serikali

  1. JamiiForums Tanzania Mawakili wataka Serikali ieleze sababu ya 'Kusaini’ Mkataba wa Bandari bila kushirikisha Wananchi

    Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya itaanza kusikiliza maombi ya kupinga mkataba uwekezaji wa bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Dubai kupitia Kampuni DP World baada ya kupokea majibu ya Serikali. Katika maombi hayo ya kikatiba, waleta maombi wanaitaka Serikali kuieleza mahakama sababu za kile...
  2. JamiiForums Tanzania Wafanyakazi IPTL waendelea kuililia Serikali

    Waliokuwa wafanyakazi wa kampuni ya kufua umeme ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) wameendelea kuiomba serikali iwasaidie kulipwa stahiki zao wanazoidai kampuni hiyo.Wafanyakazi hao walioachishwa kazi 31 october,2018 wamekuwa wakifuatilia stahiki zao bila mafanikio. Wafanyakazi hawa...
  3. JamiiForums Tanzania Serikali endeleeni kumchekea Zumaridi mpaka atakapoleta madhara

    Zumaridi huenda ana watu wanaomlinda serikalini kwa maana haiwezekani amefikia hatua ya kuwakusanya watoto na anawapumbaza mchana kweupe na Mamlaka inamchekea tu. Pia soma - Hamad Masauni: Taasisi ya dini ya Mfalme Zumaridi haijasajiliwa
  4. JamiiForums Tanzania DOKEZO Trafiki na Polisi wanaotumia pikipiki Sumbawanga wanawatesa wamiliki wa vyombo vya usafiri kwa rushwa iliyokithiri

    Ndugu zangu Watanzania serikali yetu ya Jamuhuri ya muungano wa Tanzania inapaswa kutambua kwamba katika majeshi ambayo ni shida na mateso kwa Watanzania hususani wenye vyombo vya usafiri Jeshi la Polisi kitengo cha usalama barabarani na polisi wanaotumia pikipiki ni tatizo kubwa kwa Watanzania...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali ihakiki mikopo ya wafanyakazi

    Hivi hakuna namna ya serikali kuhakiki mikopo ya watumishi, sawa na jinsi walivyo hakiki vyeti. Watumishi wengi sana wanaumizwa na taasisi za kifedha... Mwisho wa siku utendaji kazi wao unakuwa hafifu.
  6. JamiiForums Tanzania Serikali itueleze, imeanzisha tozo mpya kwenye manunuzi ya luku kinyemela? Au system imejichanganya, kwanini tozo zinakatwa mara 2 kwa mwezi?

    Nimenunua umeme tarehe 29 mwezi wa sita nimekatwa 1000 huku huko nyuma nilishakatwa tarehe moja. Nilijua wamebadirisha tareha za makato. Leo nimenunua tena nimekatwa 1000
  7. JamiiForums Tanzania Video | Serikali ya Djibouti yavunja mkataba na DP World kuhusu uendeshaji wa bandari ya Doraleh

    Muhtsari Serikali ya Djibouti yavunja Mkataba wa Bandari ya Doraleh na DP World Sababu za kuvunja Mkataba ni kutokuwepo kwa maslahi kwa Taifa la Djibouti na rushwa iliyotolewa na mkuu wa bandari Serikali ya Djibouti yaishtaki DP World kwa madai ya ukiukwaji wa Mkataba Serikali ya Djibouti...
  8. JamiiForums Tanzania UTATA: Majadiliano na DP world bado, lakini serikali yetu inajivunia faida za DP world!

    Huenda labda ni kuchanganyikiwa au kutokujipanga kwa viongozi wa Tanzania katika kutetea mkataba wa uwekezaji wa bandari baina ya DP world na Tanzania. Kumekuwa na kauli za kukinzana na kuvuruga kutoka kwa viongozi watetezi wa sakata hili ili kujibu shutuma za Bandari yetu kutolewa bure na...
  9. JamiiForums Tanzania SoC03 Uwazi katika utoaji huduma kwa shule za serikali

    ANDIKO LA MAONI Maendeleo ni mchakato unaohusisha ushirikiano baina ya wananchi, haiwezekani wananchi wote wakafanya kazi zote kwa pamoja katika eneo moja .Ni lazima kuwe na mgawanyiko wa kazi ili kuleta tija katika utendaji na kuzia mwingiliano wa majukumu. Mgawanyiko wa majukumu huainisha...
  10. JamiiForums Tanzania Mjadala wa DP World unaendelea sasa kati ya Msemaji wa Serikali na wadau huko Club House comment zote zinapinga mkataba huo

    Nasikiliza mjadala unaondelea unahusu DP World huko Club House kwa kweli comment zote zinakataa uwepo wa Muwekezaji huyo kutoka Dubai kupewa bandari yetu, sijui kwa nini Serikali bado imekomaza shingo na kutaka watu wakubaliane nao na huku hali inaonesha wamekataa kila sababu wanayopewa na...
  11. JamiiForums Tanzania SoC03 Serikali Iwalinde Wafanyabiashara na Wajasiriamali Wadogo Nchini Tanzania

