serikali

  1. T

    JamiiForums Tanzania Maelezo ya Waziri Bashe kuhusu serikali kununua mazao wakati wa mavuno na kuyauza baadaye, tumemjua anayetuuzia maharagwe 3,800 kwa kilo

    Mawaziri wa CCM leo kwenye sherehe za CCM Morogoro mbele ya Karibu Mkuu wakijibu kero kwa wananchi wamedhihirisha kuwa maamuzi mabovu ya serikali yao ni chanzo cha matatizo Kwa Watanzania. Ona mifano hii. Waziri wa kilimo anasema serikali ya Mhe. Samia Ina nunua mazao ya wakulima wakati wa...
  2. JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kulipwa fidia ya ardhi na Serikali upo vipi?

    Nimerudi nyumbani Iringa kusalimia mwezi uliopita sasa kuna ndugu yangu alinunuaga shamba maeneo ya Tagamenda Iringa Mjini miaka mitatu iliyopita muda mfupi Serikali walilihitaji hilo eneo kwaajili yakufunga mitambo ya kufua umeme wananchi walijenga eneo hilo na kununua mashamba walihaidiwa...
  3. JamiiForums Tanzania Imekaaje Tundu Lissu kudai gari yake ni V8 ya kisasa ila anaitaka Serikali ibane matumizi?

    Tundu Lissu amesema gari yake ni V8 ya kisasa yenye " Kafridge" katikati ya kiti cha abiria na Dereva. Inawezekana vipi mtu mwema wa hivi akaishauri Serikali kubana matumizi ikiwemo kuacha kununua na kutumia magari ghari na ya anasa
  4. JamiiForums Tanzania Mjema: Serikali awamu ya sita imedhamiria kuboresha huduma ya mama na mtoto Tanzania

    SOPHIA MJEMA:SERIKALI AWAMU YA SITA IMEDHAMIRIA KUBORESHA HUDUMA YA AFYA YA MAMA NA MTOTO. CHAMA Cha Mapinduzi(CCM) kimesisitiza moja ya mikakati ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dk.Samia Suluhu Hassan ni kuhakikisha huduma za afya hasa ya Mama na Mtoto inaendelea kuboreshwa...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Je, Waziri Nchemba ni 'Hirizi' ya Awamu ya Rais Samia na kwamba ikitupwa Serikali haitoongoza vyema Tanzania?

    Labda Siku atakayomjibu hovyo Boss wake ambayo naiona haiko mbali ndipo ataondolewa katika Wizara aliyoko ili Watanzania tupumzike na Dharau zake, Kiburi chake na Ushamba wake.
  6. R

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Fedha, Mambo ya ndani, Waziri wa Kazi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali msaidieni Rais kudhibiti wageni wanaoajiriwa bila vibali nchini

    Nimefanya utafiti mdogo kuhusu Sababu za kuongezeka Kwa wageni wanaofanya kazi nchini kinyume cha sheria na mbinu za ukwepaji Kodi wanazotumia nikadhani sheria zetu ni rafiki Sana Kwa wafanyabiashara wakubwa kukwepa Kodi nchini. Nimesoma sheria ya za Uhamiaji nikashtuka kubaini kwamba kampuni...
  7. JamiiForums Tanzania Naiomba serikali iliangalieni suala la aina ya mipango ya elimu, hali ni mbaya

    Utaratibu mzima wa mipango ya elimu na utekelezaji wake kwa kiasi kikubwa unatia mashaka sana. Kwa muda mfupi nimeweza kuona mambo yafuatayo ambayo hayaridhishi na hayawezi kusukuma utekelezaji kwa kuhusisha wadau wote wa elimu. Mambo hayo ni pamoja na: 1. Viongozi kujikita zaidi kwenye...
  8. JamiiForums Tanzania Polisi: Baadhi ya madereva wa magari ya Serikali huwa ni chanzo cha ajali

    Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Morogoro, SSP Zauda Mohamed amesema baadhi ya madereva hao wamekuwa hawazingatii sheria, Kanuni na taratibu. Ameyasema hayo wakati akitoa elimu kwa madereva wa magari ya Serikali Mkoani Morogoro ambapo amewataka wale wanaoendesha viongizi wakubwa...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Mtwara na Mnivita walamba asali, serikali ya Rais Samia inaendelea kutekeleza ahadi zake

    Baada ya mateso ya muda mrefu kwa wananchi wa Mtwara na Mnivita kutokana na changamoto ya ubovu wa barabara, serikali sikivu ya Dkt. Samia Suluhu Hassani imetatua changamoto hiyo kwa kamilisha ujenzi wa barabara yenye urefu wa kilomita 50km kwa kiwango cha lami. Lengo la serikali ni...
  10. JamiiForums Tanzania Jiwe la Tanzanite lililonunuliwa na Serikali kwa 10 Bilion kutoka kwa Mchimbaji Laizer kipindi cha Hayati Magufuli liko wapi?

