serikali

  1. K

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia kutoa mbolea ya ruzuku mpaka 2025

    Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA), Dk Stephan Ngailo amesema serikali itatoa mbolea kwa miaka mitatu mfululizo kuanzia mwaka 2022/2023 hadi 2024/2025 ili kuwapunguzia wakulima gharama za kilimo. Serikali imeanza maandalizi ya kutoa ruzuku ya mbolea kwa msimu...
  2. JamiiForums Tanzania Serikali yaruhusu Mabasi kufanya safari za usiku

    Serikali imekubali kuruhusu magari yanayofanya safari zake kupitia Wilaya ya Sikonge kutoka Jijini Dar es Salaama kuanza safari zake kati ya saa 9 na 10 usiku ikiwa watapenda. Kauli hiyo imetolewa bungeni leo Alhamisi April 13, 2023 na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Hamadi Masauni wakati...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali boresheni mishahara ya Walimu wa nchi hii

    Amani iwe juu yenu nyote. Mwalimu wa Nchi hii nadhani ametengenezewa UMASKINI kuanzia anaajiliwa mpaka anastafu. Kwanza ni watu wanaotoka kaya Maskini bado akiajiliwa anaishi kwenye umaskini akistaafu bado anakutana na KIKOKOTOO. Mwalimu akiajiriwa anaanza na mshahara wa TGTS D1 (SANAA)...
  4. B

    JamiiForums Tanzania Ni kweli Serikali ina mpango wa kukuza na kueneza lugha ya Kiswahili?

    Kwenye vyombo vya habari viongozi mbalimbali wamekua wakisifia kiswahili yakua sasa kinafundishwa nchi za mbalimbali marekani hata uchina. Ona hapa kwenye tangazo la ajira la tamisemi kiingereza ndo kimepewa kipaumbele kiswahili hata kidogo
  5. JamiiForums Tanzania Serikali kushindwa kulipa malimbikizo ya wafanyakazi ni aibu

    Imekuwa ni porojo tu utumishi huko na hazina. Bora tu kaondoka Jenista maana alikuwa gundu watu hawalipwi madai yao! Hivi Serikali mnawaona wafanyakazi wanyonge au mapoyoyo? Kutwa kujifanya mnaandaa malipo ya malimbikizo na hamlipi? Je, Rais naye anadanganywa kuhusu hili?
  6. JamiiForums Tanzania Zaidi ya Billion 94 zimetoka kwa Vijana, Wanawake na Walemavu. Mijadala bado inaendelea mitaani, twitter na JF kuhusu maisha magumu kwa Vijana

    Nimekuwa mfuatiliaji wa karibu sana wa mada mbali mbali hususani JF na Twitter. Vijana wengi wamekuwa wanalalamika sana kushindwa kuanzisha biashara za kujikimu kimaisha (Malazi & Chakula) I've been wondering kuona hili bado ni Tatizo kubwa kwa Vijana wengi ambao in reality wengi wako tired na...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali: Januari 31, 2025 ni mwisho wa kutumia mkaa na kuni

    Deadline hiyo imetangazwa na Waziri wa Mazingira Suleimani Jafo. Baada ya January 31, 2024 taasisi zote za Umma na Binafsi ni marufuku kupikia kwa kutumia mkaa na kuni. Aidha Serikali imesema inataka kufikia 2030 Asilimia 80% ya Watanzania wote wawe wanatumia Nishati safi ya kupikia. Pia soma...
  8. T

    JamiiForums Tanzania Serikali iache kutumia faini za barabarani kama chanzo Cha mapato kwenye bajeti

    Kwa kipindi hiki Cha bajeti serikali Ijiepushe na kutumia faini za barabarani kama mojawapo ya vyanzo vya mapato. Nakumbuka hii iliwahi kujadiriwa bungeni lakini mpaka sasa hivi bado kuna tetesi kuwa serikali inapohitaji hela ya ziada huwabana trafiki wa barabarani kutumia nguvu nyingi kukusanya...
  9. JamiiForums Tanzania Hoja ya Simba kuitwa Bob Jr, Serikali yasema ‘Simba akiitwa jina la Masanja hakuna atakayemjua’

    Serikali imesema majina maarufu yanapotumika katika masuala ya utalii mfano kwa Wanyama kama ilivyokuwa Simba aliyejulikana kwa jina la Bob Jr na mwanaye Rihanna ni sehemu ya kujitangaza kimataifa. Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mary Masanja amesema “Tunapotumia majina maarufu...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali itangaze tarehe ya kuwarejesha vyura wa Kihansi ili wadau wa mazingira tukawapokee uwanja wa ndege

    Mimi na wadau wengine wa mazingira ikiwemo taasisi ya TREE OF LIFE FOUNDATION tuna mpango madhubuti wa kwenda kuwapokea mashujaa wetu waliokaa ughaibuni kwa miongo miwili. Hii nchi ina longolongo nyingi sana huenda hao chura walikufa miaka mingi sana ila wajanja wazito wamewafanya ni mtaji wa...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa sasa Kenya ni nchi ya Kimaskini zaidi kuliko Tanzania, serikali ya Kenya yashindwa kulipa hata mishahara!

