serikali

  1. JamiiForums Tanzania Kongole Serikali kwa kutoa fedha ununuzi wa vifaa tiba na dawa

    Mkurugenzi wa MSD, amedhibitisha kuwepo kwa ongezeko la upatikanaji wa Bidhaa vya afya kwa mwaka 2022/2023, ambapo ambapo juni 2022, ongezeko lilikuwa kwa asilimia 51, na kupanda hadi asilimia 64, juni 2023, wakati upatikanaji wa dawa kwa sasa umefikia asilimia 82, mwezi juni 2023 kutoka...
  2. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Kihenzile: Serikali Kujenga Kujenga Matenki ya Kuhifadhi Mafuta (Tani 360,000)

    Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania ( TPA) imepanga kujenga matenki ya kuhifadhi mafuta (Farm Tanks) yenye uwezo wa kuhifadhi tani 360,000 kwa wakati mmoja ili kufanya Meli za mafuta zisikae bandarini muda mrefu hivyo kuongeza ufanisi na kupunguza gharama kwa wateja. Hayo...
  3. JamiiForums Tanzania Tuelezane: Kiongozi wa Serikali kuvaa hivi sababu ni mwanamitindo haifai

  4. JamiiForums Tanzania Waislamu waishtukia serikali kutaka kupotosha mafunzo ya dini yao

    Waislamu waingiwa wasiwasi na Serikali baada ya kuona Tayaar mtaala wa ELIMU ya dini katika website ya serikali na somo hilo kuanza kutumika Mwakani wakati wazir wa ELIMU alikwisha waahidi na kuwaomba radhi serikali itawashirikisha lakin Sasa Kuna DALILI zote za kutoswa...
  5. JamiiForums Tanzania Halmashauri ya Ileje imegoma kabisa kutulipa posho zetu za kujikimu

    Jamani wahusika mtuonekanie. Halmashauri ya Ileje imegoma kabisa kutulipa posho zetu za kujikimu. Huku vijijini hali ni mbaya hatuna hela na kuemea chakula ni mara moja kwa wiki ikikupita hapo huli wiki nzima hata kama una Hela. Tusaidieni kupaza sauti. Twafaaaaa hali ni mbaya Sana ajira mpya...
  6. JamiiForums Tanzania Kupotoka kwa maadili Serikali inastahili kulaumiwa

    Kupotoka kwa maadili mara nyingi lawama wanatupiwa wazazi na utandawazi, lakini ebu tuangalie wajibu wa serilkali kwa maana ya mhimili wa utawala wenye mamlaka ya kusema hii sawa na hii hapana. Majuzi nilikuwa naangalia kipindi cha mkutano wa wadau wa madini kilichofanyika Geita ilinipa...
  7. JamiiForums Tanzania Serikali yampokea Mwanariadha Magdalena Shauri baada ya kushinda Medali ya Shaba

    Mapokezi Makubwa ya Mwanariadha wa Kimataifa wa Tanzania, Magdalena Chrispin Shauri (alie vaa bendera ya 🇹🇿) Jijini Arusha, katika ofisi za Mkuu wa Mkoa wa Arusha, na Kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John Mongela , Charles Maguzu kutoka BMT na Kiongozi wake Jeshini (JWTZ) Arusha. mara...
  8. JamiiForums Tanzania Dodoma: Wanafunzi 17 wadaiwa kutimuliwa baada ya kugomea somo lililofutwa na Serikali

    Wanafunzi 17 wanaodaiwa kusoma kozi ya Afya ya Jamii (Community Health) katika Chuo cha Afya na Sayansi Shirikishi (Decca) ambayo ilifutwa tangu mwaka 2019 wameiomba Serikali kuwapatia sehemu ya kuishi wakati wakisubiri hatima yao baada ya kufukuzwa na uongozi wa chuo hicho. Wanafunzi hao...
  9. JamiiForums Tanzania Serikali haina Msemaji kwa siku kadhaa sasa na hakuna Tatizo , kwanini cheo hiki kisiunganishwe na Waziri wa Habari ?

