serikali

  1. N

    Serikali yaokoa mabilioni ya pesa Kigoma

    Tangu Tanzania ipate uhuru Kigoma wamekuwa wakitumia umeme wa Jenereta lakini serikali ya Rais Samia Suluhu imefanikiwa kuiunganisha kigoma katika Grid ya Taifa na kufanikiwa kuzima majenereta yote ya Kibondo, Ngara na Biharamulo na kuanza kutumia umeme wa gridi ya Taifa. kwa kufanikiwa kuunga...
  2. Haki za Wasichana: LHRC yashinda kesi dhidi ya Serikali ya Tanzania

    Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu mnamo mwaka 2019 kilifungua shauri dhidi ya Serikali ya Tanzania kwa niaba ya wasichana wa Tanzania katika Kamati ya Afrika ya Wataalamu ya Haki na Ustawi wa Mtoto Shauri hilo lililenga kuwatetea wasichana wa Tanzania wanaopata ujauzito wakiwa bado shuleni...
  3. Serikali iishawishi TFF iwatoe kifungoni ndugu Dauda na Manara ili waambatane na Serengeti Queens huko India

    Serikali kupitia Wizara ya Michezo iishawishi TFF iwatoe kifungoni bwana Shaffih Dauda na Haji Manara kwa maslahi ya nchi kwenye upande wa hamasa wa Timu zetu za Taifa. Pamoja na mapungufu ya wadau hao wa Soka bado ni watu muhimu kwenye uga wa hamasa na kukosea kwao isiwe sababu ya kushindwa...
  4. Tovuti za serikali ya Iran zadukuliwa

    kama njia moja ya kupinga tukio la kumuua mwanamke kisa kaonyesha nywele zake, wadukuzi wamepiga chini tovuti za serikali ya Iran. Tehran, Iran – Several Iranian government and state-affiliated media websites are down after a Twitter account linked to the “Anonymous” hacker collective claimed...
  5. A

    Nawezaje kurejesha pesa nilizotuma kimakosa (Malipo ya Serikali)

    Habari wanaJamii, leo nimetuma pesa zilizozidi kimakosa kwenda RITA; kwa maana nimetuma 30,000 badala ya 3,000, ni utaratibu upi nawezafanya kupata kiasi nilizozidisha? msaada tafadhali.
  6. Serikali ya Tanzania yatoa tahadhari ya Mlipuko wa Ugonjwa wa Ebola

    NAIBU WAZIRI WA AFYA, Dkt. Godwin Mollel (Mb) amesema, mnamo tarehe 20 mwezi Septemba, 2022 Wizara ilipata taarifa kupitia vyombo mbalimbali vya habari juu ya mlipuko wa ugonjwa wa Ebola nchini Uganda. Taarifa ilieleza mgonjwa aliyethibitika kuwa na ugonjwa wa Ebola amefariki wilayani Mubende...
  7. Naibu Spika Zungu na Serikali Waungwe Mkono, Bando Zinapaswa Kuwekwa Tozo

    Hoja ya Zungu kwa wenye akili watafikiria vizuri na kuisupport, serikali imekua ikipoteza mapato kupitia bando. Sasa hivi matumizi makubwa yamehama kutoka kwenye voicecall na kuwa kwenye bando. Hivyo ninaomba kwa wale wenye akili waunge mkono wazo Hilo la serikali kwa kufikiria na kuja na tozo...
  8. Naibu Spika ashauri Serikali kudhibiti makato ya Mabenki na Kampuni za Simu kwa wateja

    Baada ya Serikali kutangaza kufuta baadhi ya Tozo za miamala ya Kieletroniki, Naibu Spika Mussa Zungu amesema Serikali iangalie namna ya kupunguza makato yanayokatwa na Mabenki na Kampuni za Simu kwasababu yanazidi Tozo zinazochukuliwa na Serikali. Zungu amesema wananchi wengi hawatazami mapato...
  9. Hongera serikali kusikia kilio cha tozo

    Serikali kupitia Wizara ya Fedha na Mipango imetangaza kufuta tozo tatu za miamala ya kieletroniki kuanzia Oktoba Mosi mwaka huu. Naipongeza serikali kwa kuwa sikivu na kuja na marekebisho yaliyowezesha kufutwa baadhi ya tozo. Aidha, naungana na wasomi na wabunge walioshauri kuangalia namna ya...
  10. Sababu za kwanini bei za vyakula Tanzania zipande mara dufu

    Wakuu sina mengi hizi ni sababu zangu kutokana na hali halisi iliyopo huku mashambani kunakofanyika kilimo..( nipo kilombero morogoro) ZAO MPUNGA Bei ya kukodi shamba Ni laki 2 kutoka laki 1 msimu uliopita Bei ya kuvuruga ni laki moja na 40 kutoka 80elf msimu uliopita Bei ya kupanda ni laki...
  11. Serikali hizi tozo ni balaa. Nilichokiona Nyamhongolo stand ni wizi juu ya wizi

