni kwa kila Mwaka kulingana na taaluma tulizosomea tunaumia sana!! Just imagine...
  14. Lukuvi na Kabudi waitwa Ikulu kumsaidia kazi Rais Samia nje ya Muundo wa Serikali

    Salaam Wakuu, Aliyekuwa Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, William Vangimembe Lukuvi na Aliyekuwa Waziri wa Katiba na Sheria Palamagamba John Aidan Mwaluko Kabudi, wametakiwa kwenda Ikulu kumsaidia kazi Rais Samia ya kuwasimamia Mawaziri. Rais Samia kasema watu Wasimpake matope...
  15. Vibali vya ujenzi moja ya kichaka cha rushwa Serikali za Mitaa

    Serikali ebu ijaribu kuweka mfumo mwepesi wa kupata kibali cha ujenzi.urasimu ni mkubwa sana na utaratibu mgumu unachukua muda na inapelekaa watu wengi kumalizana na wajumbe tu kwa kutoa chochote na maisha yanaendelea. Yaani ili la vibali kwasasa ndio chanzo kikubwa. Cha Serikali za mitaa...
  16. T

    Suala la sare za wanafunzi: Kwanini Serikali isitoe sare elekezi kwa wanafunzi wanaoanza kidato cha kwanza na Serikali ishone kwa kuchangia gharama?

    Kuna suala la wanafunzi watakaoanza kidato cha kwanza ambao hawatakuwa na uwezo wa kununua sare waendelee na zile za shule ya msingi , kauli hiyo ilitolewa na aliyekuwa waziri wa Tamisemi. Kiukweli nimeona mtazamo wa wengi juu ya suala ,kuna wengine wanasema kwamba sio mbaya waendelee nazo tu...
  17. Serikali ya JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ijiuzulu kwa kushindwa kutumia rasilimali za nchi hii kwa maendeleo ya watu wote

    Habari! Huu uzi ninauandika nikiwa na jazba na ghazabu. Nimefanya kazi mgodi wa GGM(GEITA GOLD MINE), kisha nikafanya Mgodi wa Bulyanhulu uliokuwa ukimilikiwa na Barrick kisha Acacia. Ardhi yetu imemeza matrilioni ya fedha. Nimefanya kazi kwenye hifadhi ya Serengeti kwenye hoteli ya kitalii...
  18. Randama ya Rasimu ya Katiba Mpya: Hivi ndivyo inavyosema kuhusu Serikali tatu

    SURA YA SITA MUUNDO WA JAMHURI YA MUUNGANO Ibara ya 60 Muundo wa Muungano a. Maudhui ya Ibara Ibara ya Rasimu ya Katiba inaainisha muundo wa Muungano wa Shirikisho la Serikali tatu, ambazo ni Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Serikali ya Tanganyika na Serikali ya Mapinduzi ya...
  19. U

    Serikali hii ya Mpito itafika ukomo ukifanyika uchaguzi 2025

    Huu ndo ukweli hii ni serikali ya Mpito kwakuwa haujafanyika uchaguzi wa kumchagua Rais, Rais aliyekuwepo madarakani alifariki hivyo katiba imempa alikuwa makamo wa Rais awe Rais japo katiba haijasema lakini ni serikali ya Mpito. Tupo kwenye transition kusubiri uchaguzi baada ya Rais...
  20. Mgeja amlipua Job Ndugai, aitaka Serikali ing'oe jina lake kwenye majengo ya umma

    SIKU moja mara baada ya aliyekua Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai kutangaza rasmi kujiuzulu wadhifa wake wa Uspika, baadhi ya wakazi wa Shinyanga wametoa maoni yao kuhusiana na maamuzi yake hayo. Mmoja wa wakazi hao, ambaye ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Tanzania...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…