serikali

  1. Mparee2

    JamiiForums Tanzania Serikali ina chakujifunza kutoka sekta Binafsi

    Wote tunajua kuwa Serikali haina fedha na ndio sababu Mama Yetu mpendwa anajitahidi Kwenda huko nje kukopa ILA cha kushangaza kila mwaka unasikia Mabilioni yameibiwa…. Na kingine cha kushangaza, nikupata hizo taarifa za wizi ulifanyika baada ya miezi kadhaa napengine miaka kadhaa. Hii...
  2. Sir robby

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli Serikali yetu imeshindwa kuyajua haya na wahusika wake?

    Wadau najua hakuna kinachoshindikana kwa serikali ikitaka kujua jambo au mambo yote yanayotokea kwenye hiyo nchi, labda tu iwe haitaki. Kuna haya matukio ambayo mpaka sasa serikali haijayapatia ufumbuzi; 1. Kutekwa kwa mfanyabiashara Mo mpaka sasa wahusika hawajakamatwa. 2. Kupigwa risasi kwa...
  3. BIG THINKER

    JamiiForums Tanzania Serikali yote itakapohamia Dodoma changamoto nyingine za Dar zitakuwa hazitatuliki, jiji la Dar litakuwa ndiyo jiji lenye changamoto nyingi Tanzania

    Mark my words Kama wewe ni mtumishi na unawaza uhamie wap kati ya dar na Dom nakushauri uhamie Dom.............. Sababu miaka ijayo hili jiji linalonasibiwa kuwa la kibiashara baada ya serikal yote kuhamia DODOMA Litabadilika na kuwa jiji la kiharifu, Changamoto zote unazoziona zinatokea na...
  4. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Serikali iko wapi? Wananchi wanaibiwa kila kona

    Angalieni
  5. J

    JamiiForums Tanzania Sukuma Gang acheni kuilaumu Chadema kuwa haikosoi Serikali, anzisheni chama chenu cha upinzani mukosoe na nyie

    Hawa Sukuma Gang kila kukicha ni kukosoa kuwa Serikali ya Samia ina ufisadi ila Chadema hawaikosoi Chadema wakikosoa tena hao hao utawasikia wakiiponda Chadema kuwa ni wapiga dili sababu walimpinga Magufuli Wakiipongeza Serika utawasikia wakisema wamelambishwa asali, yaani wapo kama kuku...
  6. Wababa13

    JamiiForums Tanzania Nani anapaswa kuwa na muhuri wa Serikali ya Kijiji kati ya Afisa Mtendaji na Mwenyekiti wa Kijiji?

    Naomba kufahamishwa kwa uchache tu. Je, ni nani anapaswa kuwa na muhuri wa Halmshauri ya kijiji kati ya Afisa Mtendaji wa Kijiji na Mwenyekiti wa Kijiji? Muhuri huu ni tofauti na Mihuri ya Afisa Mtendaji au ule wa Mwenyekiti. Kuna Mihuri special huwa inaitwa Mihuri ya Halmshauri ya Kijiji...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali: Vifo vya watoto chini ya umri wa miaka mitano vimepungua nchini

    Tafiti zinaonesha kuwa kiwango cha vifo vya watoto chini ya miaka mitano kwa Mwaka 2022 kimefika vifo 43 kwa kila watoto 1,000 waliozaliwa hai ukilinganisha na vifo 67 kwa kila Watoto 1,000 waliozaliwa hai ilivyokuwa kwenye Utafiti uliofanyika mwaka 2015/2016. Hayo yamesema Februari 7, 2023 na...
  8. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Kumkamata Aliyepiga picha watoto wakiwa chini ni kumuonea, zipo shule nyingi watoto wanakaa chini

    Kufuatia sakata la picha liyopigwa ikionesha wanafunzi wa Shule ya Sekondari Sinde wakiwa wamekaa wakisoma chini bila madawati na Serikali ikionekana kung'aka kwa kumuweka ndani anayesemekana kupiga picha hiyo ni sawa na mbuni kujifunika kichwa huku mwili ukiwa nje na akidhani kajificha. Soma...
  9. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Serikali Yafyeka Mahindi Ya Wananchi Kuzuia Yasifiche Vibaka

    Serikali ya Mtaa Iyunga Mbeya Yafyeka Mahindi Ya Wananchi Kuzuia Yasifiche Vibaka.
  10. T

    JamiiForums Tanzania Je, Serikali ya awamu ya sita itatoboa salama 2025 au yajayo ni siri Kali?

