serikali

  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Unyama wa Walimu, Serikali imulike ukatili wa walimu dhidi ya wanafunzi mashuleni

    Walimu hawana utu wala huruma, sasa wameamua liwalo na liwe. Piga, uwa, garagaza. Hawajali tena namna ya upigaji, mtoto wa kike apigwe mkononi, wa kiume matakoni. Walimu wanapiga ngumi wanafunzi utadhani wako kwenye tamasha la Karate. Wanawazaba watoto vibao vya uso, ukatili mbalimbali...
  2. MIXOLOGIST

    JamiiForums Tanzania Tuache kuwatahini watoto ili kujua mwenye uwezo wa kukariri, hakuna mtoto aliye-fail, bali serikali ndiyo ina-fail

    Wasalaam wana JF Naomba nikiri katika pita pita zangu za kielimu nimegundua mambo yafuatayo: 1. Elimu inapaswa ifundishe watu kutatua matatizo yao na siyo yenyewe kugeuka kuwa tatizo. 2. Siyo kila tatizo la kidunia linatatuliwa na mfumo rasmi wa kielimu ambao unapima uwezo wa kukariri na si...
  3. figganigga

    JamiiForums Tanzania Watatu walioteuliwa Ukuu wa Wilaya, akiwemo Japheth Maganga wadaiwa kukataa uteuzi

    Salaam Wakuu, Japheth Maganga aliyetuliwa kuwa Mkuu wa Wilaya ya Kyerwa, mkoani Kagera akataa uteuzi wa Ukuu wa Wilaya alioteuliwa na Rais Samia hivi karibuni. Japhet kasema, baada ya Kushauriana na Familia yake, alimuandikia rais Samia kumshukuru kwa kumteua pia na kumuomba atengue uteuzi...
  4. tpaul

    JamiiForums Tanzania Maoni: Ili kujenga uzalendo, Serikali ifute shule zote binafsi hapa nchini tubaki na shule za kata tu!

    Habari wakuu? Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha. Baada ya Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) kutangaza matokeo ya mitihani ya Kidato cha Nne (CSE), nimetafakari sana na kugundua njia nzuri ya kuboresha elimu hapa nchini ni ama kufuta au kutaifisha shule zote za binafsi ili...
  5. Mlalamikaji daily

    JamiiForums Tanzania Tunapowaambia CWT ni tawi la serikali muwe mnaelewa!

    Angalia pamoja na mgogoro uliokuwepo lakini viongozi wakubwa wa CWT wamekula uteuzi wa wakuu wa WILAYA! Tunapowaambia hiki chama ni tawi muwe mnaelewa! Sina mengi kwa leo
  6. Just Distinctions

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Usaili kada za Serikali kufanyika Dodoma ni kipengele. Mfumo ubadilishwe

    Habari za wakati huu, Hili suala la usaili kufanyika Dodoma lizingatiwe tena na tena, sikatai lengo lilikuwa ni jema ila changamoto zimekuwa ni nyingi unakuta mtu anaitwa usaili wa kuandika tarehe 25 kisha ukipita hapo wa vitendo tarehe 28 ama mahojiano 29, sasa ukiangalia kwa haraka, asie na...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Nimetafakari kuhusu matokeo Ya Mitihani, je kuna jambo lolote Serikali ya ccm imeshafanya vizuri kwa ufasaha zaidi ya kuiba kura kwa ufasaha?

    Sio kwenye elimu tu, huko kwenye afya na kilimo mambo ni fyongo tu. Tuje sasa kwenye uchaguzi, mwaka 2019 walishinda vijiji vyote kwa 100% na mwaka 2020 walishinda ngazi zote za uchaguzi kwa asilia 90-100% Kama nguvu ile ya kuiba uchaguzi ingetumika kwenye Kilimo kusinge kuwa na njaa wala...
  8. tang'ana

    JamiiForums Tanzania Shule yetu ya kata ina matokeo mazuri kuliko shule nyingi za Dar

    Hii ni shule ya kata yetu mkoani Mara huko, shule haina muda mrefu tangu ianzishwe.. changamoto ni nyingi sana huko kijijini kwetu lakini ukiangalia matokeo ya hii shule in comparison na mashule mengi ya hapa Dar unaona kabisa hii shule imefanya vizuri sana. Hawa vijana wa Daslamu wasipokuwa...
  9. G

    JamiiForums Tanzania Serikali iboreshe mazingira ya shule zake iache kubadili gia hewani, fikra za Ushindani ni muhimu

    Wakuu mimi ni miongoni mwa watu wengi ambao tunatamani kuona mabadiliko makubwa kwenye elimu yetu, ninayo mengi ya kuyaandika juu ya mabadiliko ya elimu yetu. Sera ya Elimu yetu Mfumo wa Elimu yetu Mitaala Ubora Ila Kwa Leo nimeshangazwa na Serikali kupitia Necta chini wizara ya Elimu kutoa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania Wanaotuambia wanachama kuzifanyia promo shule za binafsi nchini watoto wao wanasoma shule za serikali?

