Diaspora wa Iran wanaichukia sana Serikali ya Iran

Diaspora wa Iran wanaichukia sana Serikali ya Iran

Yoda

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2018
Posts
64,831
Reaction score
110,889
Katika diaspora wanaoongoza kuichukua serikali yao waIran wanaoishi nje ya nchi yao wanaweza kuwa wanaongoza, wengi wao wanafurahia hadi Iran inavyoharibiwa kwa mabomu!

Hakuna diaspora kabisa wa kuutetea utawala wa Ayatollah, yani wanazidiwa hata na CCM ambao angalau ina watetezi huko ughaibuni!
 
Lazima wawe hivyo , ukishakaa nchi zenye uhuru wa kufanya mauchafu unayo yataka , sio rahisi upende nchi inayo ongozwa na mifumo ya kimaadili
Sijui ni maadili gani unayaongelea Iran wakati ndoa za utotoni zinaruhusiwa na kisamvu cha kopo ni ruksa pia,
Labda kama unazungumzia wanawake kuvaa Kiislamu.
 
Utawala wa Ayatollah umejaa ukatili na mauaji ya kutisha. Diaspora wengi wa Iran wamekimbia kuuawa. Mtu amekimbia kuuawa na Serikali, unatarajia mtu huyo aipende hiyo Serikali inayotaka kumwua? Ayatollah kumwua mtu ni sawa na mumchapa fimbo mtoto aliyekosea. Fikiria mwanamke anauawa kwa kutovaa kilemba kinachofunika pua na mdomo!

Iran bila kubadilisha mfumo wa utawala unaotenganisha masuala ya Serikali na dini, itaendelea kuwa nchi hatari kwa wananchi wake, mataifa jirani, na hata kwa Ulimwengu. Kwa sababu msimamo wa Ayatollah ni kwamba Dunia nzima kwenye waislam, nchi ni laxima itawaliwe kwa sheria za dini ya kiislam, na watawala ni lazima wawe waislam, tena wa madhehebu ya Shia. Na maelekezo yake ya pili ni kuwa Wayahudi hawatakiwi kuwepo Duniani, wanatakiwa kuungamizwa na kupotezwa.
 
Lazima wawe hivyo , ukishakaa nchi zenye uhuru wa kufanya mauchafu unayo yataka , sio rahisi upende nchi inayo ongozwa na mifumo ya kimaadili
Hakuna nchi isiyo na ucjafu, lakini uchafu wa Iran imevuka viwango vyote. Kuna uchafu gani katika ulimwengu huu, unaozidi mauaji ya binadamu wenzako? Iran ni nchi ya wauaji, ndiyo maana unaona imejaza makundi ya kigaidi Mashariki ya kati nzima, kazi ya hayo makundi ni kuua tu watu.

Kwa hakika Ayatollah ni shetani ambaye Wairan wanaishi naye kwaajili ya kuwaangamiza.
 
Mmejazwa na dini mkajazika kweli kweli
 
Lazima wawe hivyo , ukishakaa nchi zenye uhuru wa kufanya mauchafu unayo yataka , sio rahisi upende nchi inayo ongozwa na mifumo ya kimaadili
Mkuu mfumo gani wa maadili Iran insongozwa wakati Ayatollah supreme leaders kwenye kitabu chake ameruhusu wanaume kutomasa vichanga ila wasiwaingilie hadi wakojoe. Maadili yao ni kwa nje tu. Ni wanafiki.
 
Hawawazidi Wa Iran ndani ya Iran, wengi sana wanaichukia serikali yao mpaka kufikia kuuawa watu elf 40 walioandamana wiki chache zilizopita kwa maisha magumu, umasikini na kukosa uhuru wa maoni na dini lakini vyombo vya habari vilipiga kimya kwasababu tu serikali ni adui wa Israel na Marekani.

Wachezaji wa timu ya mpira ya Iran wapo Australia waligoma kuimba wimbo wa Taifa, watawala wamewaita wahaini na wakirudi kuna adhabu kali sana inawangoja, Diaspora wa Australia wamewasaidia kuzuia wasiondoke.

Baada ya Ayatolah kupigwa bomu, Wa Iran wengi sana walishngalia, wanaichukia serikali yao with passion, achana na hao wachache wanaoruhusiwa kuonyeshwa kwenye tv za Iran ambao ni wanafamilia, ndugu na machawa wa serikali.

Hata kwenye nyumba Kuna sovereignty ya baba kama kichwa cha nyumba, lakini majirani tukiona anambamiza kila siku mke wake lazima tuivunje hiyo sovereignty.
 
Ni ujinga na upuuzi umewajaa sikubaliani na utawala wa kidini sehemu popote duniani kwa sababu una maujinga mengi ambayo sikubaliani nayo ila kufurahia nchi yako kuwa bombed kisa utawala uliopo ni ukosefu wa akili.

Marekani na Israel hawaibomb Iran kwa sababu yao na dikteta wao Reza Pahlavi ni kwa sababu ya maslahi yao tu.

Ukitaka kujua hao diaspora wa Iran ni wendawazimu ni kwamba wana uchukia utawala uliopo na kuuita wa dikteta hapo hapo wanafagilia monarchy pumbavu kabisa.
 
Mkuu mfumo gani wa maadili Iran insongozwa wakati Ayatollah supreme leaders kwenye kitabu chake ameruhusu wanaume kutomasa vichanga ila wasiwaingilie hadi wakojoe. Maadili yao ni kwa nje tu. Ni wanafiki.
Ujinga unaropoka
 
Ukitaka kujua hao diaspora wa Iran ni wendawazimu ni kwamba wana uchukia utawala uliopo na kuuita wa dikteta hapo hapo wanafagilia monarchy kupambavu kabisa.
achana na diaspora huko mbali sana, wananchi wa ndani wengi zaidi wanaichukia serikali a Iran, hata timu za mpira huwa ni kawaida haziimbi wimbo wa taifa, wiki chache zilizopita internet ilizimwa wakauawa wairan elf 40 kwenye maandamano
 
Back
Top Bottom