    Mada inajieleza. Lile jiwe la Tanzanite limewekwa wapi na linatunzwa na Nani? Kama lipo litahifadhiwa hadi lini? Kama halipo Lili kwenda wapi baada ya kifo cha mpendwa wetu?
  11. JamiiForums Tanzania Mauaji Uvinza: Afisa Misitu na Askari wa Jeshi la Akiba wauawa wakiwa doria. Serikali ioneshe makucha haraka

    Hello JF Habari za kuaminika toka Uvinza Kigoma kuna mauaji hatari yametokea maafisa misitu na Askari wa jeshi la akiba wameuawa vibaya, wahusika hasa TFS, jeshi la Polisi, Mamlaka ya Wilaya ya Uvinza na Mkoa wa Kigoma tafadhari onesha nguvu ya Serikali. Ni hatari sana ni hatari sana...
  12. JamiiForums Tanzania Pesa za plea bargaining zimepotea. Well, that is interesting. Lakini sasa hivi watu wanataka kuiona serikali mpya ya Rais Samia

    Rais anatangaza kuunda serikali yake upya, halafu baadaye anakwenda Davos, anakwenda Dakar, anazitafuta pesa za plea bargaining. Mpaka unafikiria labda Rais amekumbana na kigingi katika mpango wake wa kuifumua serikali.
  13. L

    JamiiForums Tanzania Naishauri Serikali ya Rais Samia kuwawezesha Wafanyabiashara wa Kitanzania kuwa mabilionea, Ili Uchumi wetu uwe Mikononi Mwetu Watanzania

    Ndugu zangu watanzania, Huo Ni ushauri wangu kwa serikali ya Rais Samia kuhakikisha kuwa inawapa kipaombele wafanyabiashara wakubwa wa kitanzania katika kila aina ya fursa ya kibiashara,Tenda katika miradi ya serikali na maeneo mengine makubwa makubwa yanayogharimu kiasi kikubwa Cha fedha...
  14. JamiiForums Tanzania Hatimae Serikali imekubali kwamba hakuna kitu kinaitwa kipaji maalumu

    Hatimae Serikali imeanza kutoka kwenye zama za ujinga za kutenga shule kadhaa na kuziita za vipaji maalumu. Serikali kusitisha mfumo wa kutangaza mwanafunzi wa kwanza sijui wa mwisho ni mwanzo mwema wa kuhama kutoka kwenye ujinga/zama za giza na kwenda kwenye mwanga na kuleta mapinduzi kwenye...
  15. JamiiForums Tanzania Unyama wa Walimu, Serikali imulike ukatili wa walimu dhidi ya wanafunzi mashuleni

    Walimu hawana utu wala huruma, sasa wameamua liwalo na liwe. Piga, uwa, garagaza. Hawajali tena namna ya upigaji, mtoto wa kike apigwe mkononi, wa kiume matakoni. Walimu wanapiga ngumi wanafunzi utadhani wako kwenye tamasha la Karate. Wanawazaba watoto vibao vya uso, ukatili mbalimbali...
  16. JamiiForums Tanzania Tuache kuwatahini watoto ili kujua mwenye uwezo wa kukariri, hakuna mtoto aliye-fail, bali serikali ndiyo ina-fail

    Wasalaam wana JF Naomba nikiri katika pita pita zangu za kielimu nimegundua mambo yafuatayo: 1. Elimu inapaswa ifundishe watu kutatua matatizo yao na siyo yenyewe kugeuka kuwa tatizo. 2. Siyo kila tatizo la kidunia linatatuliwa na mfumo rasmi wa kielimu ambao unapima uwezo wa kukariri na si...
  17. JamiiForums Tanzania Watatu walioteuliwa Ukuu wa Wilaya, akiwemo Japheth Maganga wadaiwa kukataa uteuzi

    Salaam Wakuu, Japheth Maganga aliyetuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa, mkoani Kagera akataa uteuzi wa Ukuu wa Wilaya alioteuliwa na Rais Samia hivi karibuni. Japhet kasema, baada ya Kushauriana na Familia yake, alimuandikia rais Samia kumshukuru kwa kumteua pia na kumuomba atengue uteuzi...
  18. JamiiForums Tanzania Maoni: Ili kujenga uzalendo, Serikali ifute shule zote binafsi hapa nchini tubaki na shule za kata tu!

    Habari wakuu? Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Baada ya Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) kutangaza matokeo ya mitihani ya Kidato cha Nne (CSE), nimetafakari sana na kugundua njia nzuri ya kuboresha elimu hapa nchini ni ama kufuta au kutaifisha shule zote za binafsi ili...
  19. JamiiForums Tanzania Tunapowaambia CWT ni tawi la serikali muwe mnaelewa!

    Angalia pamoja na mgogoro uliokuwepo lakini viongozi wakubwa wa CWT wamekula uteuzi wa wakuu wa WILAYA! Tunapowaambia hiki chama ni tawi muwe mnaelewa! Sina mengi kwa leo
  20. JamiiForums Tanzania KERO Responded Usaili kada za Serikali kufanyika Dodoma ni kipengele. Mfumo ubadilishwe

    Habari za wakati huu, Hili suala la usaili kufanyika Dodoma lizingatiwe tena na tena, sikatai lengo lilikuwa ni jema ila changamoto zimekuwa ni nyingi unakuta mtu anaitwa usaili wa kuandika tarehe 25 kisha ukipita hapo wa vitendo tarehe 28 ama mahojiano 29, sasa ukiangalia kwa haraka, asie na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…