    Utangulizi Baadhi ya wafanyabiashara wakubwa, nikimaanisha wale waliofikia kiwango cha kumiliki makampuni makubwa na/au viwanda vikubwa, wana tabia ya kuwameza wafanyabiashara wadogowadogo, kwa namna mbalimbali. Kwa mfano, kampuni ina kiwanda cha kuchakata ngano, na inauza ngano iliyokobolewa na...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali haitaki kubadilisha vifungu vya MOU ya DP world? Kama hakuna rushwa

    Tujiulize kama hakuna rushwa kwanini Serikali wanakuwa wagumu kukubali ushauri na kufanya marekebisho ya MOU kwa manufaa ya nchi. Mikataba ya baadae haitakuwa ya wazi! MOU ndiyo muhumu sana kufanyiwa marekebisho. Watanzania hawapingi uwekezaji bali vifungu vya MOU!
  13. JamiiForums Tanzania Barabara ya Mwendokasi kutoka Maktaba hadi Tegeta kuanza kujengwa, Ubungo Kimara kufumuliwa

    Kwa ufupi sana Serikali ya Tanzania kupitia Tanroads leo 30 Juni 2023 inasaini Mikata Minne ya ujenzi wa miundombinu ya Usafiri wa haraka wa Mabasi (BRT) awamu ya nne. Inaanza kujenga barabara ya Magari yaendayo haraka kutoka Katikati ya Mji (Maktaba) hadi Tegeta, ambayo itajengwa na...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Serikali, Wadau waipongeza Benki ya CRDB kukusanya Tsh. Bilioni 700 kuwawezesha wajasiriamali nchini

    Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ), Abdalla Hussein Kombo (katikati), Afisa Biashara Mkuu Benki ya CRDB, Boma Raballa (wapili kushoto), Mkurugenzi wa Wateja Wadogo na Wakati Benki ya CRDB, Bonaventura Paul (wapili kulia), Mkuu wa Kitengo cha Huduma kwa...
  15. JamiiForums Tanzania Utafutaji ni mgumu nawashanga watumishi wa serikali wenye uhakika wa kuvuta mshahara kila mwisho wa mwezi japo ni kiduchu wanashindwa kushukuru

    Habari ya sikukuu Mtoko wangu wa leo sikutaka kwenda kuponda raha niliingia hapo mbezi stendi kuangalia hawa ndugu zetu walio jiajiri ili nijifunze vitu vipya ambavyo sivijui hawa watu wanaamka saa kumi za usiku na kulala mida mibovu sana middle of the night aisee utafutaji wao ni mgumu sana...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Prof. Shivji apuuzwe, ni kigeugeu. Alisaliti machapisho yake ya serikali tatu wakati wa bunge la katiba

    Prof. Shivji haaminiki tena huwa anatumika na ni kigeugeu hivyo apuuzwe ktk hoja zake anatoa kupinga ubia wa serikali ya Tanzania na DP World kuendesha bandari.. Kama mnakumbuka prof. Shivji ameandika machapisho mengi sana kuhusiana na utata na udhaifu wa muundo wa muungano wetu wa serikali...
  17. JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali itusaidie kumaliza tatizo la vibaka Ipuli, Tabora imekuwa too much sasa

    Kumekuwa na sintofahamu ya matukio ya wizi uliokithiri maeneo ya Ipuli hapa mtaani Mrenda Mkoani Tabora, matukio ambayo yanayofanywa na watu ambao bila shaka ni vibaka kulingana na aina ya wizi wanaofanya. Tabia hiyo ilianza mdogomdogo lakini sasa inazidi kukomaa, vibaka wanakata madirisha ya...
  18. JamiiForums Tanzania Mbunge Zaytun Swai Aitaka Serikali Kuongeza Kasi Kupunguza Vifo vya Watoto Njiti Mkoa wa Arusha

    MHE. ZAYTUN SWAI AITAKA SERIKALI KUONGEZA KASI YA KUPUNGUZA VIFO VYA WATOTO NJITI MKOA WA ARUSHA "Je, Serikali ina mpango wa kupunguza vifo vya watoto wenye umri kati ya mwaka 0 - 1" - Mhe. Zaytun Seif Swai, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha "Serikali kupitia Wizara ya Afya imeweka Mipango...
  19. JamiiForums Tanzania BAKWATA yaishauri Serikali ifafanue mashaka katika Mkataba wa Uwekezaji wa bandari

    Baraza la Waislamu Tanzania limeitaka Serikali kufafanua maeneo yanayotiliwa shaka kuhusu uwekezaji bandari. Dar es Salaam. Katibu Mkuu wa Baraza la Waislamu Tanzania (Bakwata), Nuru Mruma ametoa wito kwa Serikali kupokea maoni ya wananchi kuhusu sakata la Bandari, huku akiitaka ifafanue maeneo...
  20. C

    JamiiForums Tanzania Msaada: Leo Juni 29, 2023 Ofisi za Serikali zipo wazi?

    Habarini wana JF, Hivi leo Alhamisi Juni 29, 2023 Ofisi za Serikali zipo wazi, au bado ni Eid Al Hajj?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…