serikali

  1. R

    JamiiForums Tanzania Waziri Dkt. Gwajima aagiza kesi ya Diwani aliyewachapa viboko wazee ifufuliwe

    Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, imeielekeza ofisi ya Ustawi wa Jamii Mkoa wa Tabora kwa niaba ya Kamishna wa Ustawii wa Jamii, kushirikiana na vyombo vya haki mkoani humo kuhakikisha wanafufua shauri la wazee waliochapwa viboko kwa tuhuma za kishirikina, ili...
  2. Kabende Msakila

    JamiiForums Tanzania Serikali, tufanye nini kupata mbolea ya kukuzia wilayani Kakonko?

    Serikali yetu ishukuriwe kwa mbolea ya ruzuku hususan ya kupandia iloletwa hapa wilayani Kakonko mwaka huu. Tuliipokea kwa kishindo lkn sasa changamoto kubwa ni mbolea ya kukuzia ambayo imecheleweshwa huku mimea ikiendelea kukua. Swali: Tufanyeje kupata mbolea ya kukuzia hapa wilayani Kakonko?
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Arusha: DC Mtanda akanusha madai ya Gambo kusakwa na viongozi wa Serikali ili auawe

    Mkuu wa Wilaya Arusha (DC), Said Mtanda amesema hakuna mpango wowote wa kiongozi wa Serikali kumuuwa Mbunge wa Arusha Mjini (DC), Mrisho Gambo. Akizungumza na waandishi wa habari DC Mtanda amesema Serikali haina nia ovu dhidi ya Gambo. "Nimekuwa nikiona na kufuatilia kwenye mitandao ya kijamii...
  4. Black Legend

    JamiiForums Tanzania Wafanyakazi wamekosa mtetezi kwa sasa

    Wafanyakazi wamekosa mtetezi kwa sasa; serikali tazameni haki hizi za watumishi: 1. Kodi kubwa mno za mishahara. 2. Kutolipwa malimbikizo ya madai ya mishahara (tatizo kubwa na la muda mrefu). 3. Kutopewa malipo ya likizo kwa muda muaafaka. 4. Kutopandishwa vyeo kwa muda muafaka. 5...
  5. Black Legend

    JamiiForums Tanzania Ni wakati muafaka watumishi kuvikataa vyama vya wafanyakazi nchini

    Ni muda mrefu sasa watumishi nchini wamekuwa wakinyimwa haki zao ambazo zingine ni za kikatiba kabisa, kwa mfano kupewa nyongeza ya mishahara kila mwaka (annual incriment), upandaji wa vyeo, ulipwaji wa madeni na stahiki zingine, n.k. Kutokana uwepo wa vyama vya wafanyakazi (trade unions) kama...
  6. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Zanzibar: Meli ya Serikali iliyokarabatiwa kwa Tsh. Bil 3.6 yauzwa kwa Tsh. Mil 536.8

    Meli ya MV Maendeleo yenye uwezo wa kubeba abiria 600 na tani 697 za mzigo kwa wakati mmoja ilikuwa ikifanyiwa matengenezo Bandari Kavu ya Mombasa, Kenya. Wizara ya Uchukuzi Zanzibar imechukua uamuzi wa kutoendelea na ukarabati na kuiuza Meli hiyo kwa mnunuzi ambaye hajatajwa ili kupunguza...
  7. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Zimbabwe: Mtoto wa Rais Mnangagwa awekewa vikwazo na Serikali ya Marekani

    Idara ya Hazina imetangaza kuwaongeza Wazimbabwe 4 na kampuni 2 zinazohusishwa na mfanyabiashara Kudakwashe Tagwirei na kampuni yake ya Sakunda Holdings, ambao tayari wako kwenye orodha ya vikwazo vya Marekani. Mtoto wa Mnangagwa ametajwa kwenye orodha hiyo baada ya kubainika kuwa ndiye...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Siyo mikopo yote ya Serikali ni mibaya

    Nashangazwa sana na watu ambao wana lalama kila siku kuhusu mikopo ya serikali bila kuelewa aina ya mikopo hiyo. Inasikitisha Watanzania tuna uvivu sana wa kufuatilia mambo badala yake tunapinga na kushabikia vitu bila kujua. Nilishangaa kuna watu walishangilia Magufuli kukopa mkopo mbaya wa...
  9. K

    JamiiForums Tanzania Exported manufactured goods inject 3.2trilion Tzs in 2022

    The amount was more than double of the amount earned from exports of gold, or combined exports earnings from traditional exports, horticultural products and other minerals. This shows an ongoing expansion of industrialization drive, which the government embarked on transforming the economy to...
  10. February Makamba

    JamiiForums Tanzania Hivi serikali haiwezi kubadilisha mtaala tukatumia wa Cambridge international?

