serikali

  1. BARD AI

    Serikali ina lengo gani kutetea Sheria ya Ndoa inayoruhusu watoto wenye miaka 14 kuolewa?

    Mapungufu na changamoto zilizopo katika Sheria hii zinaleta mkanganyiko katika kusimamia na kutafsiri masuala yanayohusu ndoa nchini Tanzania. Kwa mfano Sheria ya Ndoa inakinzana na Sheria ya mtoto ambayo inamtafsiri mtoto kama mtu yoyote alieko chini ya umri wa miaka 18, wakati Sheria ya ndoa...
  2. P

    Mbinu ya Majaliwa kuficha aibu na Kazi ya Serikali ya lazima ya uokoaji

    Mimi ni mmoja wa walioamini katika story ya Majaliwa Jackson kijana wa kihaya aliyeokoa abiria siku ile ya ajali ya Ndege ndani ya Ziwa Victoria. Nilipomuona anaongea katika runinga akihojiwa na mtangazaji wa TBC asubuhi baada ya ajali kutokea jana yake nikaamini nilichokiona. Kijana ameucheza...
  3. T

    Serikali itunge Sheria ili mahojiano kati ya trafiki na dereva yafanyike huku abiria wakisikia Kila kitu. Kama inataka kufuta rushwa Kwa trafiki

    Ndugu wanabodi huwa nakerwa sana na hii tabia ya askari wa usalama barabarani kuchukuana na kondakta au dereva wa gari na kuenda kumalizana nyuma ya gari. Utamaduni huu unafuga rushwa na kupelekea zoezi la ukaguzi wa magari kufanywa kisanii tu. Naiomba serikali ipitishe Sheria mahojiano kati ya...
  4. The Palm Beach

    Watanzania msilalamike. Shukuruni na tuendelee kuomba Mungu. Nchi hii hatua kwa hatua inatoka mikononi mwa wakoloni weusi CCM...!

    Hakuna ubishi kuwa, mambo katika nchi yetu hayako shwari. Uamusho na ukombozi huwa hauji katikati ya furaha ya kula na kunywa. Mambo yalifikia ukomo wa uharibifu mwaka 2015 mara baada ya John P. Magufuli kutawazwa kuwa Rais wa 5 wa Tanzania. Huyu alianza kwa kuharibu mfumo wa kisiasa na...
  5. usatz

    Je, Serikali haina Imani na Wataalamu wa ndani?

    Leo nimesikia kwenye Taarifa ya habari ya E FM radio, 93.7 Dar es salaam. Kuwa Mradi wa Maji uliotolewa na World bank, Mkandarasi ni Mchina. Juzi nikiwa maeneo ya madale niliona wachina wakiwa wanasimamia uwekaji wa mabomba ya maji maeneo hayo. Swali ni kwamba? 1. Serikali haina imani na...
  6. Justine Marack

    Bando za Intaneti kuangusha Serikali ya CCM

    Kilio cha Wananchi kimepuuzwa na SERIKALI. Kwa Hali ilivyo ni wazi kwamba unyonyaji huu unabaraka za mamlaka za juu. Sasa imekua ni mashindano ya kukandakiza wanyonge. Baada ya kauli ya waziri kuwa Bando za internet ni huruma ya ziada, Sasa Makampuni uameshusha viwango zaidi. Ni kama wamepewa...
  7. BARD AI

    Ongezeko Deni la Taifa, Luhaga Mpina ashinikiza CAG akafanye ukaguzi maalumu

    Wakati deni la Serikali likifikia Sh71.55 trilioni, Mbunge wa Kisesa (CCM), Luhaga Mpina amesema Serikali ilikopa fedha zaidi ya kiasi kilichoidhinishwa na Bunge na kutaka Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) kufanya ukaguzi maalumu. Hata hivyo, Waziri wa Fedha na Mipango, Dk...
  8. BARD AI

    Serikali yakubali wanafunzi 28,000 waliokosa mikopo waendelee na masomo vyuoni wakati ikikamilisha masuala ya ada zao

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia wanafunzi 28,000 waliokidhi vigezo vya kupata mikopo ya elimu ya juu kwa mwaka 2022/2023, waende vyuoni kuendelea na usajili chini ya uratibu wa Wizara ya Elimu wakati taratibu muhimu zikikamilishwa. Kauli ya Rais Samia...
  9. Mhaiki2022

    Kuna haja ya Serikali kuingia ubia katika kutoa baadhi ya huduma

    Katika kuhakikisha kuwa baadhi ya huduma zinakuwa endelevu kama maji na umeme serikali itoe dhabuni au kuingia ubia na private entities kutoa baadhi ya huduma.. Wakati mwingine mambo yanakuwa ni mengi kwa serikali kwa kufanya hivi mzigo unaweza pungua kidogo
  10. DodomaTZ

    Wakati abiria wa ajali za ndege wanalipwa mabilioni, Serikali iangalie abiria wa ajali za magari

    Kwanza nawapa pole wote walioathirika na ajali ya ndege na Precision Air kule Bukoba, pia napongeza walichofanya wale wavuvi katika uokoaji . Lakini moja ya kitu ambacho kimenishangaza ni jinsi viongozi wa kisiasa walivyoikomalia suala hili katika sura nyingine ya bima. Naelewa ajali za ndege...
  11. Lycaon pictus

    Treni za abiria hazina bima? Wahanga wa ajali ya Dodoma wanaweza idai serikali fidia?

