serikali

  1. JamiiForums Tanzania Mbunge Boniventura Destery Kiswaga (CCM) Aishauri Serikali Kuongeza Kodi Mafuta Yanayozalishwa Nje

    MBUNGE BONIVENTURA KISWAGA AISHAURI SERIKALI KUONGEZA KODI KWENYE MAFUTA YANAYOZALISHWA NJE Mbunge wa Jimbo la Magu (CCM), Mhe. Boniventura Destery Kiswaga ameishauri Serikali kuongeza kodi katika mafuta ya kula yanayoagizwa kutoka nje ya nchi na kuondoa Kodi ya Ongezeko la Thamani (VAT) kwenye...
  2. JamiiForums Tanzania Apandishwa mahakamani kwa madai ya kuitukana Serikali juu ya deni la Taifa

    Naona Serikali imeanza kupita mitaani kuwasikiliza wanaoisema vibaya, Jamal Mikome mkazi wa Chanika amefikishwa mahakama ya Kisutu kwa madai ya kuitukana Serikali wakati akitoa povu kuhusu Deni la Taifa na kuinyima kura Serikali mwaka 2025. Kwani wasipite pia kukusanya maoni ya wananchi kuhusu...
  3. JamiiForums Tanzania Ludovick Utouh: Hakuna usawa wa Mihimili, Serikali Kuu inafunika Mihimili mingine

    Akizungumza katika Mjadala wa Uwajibikaji na Bajeti, Utouh amesema licha Katiba kueleza kuwa Mihimili 3 (Serikali, Bunge na Mahakama) iko sawa, kiuhailisia haiko hivyo na hali hiyo imedhoofisha Uwajibikaji na Utendaji wa Mihimili mingine. Amesema ili kuwepo kwa Uwajibikaji na Utawala Bora...
  4. JamiiForums Tanzania SoC03 Kulinda Haki za Kikatiba: Jukumu la Serikali katika Kuwalinda Wananchi wakati wa Maandamano ya Amani

    KULINDA HAKI ZA KIKATIBA: JUKUMU LA SERIKALI KATIKA KUWALINDA WANANCHI WAKATI WA MAANDAMANO YA AMANI Imeandikwa na: MwlRCT UTANGULIZI Suala la maandamano na haki za wananchi ni jambo muhimu sana katika kuhakikisha demokrasia inazingatiwa katika nchi yetu. Uhuru wa kujieleza na kuandamana ni...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Serikali kuzuia mazao ya chakula kuuzwa nje inakwepa majukumu yake na ni uonevu mkubwa kwa wakulima

    Moja ya wajibu mkubwa wa serikali ni kulinda na kudumisha usalama wa nchi. Usalama wa nchi huchangiwa kwa kiasi kikubwa na usalama wa chakula (upatikanaji wa chakula kwa bei inayohimilika). Kinyume chake nchi inaweza kuingia ktk machafuko. Mfano, serikali ya Al Bashir wa Sudan iliondolewa...
  6. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, Serikali kusimamisha ghafla uuzaji wa chakula nje ya nchi ni unyama dhidi ya wafanyabiashara na wakulima

    Unakuta mfanyabiashara amechukua mkopo 200M benki, ameweka watu wamkusanyie mahindi semi 10 kutoka Dodoma, Manyara, Arusha, etc. Semi zimesheheni chakula kuelekea mpakani ghafla unasikia serikali imesimamisha usafirishaji wa vyakula nje ya nchi na hapo gari zipo tayari mpakani. Jamani, hivi...
  7. S

    JamiiForums Tanzania Mwanasheria Mkuu wa Serikali kaamua kujikalia kimya kuhusu suala la Bandari?

    Nilitegemea Mwanasheria Mkuu wa Serikali ndio awe kinara wa kutetea Mkataba wa kumkabidhi Mwarabu bandari zetu, ila naona yuko kimya na hata Bungeni sidhani kama alisimama kutetea huu Mkataba. Binafsi nahisi atakuwa yuko against, kilichomshinda ni kujiuzulu tu. Kama niko sahihi, basi wakati...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Kwa yanayoendelea kwanini tusiamini kuna kichaka kimetengenezwa baadhi ya watu wa serikali kusaini makubaliano na DP World

    Amani iwe kwenu, Nitangulie kwa kusema sijawahi kuihisi wala kuifikiri dhamiri isiyo njema ya Rais Samia kwa Tanzania, kila nikiamka asuhuhi namuombea kwa Mungu kwa sababu kuna kitu anacho na ndio hicho Tanzania inahikitaji isonge mbele nao ni uthubutu na maamuzi magumu. Kwangu Rais Samia ni...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Serikali ya Rais Samia infuata/inatumia model gani ili kuleta maendeleo ya kiuchumi nchini?

