serikali

  1. B

    Serikali ya Tanzania kwa roho zenu mnatukwaza sana

    Imesikika miito ya kuwataka vinara wake kujiuzulu. Kuna ya uhaba wa umeme na maji. Kuna ya kuwatelekeza wahanga wa ajali na majanga mbalimbali. Kuna ya kuwatwisha wananchi mizigo ya tozo na kodi zisizo wahusu nyie. Kuna ya kuwalazimisha wananchi kuikopesha serikali. Kuna upigaji Kila kona...
  2. Serikali naomba suala langu la kuhakikisha wanafunzi wanafundishwa tehama na kuujua mtandao wa JamiiForum mlizingatie

    Huu mtandao wetu pendwa wenye kutoa Elimu kwa kiwango kikubwa kwanini msiwafundishe wanafunzi hasa vyuoni wakaingia na Kupata Maarifa lukuki Pia nyie vijana mnaoshindana kupost Habari za ngono ili kuumaliza Nguvu mtandao wetu mnadhani sisi wakongwe hatuwafahamu? Ndugu Max hakikisha unawapa...
  3. Hivi hii nchi ni ya nani haswa? Serikali ipo kwa maslahi ya nani haswa?

    Tarehe 09 Desemba 1961 ni siku ambayo bendera ya Tanzania (Tanganyika) ilipandishwa kuashiria nchi huru yenye kujitawala na kujiamulia mambo yake bila kuingiliwa na taifa lolote la nje. Leo tunakaribia miaka 61 ya uhuru lakini bado wananachi wa Tanzania wanaishi kwa kudra za watawala. Bado...
  4. Posta Dar es Salaam ndio uso wa jiji, serikali yazinduka

    Baada ya SSH kuingia madarakani na baada ya SErikali ya Chama kimoja kuanzia meya, mkurugenzi na watendaji wengine JIJI la Dar limekuwa hovyo kupita maelezo, utashangaa POSTA mtu anapika wale, anaoga, bodaboda zinafunga barabara na hakuna la kuwafanya, wauza nguo wa karume wamesheheni posta, na...
  5. Malori yasipodhibitiwa na serikali kuyakagua mara kwa mara, tunakoelekea siko

    Ajali ya gari yatokea Tegeta, yahusisha magari matatu. Ijumaa, Novemba 11, 2022 Malori mengi ni magari mabovu yanayopita Barabarani bila kufanyika ukaguzi maalum. Mwisho kusababisha ajali sinaziweza kuzuilika.
  6. Serikali kutangaza kima cha chini cha mshahara sekta binafsi mwezi huu

    Serikali imesema kuwa itatangaza rasmi kima cha chini cha mshahara kwa sekta binafsi mwezi huu wa Novemba 2022. Hayo yamesemwa Bungeni leo Novemba 11, 2022, ikiwa ni baada ya Bodi ya Kima cha Chini cha Mshahara sekta binafsi kukamilisha kazi ya kupanga kima cha chini cha mshahara.
  7. R

    Wakazi wa kijiji cha Ng'wan'holo Mwadui na hofu ya maradhi ya maji taka kutoka mgodini

    Wakati Baraza la Taifa la Usimamizi na Uhifadhi wa Mazingira (NEMC) likiendelea kuzuia majitaka yenye tope yanayotoka katika mgodi wa Williamson Diamond kuingia kwenye makazi ya watu, wataalamu wa madini wameonya wananchi kutoyasogelea hadi watakapopewa taarifa yapo salama. Maji hayo ambayo...
  8. Serikali iwalipe fidia familia za wahanga ajali ya ndege Bukoba

    Kuna haja ya Serikali kuzilipa fidia familia za wahanga wote wa ajali ya ndege kutokana na uzembe uliosababishwa na kukosa uweledi kwenye uokoaji. Suala la uokoaji ni dhima ya serikali, wala haikupaswa kuwa shughuli ya wavuvi. Nashauri familia za wahanga waungane na kufungua kesi dhidi ya...
  9. J

    Nape: Serikali haifurahishwi na Mahusiano ya watoa huduma za Mawasiliano na Watumiaji

    Hayo yamesemwa leo Bungeni jijini Dodoma na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Moses Nnauye (MB) wakati akichangia Mjadala wa Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo wa Taifa utakaotekelezwa Mwaka 2023/2024. “Kumekuwa na malalamiko ya muda mrefu yanayoonyesha...
  10. Serikali yasitisha ujenzi wa vituo vya mafuta

    Serikali imesitisha utoaji wa vibali vipya vya ujenzi wa vituo vya mafuta na mabadiliko ya matumizi ya ardhi kwa ajili ya vituo vya mafuta kwa muda wa miezi mitatu kuanzia leo. Uamuzi huo umetangazwa leo Alhamisi Novemba 10, 2022 na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Dk Angeline...
  11. Mchungaji aiomba Serikali kuzuia wananchi kuzalisha pombe za asili

    Habari wakuu...Katika hali ambayo kwa upande wangu nimeiona siyo ya kawaida Askofu mstaafu wa kanisa la Tanzania assemblies of God(TAG) Mch.Glorious shoo ameiomba serikali kuwazuia wananchi wa mkoa wa Kilimanjaro kutoendelea na uzalishaji wa pombe za asili na badala yake mazao yanayotumika...
  12. Kwanini Serikali haipigi marufuku uingizaji wa mitumba?