    Nimesikia wahanga wa ajali ya Precision Air watalipwa fidia, pesa nyingi. Nimekumbuka ajali ya treni Dodoma miaka ishirini iliyopita. Hivi treni huwa inakata bima? Wahanga wa ajali ile wanaweza dai fidia?
  12. B

    Serikali ya Tanzania kwa roho zenu mnatukwaza sana

    Imesikika miito ya kuwataka vinara wake kujiuzulu. Kuna ya uhaba wa umeme na maji. Kuna ya kuwatelekeza wahanga wa ajali na majanga mbalimbali. Kuna ya kuwatwisha wananchi mizigo ya tozo na kodi zisizo wahusu nyie. Kuna ya kuwalazimisha wananchi kuikopesha serikali. Kuna upigaji Kila kona...
  13. DR HAYA LAND

    Serikali naomba suala langu la kuhakikisha wanafunzi wanafundishwa tehama na kuujua mtandao wa JamiiForum mlizingatie

    Huu mtandao wetu pendwa wenye kutoa Elimu kwa kiwango kikubwa kwanini msiwafundishe wanafunzi hasa vyuoni wakaingia na Kupata Maarifa lukuki Pia nyie vijana mnaoshindana kupost Habari za ngono ili kuumaliza Nguvu mtandao wetu mnadhani sisi wakongwe hatuwafahamu? Ndugu Max hakikisha unawapa...
  14. Msanii

    Hivi hii nchi ni ya nani haswa? Serikali ipo kwa maslahi ya nani haswa?

    Tarehe 09 Desemba 1961 ni siku ambayo bendera ya Tanzania (Tanganyika) ilipandishwa kuashiria nchi huru yenye kujitawala na kujiamulia mambo yake bila kuingiliwa na taifa lolote la nje. Leo tunakaribia miaka 61 ya uhuru lakini bado wananachi wa Tanzania wanaishi kwa kudra za watawala. Bado...
  15. Jaji Mfawidhi

    Posta Dar es Salaam ndio uso wa jiji, serikali yazinduka

    Baada ya SSH kuingia madarakani na baada ya SErikali ya Chama kimoja kuanzia meya, mkurugenzi na watendaji wengine JIJI la Dar limekuwa hovyo kupita maelezo, utashangaa POSTA mtu anapika wale, anaoga, bodaboda zinafunga barabara na hakuna la kuwafanya, wauza nguo wa karume wamesheheni posta, na...
  16. peno hasegawa

    Malori yasipodhibitiwa na serikali kuyakagua mara kwa mara, tunakoelekea siko

    Ajali ya gari yatokea Tegeta, yahusisha magari matatu. Ijumaa, Novemba 11, 2022 Malori mengi ni magari mabovu yanayopita Barabarani bila kufanyika ukaguzi maalum. Mwisho kusababisha ajali sinaziweza kuzuilika.
  17. JanguKamaJangu

    Serikali kutangaza kima cha chini cha mshahara sekta binafsi mwezi huu

    Serikali imesema kuwa itatangaza rasmi kima cha chini cha mshahara kwa sekta binafsi mwezi huu wa Novemba 2022. Hayo yamesemwa Bungeni leo Novemba 11, 2022, ikiwa ni baada ya Bodi ya Kima cha Chini cha Mshahara sekta binafsi kukamilisha kazi ya kupanga kima cha chini cha mshahara.
  18. R

    Wakazi wa kijiji cha Ng'wan'holo Mwadui na hofu ya maradhi ya maji taka kutoka mgodini

    Wakati Baraza la Taifa la Usimamizi na Uhifadhi wa Mazingira (NEMC) likiendelea kuzuia majitaka yenye tope yanayotoka katika mgodi wa Williamson Diamond kuingia kwenye makazi ya watu, wataalamu wa madini wameonya wananchi kutoyasogelea hadi watakapopewa taarifa yapo salama. Maji hayo ambayo...
  19. Dr Rutagwerera Sr

    Serikali iwalipe fidia familia za wahanga ajali ya ndege Bukoba

    Kuna haja ya Serikali kuzilipa fidia familia za wahanga wote wa ajali ya ndege kutokana na uzembe uliosababishwa na kukosa uweledi kwenye uokoaji. Suala la uokoaji ni dhima ya serikali, wala haikupaswa kuwa shughuli ya wavuvi. Nashauri familia za wahanga waungane na kufungua kesi dhidi ya...
  20. J

    Nape: Serikali haifurahishwi na Mahusiano ya watoa huduma za Mawasiliano na Watumiaji

    Hayo yamesemwa leo Bungeni jijini Dodoma na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Moses Nnauye (MB) wakati akichangia Mjadala wa Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa utakaotekelezwa Mwaka 2023/2024. “Kumekuwa na malalamiko ya muda mrefu yanayoonyesha...
Back
Top Bottom