    Nchi za ulaya mangaribi zinatumia western liberal model of development Nchi za asia: south korea, Taiwan, Thailand, Singapore, na Malaysia zinatumia: developmental state model US wanatumia command and market economic model Sasa, naomba kuuliza kiungwana tu, Tanzania yetu na hasa serikali hii...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali Kupeleka Magari Mawili ya Wagonjwa Kila Wilaya Nchini Ifikapo Agosti Mwaka huu 2023

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Daniel Chongolo amesema Serikali inayoongozwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, itapeleka magari mawili ya wagonjwa na moja la kusaidia shughuli za usimamizi wa masuala ya afya katika wilaya nchini ifikapo Agosti mwaka huu. Akizungumza na mamia ya...
  11. JamiiForums Tanzania Serikali inaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa sekta binafsi ili kukuza uchumi

    Katibu Mkuu Wizara ya UItamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Saidi Yakubu amesema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan anaendelea kuweka mazingira wezeshi kwa sekta binafsi hatua inayosaidia kuwekeza katika sekta mbalimbali ikiwemo sekta ya elimu ambayo ndio msingi wa...
  12. JamiiForums Tanzania Mawaziri ambao sielewi wanafaya nini japo wizara zao ni muhimu sana

    Hello This is a very good afternoon to everyone. Nije kwenye kiswahili. Hii nchii toka Mwamba toka Chato aondeke Mawaziri wamekuwa ovyo sana. Zipo wizara ambazo zina umuhimu mkubwa sana katika nchi yetu kwa mstakabili wa kukuza uchumi lkn wala hao mawaziri sijawahi kuwaelewa nini wanazifanyia...
  13. JamiiForums Tanzania Mazao Siyo Mali ya serikali, wakulima waruhusiwe kuuza nje chakula

    Mazao Sio Mali ya serikali Bashe yupo sahihi. Kuzuia kuuza nje chakula ni kuzidi kuongeza tatizo la ajira nchini. Kilimo kikilipa bodaboda na machinga watapungua mijini. Bodaboda na machinga ni wengi kuliko idadi ya wateja wao. Mtaa upasao kuwa na bodaboda 5 kwa mgawanyo wa abiria una bodaboda...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Uchapakazi wa serikali ya Rais Samia waizima na kuipoteza CHADEMA mitaani

    Ndugu zangu watanzania, Kasi ya utekelezaji wa ilani ya CCM, uchapakazi wa serikali ya CCM,ujenzi wa miradi kila Kona ya nchi yetu, mafuriko ya maelfu ya ajira kwa vijana hapa nchini kumeizima Kama mshumaa mikutano na harakati zote za CHADEMA mitaani. Kwa Sasa haieleweki Kama chama kipo au...
  15. JamiiForums Tanzania Nini kipo nyuma ya Mkataba wa miaka 100 ya ukodishaji wa Bandari ya Dar es Salaam kwa DP World?

    Wakuu, kuna tetesi zinasambaa kuwa baadhi ya Wabunge wamelipwa fedha ili kuupigia kura ya ndiyo mkataba huo wenye utata. Pia inatumika nguvu kubwa kuonesha vigezo vyote vimefuatwa ambapo kwa sasa kuna wanaoitwa Wadau wameitwa kwaajili ya kujadili kwa haraka halafu itaingizwa kwenye maelezo ya...
  16. JamiiForums Tanzania Serikali: Walimu sasa kufanya mtihani wa kupima uwezo kabla ya kuajiriwa

    Ule mtazamo kuwa taaluma ya ualimu ni chaguo la mwisho baada ya kukosa fursa nyingine unakaribia ukingoni, baada ya Serikali kutangaza utaratibu mpya katika ajira za taaluma hiyo. Utaratibu huo, kwa mujibu wa Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda utahusisha, ili uajiriwe...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Serikali yakaribisha wawekezaji kutoka Urusi

    Serikali ya Tanzania imewakaribisha Wafanyabiashara na Wawekezaji kutoka Serikali ya Urusi kuwekeza Tanzania kwa maslahi ya pande zote mbili na ustawi wa Dunia kwa ujumla. Mwaliko huo umetolewa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk...
  18. JamiiForums Tanzania Napendekeza Serikali ya Tanzania ichapishe Noti za Shilingi Elfu (50,000) na Laki moja (100,000)

    Napenda kutoa mapendekezo muhimu kwa Serikali ya Tanzania (GOT) na Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kuhusu umuhimu wa kuchapisha noti mpya za Shilingi 50,000 na 100,000. Pendekezo hili lina lengo la kuongeza hadhi ya fedha nchini na kuleta faida za kiuchumi na kifedha kwa taifa letu. 1. Pendekezo...
  19. JamiiForums Tanzania Serikali mlazimisheni Mtume Mwamposa ajenge Hosteli na Wodi kwani Waumini wake Wanakufa mno Mitaani

    Hivi GENTAMYCINE naandika huu Uzi napambana na Wakazi wa Mtaa kuutoa Mwili wa Mmoja wa Waumini wa Mtume Mwamposa aliyekuwa Mgonjwa, katotoka Ndugu zake huko Mkoani na kaja Kujiuguza ( kwa Kuishi ) katika Kibanda cha Mkaa Mtaa wa Ukwamani Kawe mita chache tu kutoka ulipo Msikiti maarufu wa kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Kufanyike mdahalo huru wa Wananchi v/s Serikali kuhusu mkataba wa bandari

    Kuhusu mkataba wa bandari tumeona mapungufu makubwa ya bunge letu kuhusu namna linavyosimamia serikali, tumeona bunge limetumika kama toilet paper na serikali. Udhaifu huo wa bunge unapelekea kuchochea zaidi mahitaji ya katiba mpya ili kuepukana na udhaifu na upumbavu kama huo wa bunge. Hivyo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…