    Hakuna nchi inayoweza kuendelea bila kulinda na kuendeleza viwanda vya ndani. Na njia kuu ya kulinda viwanda vya ndani ni kuzuia bidhaa cheap kutoka nje ya nchi. Ndiyo maana China waliikataa Google, facebook nk. Ndiyo maana US waliipiga pini Huawei. Hili jambo mataifa karibu yote ya Afrika...
  13. Serikali yatetea kutenga Tsh. Bil 54 kwenye vijiji 48 vilivyofutwa

    Mbunge wa Makete (CCM), Festo Sanga ametaka sababu za kutengwa fedha hizo kwa ajili ya Vijiji 48 Wilayani Mbarali wakati timu ya Mawaziri 8 imevifuta na havipo. Amesema Serikali ilisaini mikataba 15 ya kuwezesha umwagiliaji na kuhoji nani atafaidika na fedha hizo wakati tayari Mawaziri wamefuta...
  14. Kinachoendelea Kampala University ni kama utapeli, matokeo ya Wanafunzi 300+ wa Udaktari yana utata, Serikali itusaidie Wanafunzi

    Chuo cha Kampala University hiki ambacho kipo Gongo la Mboto kina shida kubwa sana, najua wengi mnajua kimewahi kufungiwa siku za nyuma kutokana na magumashi mengi ambayo kimekuwa kikifanya. Serikali iingilie kati kuangalia hiki chuo, sisi wanafunzi ambao tupo chuoni hapo tunapitia wakati...
  15. Serikali ya Kenya kufungua vituo 25,000 vya Wi-Fi ya bure

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Uchumi wa Kidijitali, Eliud Owalo amesema lengo la kutoa Wi-Fi bure kote nchini ni kukidhi hitaji hilo muhimu kwa wananchi. Amesema "Serikali inaamini katika uwekezaji wa Kidijitali kama njia ya kuwezesha Ujuzi wa Vijana, pia, tutatambua Mapungufu ya Ujuzi na...
  16. Ujanja ujanja na utengenezaji wa mazingira ya kibiashara Ofisi za Serikali

    Salaam ndugu zangu, Natumai wote mu wazima. Leo najaribu kugusia na kudokeza baadhi ya tabia za ujanja ujanja zinazofanyika nje ya Ofisi nyingi za umma. Walinzi au watu wa mapokezi wa sehemu hizi wamekuwa chambo Cha kufanya biashara ndogo ndogo wakitumia chambo Cha wananchi kusaka huduma...
  17. Naomba Serikali iwaambie Watanzania wote kujiunga Jamii Forums ili kuokoa kizazi hiki

    Nashangaa kuona watu hawatumii huu mtandao Wala sio members wakati kwa Tanzania hakuna mtandao wenye watu smart na Maarifa na uchumi Kama hapa JF. Naomba Serikali waweke mpango kwa kila mtanzania awe na App ya JF katika simu yake . JF Ni kisiwa Cha Maarifa the home of Great thinkers. Hapa ni...
  18. Swala la kupanda Bei ya data ilaumiwe Serikali na TTCL ndio wanaouzia makampuni huduma za internet kwa Bei na kutokuwa na mshindani

    Watu wanalaumu kuhusu mb kupanda Bei lkn muuzaji wa huduma hizo Ni Kampuni ya serikali TTCL. Kupitia mkonga wa Taifa. Kifupi kitu kinachoendeshwa na umma na kisichishindani kwa nchi za dunia ya tatu Ni kasoro kubwa na huumiza wanyonge. Kampuni zikiwa huru kupata huduma hizo kupitia satellites...
  19. R

    Shujaa Majaliwa ajira yake, elimu yake inakidhi vigezo vya Serikali?

    Kijana Shujaa Majaliwa kamaliza darasa la saba (kama alivyohojiwa mama yake). Policy/sheria ya uajiri Serikalini inasema lazima uwe at least darasa la 12, ie form 4. Sasa Majaliwa anaajiriwa kwa sheria ipi? Anakidhi vigezo? Note: Sina tatizo/wivu and the like naye kuajiriwa, but tusiwe vipofu...
  20. M

    Tito Magoti: Waziri Mkuu unajisikiaje kuwa Kiongozi wa Serikali usiyetaka kuwajibika?

    Anaandika Tito Magoti. Mheshimiwa Waziri Mkuu, Nakuandikia barua ya wazi kwa heshima kubwa sana! Ni mwaka wa saba tangu uwe Mtendaji Mkuu wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania (CEO JTM hapa chini). Kuna mambo mengi unayojivunia. Pengine ndio maana umedumu katika nafasi yako hadi sasa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…