    Habarini wanajukwaa na watanzania tunaokamuliwa na wajanja wachache. Yaani inakuwaje jamani watu Kama watano tu wanatuendesha sie nyumbu. Tunamcheka nyumbu 10k wanakimbia chui 5 Ila na sie hatuna tofauti. Wanatumia nyumbu wenzetu maaskari kutudhibiti tunaotaka kuwatetea Mana watt wao wanasoma...
  12. Kenya: Magoha aishauri Serikali kufunga tovuti za Ngono kuokoa Vijana

    Katibu wa Baraza la Mawaziri upande wa Elimu anaye maliza muda wake George Magoha ameishauri Serikali kuzifungia tovuti zote zinazo jihusisha na maudhui ya ngono nchini Kenya ili kuwanusuru vijana hasa wanafunzi dhidi ya athari hasi za tovuti hizo. Amebainisha kuwa pamoja na kuwa dunia...
  13. Maboresho ya Bandari ya Mtwara chini ya Serikali ya Rais Samia Suluhu yazaa matunda.

    Serikali ya Rais Samia Suluhu iliwekeza kiasi cha TZS 157.8bn/- mnamo mwaka 2021 kwa lengo la kuboresha uwezo wa bandari ya Mtwara ikiwamo kuongeza kina cha bahari ili iweze kupokea meli zinazoweza kubeba shehena kubwa zaidi za mizigo. Baada ya ujenzi huo kukamilika mapema mwaka huu, bandari...
  14. Serikali inaangalia uwezekano wa kuongeza malipo ya mafao ya wastaafu

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako amesema uamuzi wa kuongeza malipo ya kila mwezi utafanyika baada ya tathimini kuona uhimilivu wa mifuko ya Hifadhi ya Jamii. Ndalichako alikuwa akijibu swali kuhusu kuwalipa warithi 67% ya...
  15. Kamati Kuu ya CCM fanyeni maamuzi magumu. Mpumzisheni Rais Samia, Serikali yake ni kigeugeu!

    Alianza kwa kasi Sana na tuhuma za ugaidi Hadi nchi yetu ikaanza kujulikana kwa tishio la ugaidi kwa mataifa ya nje, na kesi akamfungulia mtuhumiwa Mwisho wa siku kesi ikayeyuka na mtuhumiwa hatari wa ugaidi KILA siku anakaribishwa ikulu Sasa unajiuliza Mbowe aliyekuwa Gaidi Ndio huyu wa...
  16. R

    Kishindo Kamati Kuu Chadema, Serikali imefuta Tozo ghafla

    Kama kawaida ya chama makini cha watu na watanzania kila kinapokohoa tu lazima asubuhi au usiku huo huo tushuhudie matamko ya serikali. Ni juzi tu Mh Mbowe alikohoa kuhusu tozo basi baraza la mawaziri halikulala. Juzi na jana Kamati kuu ya Chadema ikideal na maswala mtambuka ya Nchi ikiwemo...
  17. Chadema: Wabunge 19 wa viti maalumu waondolewe Bungeni kabla ya mwezi Novemba, 2022

    Mzungumzaji kuu ni Mhe. Salimu Mwalimu, Naibu Katibu Mkuu wa Chama hicho ambaye anaelezea maamuzi ya kamati kuu iliyoketi Septemba 17-18, 2022 Kamati kuu imeitaka Serikali kupeleka muswada wa kufuta sheria mpya ya tozo ambayo imekuwa mzigo mkubwa kwa watanzania. Serikali ije na mpango madhubuti...
  18. Mwigulu Nchemba: Tumefuta baadhi ya tozo, nyingine tumepunguza kwa asilimia 10-50

    Akizungumza leo bungeni, Waziri wa Fedha na Mipango Mwigulu Nchemba amesema uongezwaji wa wigo wa kukusanya mapato kupitia tozo uliibua malalamiko kwenye jamii, hivyo Kamati kuu ya Chama cha Mapinduzi iliagiza upitiwaji upya wa tozo hizi na kuzingatia maoni ya wananchi. Marekebisho yafuatayo...
  19. Uzi wa kuishauri serikali sehemu ya kupata mapato!

    Kwa vile serikali inahangaika sana ni vipi itapata mapato na kwenda mbali kuweka tozo zinazoumiza wananchi. Nimeona nifungue uzi wa kutoa ushauri ni wapi “Mwigulu” akatafute mapato. 1. Serikali ilikua na mpango wa kuokoa pesa kwa njia ya kukodisha magari kwa viongozi. Huku tutapata pesa nyingi...
  20. Tusinyamaze tukemee huu Wizi tunaofanyiwa na Serikali

    Kila transaction uliyofanya kuanzia mwezi wa 7 serikali inakukata 4000 mara 2. Huu ni WIZI. nasisitiza huu ni WIZI WA WAZI KABISA. Serikali Hii inafanya WIZI WA PANYA OFFICE. ni tofauti ndogo tu na PANYA ROAD. Watanzania tusikubali na kuruhusu huu WIZI tunaofanyiwa na Serikali hii ya kikatili...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…