    Nimeona imetolewa hoja kwamba kutangaza mwanafunzi Bora au kutangaza shule Bora nikuzifanyia marketing shule binafsi. Aliyetangaza au kutoa TANGAZO hili simfahamu historia yake lakini natabiri kwamba watoto wake aidha wanasoma au walisoma shule nzuri za private . Ametuambia NI vigumu...
  11. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Hili swala la bangi serikali iliangalie upya..kwa Sasa duniani bangi nibiashara kubwa mno ,tunajipa umaskini bila sababu !

    Hakuna kitu kinaniacha hoi kwa serikali kuruhusu pombe Kali ambazo zinaua watu zimejaa madukani!! Kama kitoko,k vant ,nyagi,john walker ,master,na nyingine kibao watu wanakauka mapafu ,afu inaenda kung'ang'ana na .. zao la bangi ambalo ni mmea TU ,biblia inayataja yote kama majani ya kondeni ...
  12. Empty containers Tanzania

    JamiiForums Tanzania Shule ya Temeke secondary naomba Serikali imulike macho umalaya umezidi

    Hii shule ya Temeke secondary %kubwa ya wanafunzi wa kike wanafanya umalaya mkubwa . Na vijana wa kiume wanavuta bangi .Sana.
  13. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Lissu alipuka kuhusu Usafirishaji Wanyama Nje ya Nchi, Serikali yajibu mapigo

    Kauli ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kuwa Serikali imekuwa ikiruhusu usafirishaji wa wanyama kwenda nje ya nchi tangu mwaka 1985, imeiibua Wizara ya Maliasili na Utalii ikisema hairuhusiwi mtu yeyote kusafirisha wanyama. Akizungumza kwa simu na Mwananchi, Katibu Mkuu wa Wizara ya...
  14. BigTall

    JamiiForums Tanzania Serikali za Mtaa zifanye jambo kuhusu usalama wa wanafunzi katika shule ambazo zina vichaka pembeni

    Huku mtaani kwetu kuna shule nyingi ambazo hazina uzio na mazingira yake pembeni yamekuwa na mitimiti ambayo ikifika mida ya jioni kunakuwa na mazingira flani ambayo ni hatarishi kwa wanafunzi. Sisi wenyewe ndio tumesoma kwenye shule nyingi za aina hiyo lakini sasa hivi tumekuwa nimegundua kuwa...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Mikutano imeanza bila kuwa na hoja za kuitikisa Serikali ya Rais Samia

    Ndugu zangu watanzania, Hivyo Ndivyo unavyoweza kusema,kwa wafuatiliaji wa siasa Tuliona mapema kuwa upinzani utapata shida kubwa Sana majukwaani katika kujenga hoja zenye kuwashawishi na kuteka Hisia za Watanzania,kutokana na sababu kuwa Rais Samia amefanyia kazi kero na changamoto mbalimbali...
  16. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Watoto kutokuripoti kidato cha kwanza baada ya kupangiwa shule, serikali ndio sababu. Serikali isikwepe wajibu

    Habari! Nimefuatilia habari za mikoa mbalimbali na wilaya zake, watoto wengi ambao wamepangiwa shule za sekondari kuanza kidato cha kwanza hawajaripoti shule mpaka leo. Yawezekana wapo wazazi ambao wanajichanga ili wawapeleke watoto wao shule na pia wazazi wengine hawana mpango wowote. Yote...
  17. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Serikali za Afrika zimerudi nyuma kwenye Utawala wa Bora na Demokrasia

    Ripoti Mpya kuhusu Utawala Bora barani Afrika iliyotolewa na Taasisi ya Mo Ibrahim imeonesha kwa miaka 3 iliyopita, Maendeleo ya Binadamu na Uchumi yameshuka kutokana na kudorora kwa Demokrasia na hali ya Usalama. Pia, imeonesha Serikali za Nchi nyingi zimekuwa na Ukiukaji wa Haki za Kiraia...
  18. polokwane

    JamiiForums Tanzania Serikali iache kufanya maamuzi ya mihemko kwenye masuala ya elimu

    Kumekuwa na changamoto kubwa sana viongozi wa Serikali kuja na maamuzi ya mihemko sana linapo kuja tukio lolote lisilofaa lililofanywa na mwalimu. Idara zote zina watu wenye mapungufu sasa tatizo lililopo kwenye Serikali hii kila kiongozi huwa ni msemaji wa elimu na huwa wanakuja na maamuzi...
  19. technically

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Serikali mrejesheni haraka mwalimu aliyesimamishwa kazi

    Tunaua kizazi cha sasa na kesho kwa sababu ya kuchekea chekea watoto. Sisi mbona tulichapwa fimbo mpaka 50? Sisi mbona tuliteswa uko JKT baada ya kumaliza form six? Tulikufa au tulikuwa tunafundishwa Maisha? Tunatengeneza taifa la mashoga kwa upumbavu wetu. Shule ni amri kama ilivyo kwa...
  20. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Ummy: 30% ya watu Nchini Wana ugumba, Serikali inafikiria kupunguza gharama upandikizaji mimba

    Waziri Ummy Mwalimu amesema tatizo la ugumba bado ni kubwa nchini, " mpaka sasa hakuna takwimu rasmi za kitaifa ila utafiti mdogo ambao unaonesha 30% ya watu wana tatizo la ugumba, Duniani inakadiriwa kuwa kila mahusiano ya wenza wanne, mmoja kati yao anakua na tatizo la kupata watoto." Aidha...
Back
Top Bottom