    Leo naandika mambo ya jicho la tatu. Kama Kuna mtu haamini juu ya viumbe visivyo onekana basi msg hii imfikie popote alipo. Hayati Magufuli amelala ila mwendo aliumaliza. Watu wasio mpenda Waka sema Asante Mungu jitu katili limeondoka ngoja tuitamalakie nchi tule nakufurahia maisha. Wengine...
  11. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Naunga mkono msimamo wa serikali juu ya kutoingilia bei ya chakula, tatizo ni kwamba katiba yetu bado inasema 'Tanzania ni nchi ya kijamaa'

    Masuala ya bei ni masuala yanayohusu uchumi wa soko, yaani bei huwa inaamuliwa na nguvu za demand and supply au huwa tunaita 'Price mechanism'. Muasisi wa falsafa hii ni baba wa uchumi, na mwanafalsafa wa Uskochi Adam Smith kupitia kitabu chake kilichoandikwa zaidi ya miaka 240 iliyopita (1776)...
  12. Jemima Mrembo

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali tusaidieni wananchi, magari yanayouzwa kwenye yard za Wapakistan mitaa ya Morocco na Victoria ni mabovu sana

    Serikali itupie macho uhuni unaofanywa na hawa wafanyabiashara wa magari wenye asili ya Pakistan. Jana mida ya saa sita mchana tulienda na rafiki yangu kwenye moja ya maduka (yard) ya kuuzia magari. Rafiki yangu alikuwa anataka Toyota Probox kwa ajili ya kubebea mizigo yake Kariakoo na kwenye...
  13. N

    JamiiForums Tanzania Serikali iwe makini na kuchunguza hizi 'Sick Sheet' za ujauzito kwa watumishi, asilimia kubwa ni za mchongo

    Ndugu Habari za wakati. Bila kupoteza muda acha ninielekeze moja kwa moja kwenye maada hapo isemayo : Serikali iwe makini na kuchunguza hizi Sick Sheet za ujauzito kwa watumishi wa Wanawake. % kubwa niza mchongo. Wadau Sick Sheet ni likizo iliyotolewa kwa sababu ya ugonjwa. Na kwa utaratibu wa...
  14. SYLLOGIST!

    JamiiForums Tanzania Serikali acheni kukurupuka, wajengeeni uwezo badala ya kuwakandamiza wakulima wa bangi

    Naandika bila ya mpangilio au mtiririko maalum. Nimekurupuka na Jazba. Nimeona ni muhimu kuendeleza mjadala huu. Kuna .... Uzi huu ambao umetoa hoja zinazofanana na yaliyonitatiza roho yangu leo (Ukipata vidakika pitia huko) na baada ya kukutana na Uzi huu hapa, hususani kuhusu operesheni ya...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Serikali iwe makini kwenye fedha inazoleta kwa ajili ya miradi ya maendeleo

    Serikali kama imelala kwenye fedha inayoleta kwa ajili ya maendeleo fedha hizo zinaishia mikononi mwa wajanja. Kwani yanayofanyika ni madudu matupu nimepitia baadhi ya halmashauri. Miradi mingi haijakamilika na pesa zote zimetafunwa na wajanja na bado wako maofisini mpk sasa. serkli haitumi...
  16. Kwitogelo

    JamiiForums Tanzania Serikali iangalie namna ya kuwapa Askari elimu ya ushauri nasaha kuhusu VVU

    Kuna huu utaratibu wa baadhi ya watu hasa askari wengi wanaochukua wanawake ambao siyo wapenzi wala wake zao na kwenda nao kujipima VVU kwa kutumia hivi vipimo vya rapid tests kabla ya kukutana nao kimwili lakini kitu kibaya zaidi hawa askari hawana elimu ya namna ya kuongea na mtu endapo...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Serikali yatoa ufafanuzi madai ya Uwanja wa Mkapa kutia aibu kwa uchafu

    Uwanja wa Mkapa kabla ya kuanza kwa mchezo wa kirafiki kati ya Simba dhidi ya Al Hilal, Februari 5, 2023. Pia soma: Uwanja wa Mkapa unatia aibu, nani awajibike?
  18. T

    JamiiForums Tanzania Maelezo ya Waziri Bashe kuhusu serikali kununua mazao wakati wa mavuno na kuyauza baadaye, tumemjua anayetuuzia maharagwe 3,800 kwa kilo

    Mawaziri wa CCM leo kwenye sherehe za CCM Morogoro mbele ya Karibu Mkuu wakijibu kero kwa wananchi wamedhihirisha kuwa maamuzi mabovu ya serikali yao ni chanzo cha matatizo Kwa Watanzania. Ona mifano hii. Waziri wa kilimo anasema serikali ya Mhe. Samia Ina nunua mazao ya wakulima wakati wa...
  19. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Utaratibu wa kulipwa fidia ya ardhi na Serikali upo vipi?

    Nimerudi nyumbani Iringa kusalimia mwezi uliopita sasa kuna ndugu yangu alinunuaga shamba maeneo ya Tagamenda Iringa Mjini miaka mitatu iliyopita muda mfupi Serikali walilihitaji hilo eneo kwaajili yakufunga mitambo ya kufua umeme wananchi walijenga eneo hilo na kununua mashamba walihaidiwa...
  20. comte

    JamiiForums Tanzania Imekaaje Tundu Lissu kudai gari yake ni V8 ya kisasa ila anaitaka Serikali ibane matumizi?

    Tundu Lissu amesema gari yake ni V8 ya kisasa yenye " Kafridge" katikati ya kiti cha abiria na Dereva. Inawezekana vipi mtu mwema wa hivi akaishauri Serikali kubana matumizi ikiwemo kuacha kununua na kutumia magari ghari na ya anasa
Back
Top Bottom