    Yahoo! Imeshathibitika pasi na shaka kuwa huu mtaala wa elimu aliotuachia mkoloni hauna manufaa yoyote kwa mtu mweusi, unazalisha wajinga na waoga na masikini wa fikra. Ni heri mtu asisome (aishie darasa la 3 tu ajue kusoma na kuandika) kuliko hawa wanaomaliza mpaka degree na wengine masters na...
  11. L

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia imeleta tabasamu na matumaini katika kila Sekta

    Ndugu zangu, Mnyonge mnyongeni Haki yake mpeni, Serikali ya Rais Samia imeleta Tabasamu na matumaini katika kila secta, Leo hii ukiangalia na kufuatilia kila secta utagundua na kuona kuwa Rais Samia amefanya uwekezaji na mapinduzi makubwa katika kila secta inayogusa maisha ya mtanzania, kila...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo: Nasakwa sana, sili wala sinywi ovyo nisije kuwekewa sumu. Labda wanivizie getini wanipige risasi

    Mbunge wa Arusha mjini Mrisho Gambo amesema wasiojulikana wanamsaka kila kona lakini hatamuweza kwa sababu yeye siyo lofa. Gambo amesema hali wala hanywi hovyo kwa sababu anaweza kuwekewa sumu, hivyo kwa sumu hawatampata labda wanivizie getini wampige risasi! Gambo amesema hata ofisini kwake...
  13. L

    JamiiForums Tanzania Serikali Ya Rais Samia yapongezwa Na Wafanyabiashara, Waahidi kumuunga mkono kwa kulipa Kodi kwa uaminifu

    Ndugu zangu wafanyabiashara mbalimbali wameipongeza Serikali Ya Rais Samia kwa kuwasaidia kufanya Biashara kwa Amani na utulivu kwa kuzingatia Sheria kanuni na Taratibu,wafanya Biashara wamefurahishwa na namna wanavyopata ushirikiano kutoka kwa serikali yao,wanafurahishwa na namna Elimu hasa...
  14. Kamanda Asiyechoka

    JamiiForums Tanzania Mbona Dkt. Mwigulu haeleweki? Yaaani madeni ya sekta binafsi ni ya Serikali? Mmemuelewa Watanzania?

    Haeleki kabisa
  15. Sambinyakwe kitololo

    JamiiForums Tanzania Hivi haiwezakani sisi na Serikali kila mtu akawa na maisha yake tusiingiliane?

    Tunapoelekea ni kubaya sana naona madeni yanazidi kila kukicha, niliwaza tu ifikie hatua Serikali iwe private na sisi tuishi maisha yetu ,barabara zilizoko zinatosha shuleni za serikali igeuze ziwe private tutalipa ada kama kawaida. Masuala ya michango yafe maana shule private huwa hatukuwa...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Kwa mwaka 1 na miezi 9 Serikali ya Samia imeokoa Trilioni 20

    Kwa miaka 5 Magufuli alikopa Trilioni 36, wastani wa Trilioni 7 kwa mwaka. Magufuli alipofariki mwaka jana mwezi March aliacha Deni la Taifa liko Trilioni 71. Toka mwaka jana Mwezi Aprili hadi October mwaka huu kwa mujibu wa ripoti ya Benki kuu ya Tanzania Deni la Taifa limeongezeka kwa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Ubaya wa Hayati JPM ni kudhibiti mianya ya rushwa na kusimamia vyema mapato ya Serikali?

    Watanzanzania sio watoto wadogo. Wanaakili timamu. Tamko lako kuwa wabaya wanakufa na wema wanasurvive lilimlemga mojamoja kwa moja hayati JPM. Kisa cha wewe kumlenga ni kwa sababu alidhibiti mafisadi ? Alihakikisha hakuna mgao wa umeme unaoletwa na January? Alihakikisha kuwa pesa za umma...
  18. D

    JamiiForums Tanzania Kama Wizara ya Maliasili na Serikali hawana mkakati wa kutokomeza kunguru weusi, tuwape tenda wachina

    Kama nchi ningeshauri tujifunze kushughulika na kero hata kama hazina madhara ya moja kwa moja! Huko ulaya wenzetu huwa wanafanya oparesheni ya kuondoa paka, mbwa na ndege wasio natija! Hata hapa kwetu sioni kama inashindikana kuwaondoa kitaalam hawa kunguru weusi! Historia inasemekana wazo la...
  19. brokenagges

    JamiiForums Tanzania Ni hujuma kwa Taifa

    Hii ni dharau kwa Rais samia pamoja na serikali yake kwa ujumla. Ni jambo lenye fedheha kabisa rais anapotoa maelekezo yasizingatiwe. Mkuu wa nchi anapoongea inakuwa ni amri. tumekosa mvua kwa muda mrefu na kumekuwepo na uhamasishaji kutoka kwa mheshimiwa Rais, makamu wa rais, waziri mkuu na...
  20. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Iran: Mfungwa aliyekamatwa kwa kuipinga Serikali anyongwa

    Serikali imetangaza ni tukio la kwanza la kunyongwa hadharani kwa Mohsen Shekari aliyekutwa na hatia ya kufanya uhalifu ikiwemo kumshambulia Askari kwa Kisu na kufunga Barabara Adhabu hiyo inakuja wakati wafungwa wengine pia wakikabiliwa na uwezekano wa kuhukumiwa kifo kwa kuhusika katika...
Back
Top Bottom