Sukuma Gang acheni kuilaumu Chadema kuwa haikosoi Serikali, anzisheni chama chenu cha upinzani mukosoe na nyie

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,834
18,836
Hawa Sukuma Gang kila kukicha ni kukosoa kuwa Serikali ya Samia ina ufisadi ila Chadema hawaikosoi

Chadema wakikosoa tena hao hao utawasikia wakiiponda Chadema kuwa ni wapiga dili sababu walimpinga Magufuli

Wakiipongeza Serika utawasikia wakisema wamelambishwa asali, yaani wapo kama kuku waliokatwa vichwa

Nyie Sukuma Gang kama nyie ni wanaume, tokeni CCM mlikojificha, undeni chama cha Upinzani muikosoe serikali mnayosema ni ya kifisadi
 
Sukuma Gang wako kichawi zaidi ni wa kupuuzwa tu.
 
Hawa Sukuma Gang kila kukicha ni kukosoa kuwa Serikali ya Samia ina ufisadi ila Chadema hawaikosoi

Chadema wakikosoa tena hao hao utawasikia wakiiponda Chadema kuwa ni wapiga dili sababu walimpinga Magufuli

Wakiipongeza Serika utawasikia wakisema wamelambishwa asali, yaani wapo kama kuku waliokatwa vichwa

Nyie Sukuma Gang kama nyie ni wanaume, tokeni CCM mlikojificha, undeni chama cha Upinzani muikosoe serikali mnayosema ni ya kifisadi
LISSU; Rais sa100 ni kiongozi wa wananchi lazima tutamsema na kumkosoa.

LISSU; Mfumuko wa Bei za vyakula na bidhaa, mhusika mkuu ni Serikali ya sa100.

Mnyika; Ikiwa Serikali imeshindwa kudhibiti mfumuko wa Bei basi wote wajiuzulu.

LISSU; Sabaya ni jambazi, Makonda kuendelea kuwa uraiani ni kufumbia macho uhalifu.

LISSU; Ngorongoro imeuzwa Kwa waarabu sababu ya mamlaka makubwa ya Rais, tumpunguzie mamlaka Kwa kudai Katiba mpya.

Ndugu John sack, huo kwako si ukosoaji Kwa CDM?
 
Hawa Sukuma Gang kila kukicha ni kukosoa kuwa Serikali ya Samia ina ufisadi ila Chadema hawaikosoi

Chadema wakikosoa tena hao hao utawasikia wakiiponda Chadema kuwa ni wapiga dili sababu walimpinga Magufuli

Wakiipongeza Serika utawasikia wakisema wamelambishwa asali, yaani wapo kama kuku waliokatwa vichwa

Nyie Sukuma Gang kama nyie ni wanaume, tokeni CCM mlikojificha, undeni chama cha Upinzani muikosoe serikali mnayosema ni ya kifisadi
Ngoja waje 🤣
 
Ccm sio chama cha shemeji yenu,ni chama cha kila raia mwenye kutaka.

Nyie wapakwa mafuta mnaosifia masaa 24 mnaona kama wanaokosoa wanafanya uhaini.
 
sukuma gang wapumbavu sana
 
Nimekuwa nakuambia mara Kwa mara, kundi Hilo ni la kufikirika halipo.

Kuhusu ukosoaji lazima ufanyike, Bunge ni la chama kimoja lakini wanaikosoa Serikali.

Ukosoaji wenye Nia ya kujenga ni muhimu Kwa Maendeleo ya Taifa.

Ndani ya chama CCM ukosoaji inaruhusiwa kikatiba ya chama.

LISSU; Rais ni kiongozi wa wananchi lazima akosolewe.

Akitaka asikosolewe aondoke kitini aone kama atasemwa.
 
,
Ccm sio chama cha shemeji yenu,ni chama cha kila raia mwenye kutaka.

Nyie wapakwa mafuta mnaosifia masaa 24 mnaona kama wanaokosoa wanafanya uhaini.
CCM ni ya wana CCM, wanaojua katiba na miiko ya chama
 
Ungeweka kifungu Cha KATIBA ya CCM inayowaelekeza wabunge na Wanachama ndani ya CCM kuacha mara moja KUIKOSOA Serikali.

Leta Jukwaani HOJA zenye mashiko,

Acha ushabiki.
 
Nimekuwa nakuambia mara Kwa mara, kundi Hilo ni la kufikirika halipo.

Kuhusu ukosoaji lazima ufanyike, Bunge ni la chama kimoja lakini wanaikosoa Serikali.

Ukosoaji wenye Nia ya kujenga ni muhimu Kwa Maendeleo ya Taifa.

Ndani ya chama CCM ukosoaji inaruhusiwa kikatiba ya chama.

LISSU; Rais ni kiongozi wa wananchi lazima akosolewe.

Akitaka asikosolewe aondoke kitini aone kama atasemwa.
Kwa hiyo hawajalambishwa asali sio?
 
Ungeweka kifungu Cha KATIBA ya CCM inayowaelekeza wabunge na Wanachama ndani ya CCM kuacha mara moja KUIKOSOA Serikali.

Leta Jukwaani HOJA zenye mashiko,

Acha ushabiki.
Katiba inaruhusu ukosoaji, ila ukikosoa kosoa wazi, sio kujificha kwenye ID fake, huku unalaumu wapinzani kulamba asali
 
WAPINZANI na wabunge wa CCM wasiofurahishwa na mfumo wa wizi unaoendelea wanaungana na wananchi kuidai KATIBA mpya.

Wananchi wanashindwa kupata japo Milo mitatu wewe unaongelea asali.

Tusubiri.
 
Hizo kauli za wapinzani kulambishwa asali ni za akina nani?
 
Back
Top Bottom