    Mficha maradhi kifo kitamuumbua, yawahi hayawi sasa yamekuwa, ukweli halisi umeanza kujionyesha huko Kenya, hali ya maisha ni mbaya mnoo, vijijini ukame unawaua, mijijini maisha yanawanyonga na sasa Serikali imeshindwa kulipa hadi mishahara watumishi wake. Kenya kumechoka na kuchakaa balaa...
  12. O

    JamiiForums Tanzania Tatizo la ukosefu wa ajira, makosa ni ya Serikali, Jamii au mtu mwenyewe?

    Katika jamii na taifa kwa ujumla kuna tatizo kubwa la ukosefu wa ajira. Watu wengi: waliohitimu mafunzo na wenye taaluma pamoja na wasio wahitimu pia wasio na mafunzo, hawana kazi za kufanya. Kwa vyovyote vile, hali hii si nzuri kwa ustawi wa mtu mmoja mmoja, jamii au taifa. Suala la kazi au...
  13. JamiiForums Tanzania Tuanze na Wasanii maana asilimia kubwa yao wanapotosha Jamii na serikali inatoa macho

    Iko wapi maana ya Msanii kuwa ni kioo cha jamii, Wasanii wa kileo ndo basi tena tena hawa wabana pua ndo kabisa. Ndo maana wabana pua sijaona hata mmoja ambaye anaweza kuingia hata kwenye siasa maana wakiingia kwa siasa muda wote ni kuzungumzia mapenzi. Serikali mbali na kuweka wizara ya...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia haina ufanisi katika matumizi yake , mfano mzuri ni hiki anachotarajia kufanya makamu wake!

    Hivi karibuni tumeambiwa kuwa eerikali imeunda jopo la wataalam waliopewa jukumu la kuandika VISION 2050. Katika vision hiyo mambo menig yameanishwa na jinsi ya kufikia malengo hayo. Ukiangalia kwa makini malengo katika vision hiyo sio tofauti sana na maligno yaliyokuwa wenye visin ya nchi za...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia haina ufanisi katika matumizi yake, mfano ni hiki anachotarajia kufanya makamu wake

    Hivi karibuni tumeambiwa kuwa serikali imeunda jopo la wataalam waliopewa jukumu la kuandika VISION 2050. Katika vision hiyo mambo mengi yameanishwa na jinsi ya kufikia malengo hayo. Ukiangalia kwa makini malengo katika vision hiyo sio tofauti sana na malengo yaliyokuwa kwenye vision ya nchi za...
  16. JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG 2021/22: Mamlaka 180 za Serikali za Mitaa zimeshindwa kurejesha Tsh. Bilioni 88.42 ilizozikopesha

    Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali kwa mara nyengine ameendelea kuonyesha udhaifu mkubwa na ubadhirifu katika Fedha za Mikopo inayotolewa na Halmashauri za Wilaya, Miji, Manispaa na Majiji kwa vikundi vya Vijana, Wanawake na Watu wenye ulemavu. Fedha hizi ni 10% ya Mapato ya Ndani...
  17. JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Serikali ilikopa zaidi ya kiwango kilichoidhinishwa na Bunge

    ACTWazalendo imesema Deni la Taifa liliongezeka kwa 11% kutoka Tsh. Trilioni 64.5 mwaka 2020/21 hadi kufikia Tsh. Trilioni 71 Juni 30, 2022 ambapo Serikali ilichukua Mikopo kwa 30% zaidi ya idhini ya Bunge. Vile vile Mikopo ya Nje yenye masharti nafuu iliyochukuliwa na Serikali ilikuwa 33%...
  18. JamiiForums Tanzania Naanza kupata mashaka kuiona serikali ya Rais Samia kuwa karibu na Mabeberu na vitendo vya rushwa kushamiri nchini

    Ni takribani miaka miwili sasa tangu nuache kuandika maoni yangu hapa Jamii Forum. Hata hivyo leo nimeona nirudi tena kwani kuna vitu vya kukera vimeanza kujitokeza. Wakati hayati Magufuli alivyochukua nchi nilivutiwa sana na mambo aliyokuwa anayafanya. Nilikuwa mstari wa mbele kumtetea pale...
  19. JamiiForums Tanzania Ni aibu, uchanga, na kukosa weledi kwa wapinzani 'kushadadia' na kutumia taarifa ya CAG kuikosoa Serikali

    Katika demokrasia ya vyama vingi, vyama vya upinzani hutafuta madudu ya serikali na kuyatoa kwa jamii. Hapa Tanzaia vyama vyetu vya upinzani vinatumia taarifa za serikali kuikosoa serikali. Kwa mfano taarifa ya CAG ni taarifa ya serikali ikionyesha ilivyotengeneza taasisi za kuisaidia...
  20. JamiiForums Tanzania Mhandisi John Nzulule Mtendaji Mkuu wa Wakala wa ndege za serikali amekua akishirikiana na nani?

    Bila shaka yo yote huyu Mhandisi John Nzulule aliyetenguliwa na Rais si mara yake ya kwanza kutupiga katika ununuzi wa ndege za serikali. Nadhani ametupiga katika ununuzi wa ndege serikali na pia ndege za ATCL ambazo zimekuwa zikinunuwa na serikali kukwepa kukamatwa na wadeni wa ATCL huko majuu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…