    Kama kwa siku kadhaa hatuna Msemaji wa Serikali baada ya Gerson Msigwa kupelekwa Wizarani , na hakuna kilichobadilika , basi ni dhahiri kwamba Cheo hiki hakina haja ya kuwepo ili kupunguza matumizi ya serikali . Napendekeza Waziri wa Habari ndiye awe Msemaji wa Serikali .
  10. JamiiForums Tanzania Majina yangu 10 yanayofaa Nafasi ya Msemaji Mkuu wa Serikali

    Msemaji Mkuu wa Serikali ni Nafasi Muhimu na nyeti. Inamhitaji Mtanzania Mwenye uzoefu wa kutosha na kwenye sekta ya habari, mzalendo na ambae anaweza kuizungumzia positively Serikali wananachi wakamwelewa; pia Mwenye uwezo wa kuchakata taarifa vizuri na Mwenye art ya kufanya spinning katika...
  11. R

    JamiiForums Tanzania Serikali yatolea ufafanuzi taarifa ya nafasi ya masomo ya kidato cha 5 ya mwanafunzi Sifika Ruben kupewa mtu mwingine

    Serikali kupitia Ofisi ya Rais -TAMISEMI jana tar 25/9/2023 imetoa ufafanuzi wa taarifa zilizokuwa zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii zikimuhusisha mwanafunzi Sifika Daniel Ruben aliyesoma Shule ya Sekondari ya Mkombozi Wilayani Same, Kilimanjaro kupangwa Shule ya Sekondary Namwai kwa masomo...
  12. F

    JamiiForums Tanzania Serikali isifanye mambo kwa kukurupuka, kuteua leo na kutengua kesho ni fedheha kwa nchi

    Juzi tu aliyekuwa mkurugenzi wa TANESCO Maharage Chande aliondolewa Tanesco na ktangazwa kuwa mkurugenzi mkuu TTCL. Leo baada tu ya siku tatu ametanguliwa na kufanywa kuwa Postamasta! Jambo hili linaonesha jinsi serikali isivyo makini katika kufanya teuzi au maamuzi yenye maslahi ya kitaifa...
  13. JamiiForums Tanzania Naomba Serikali iwashughulikie ipasavyo CWT pamoja na Afisa Utumishi wasio na weledi

    Hakuna Mwalimu yoyote yule ambae anakikubali hicho chama Cha CWT kwa miaka mingi sana wameendelea kutafuna ada ya 2% kwa Kila Mwanachama ambao ni wengi mnoo, kipindi Cha Magufuli alisema inakadiriwa kwamba wanakusanya zaidi ya Tsh billion 3 kwa mwezi huku impact ya moja kwa moja kwa walimu hao...
  14. JamiiForums Tanzania Serikali yatangaza tenda ujenzi wa bandari mpya ya Bagamoyo, kukamilika baada ya miaka mitatu

    Serikali ya Tanzania kupitia Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) tayari imeanza kutafuta Wakandarasi watakao jenga kwenye Bandari mpya ya Bagamoyo ambapo tenda imeshatangazwa na inatarajiwa kuwa ndani ya miaka mitatu itakuwa imekamilika na kuanza kutumika. Millard Pia soma > Serikali kuanza...
  15. JamiiForums Tanzania Ushauri: Dr Ayub Ryoba awe Msemaji Mkuu wa Serikali, Salim Kikeke awe Mkurugenzi Mkuu TBC

    Ningekua Rais wa nchi ningemteua Mkurugenzi mkuu wa TBC Dr Ayub Ryoba kumrithi Gerson Msigwa kwenye nafasi ya usemaji mkuu wa serikali na nafasi yake Ryoba ijazwe na aliyekua mtangaji wa shirika la utangazi la Uingereza BBC Salim Kikeke kua Mkurugenzi mkuu wa Shirika la utangazaji Tanzania TBC...
  16. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa waajiriwa wa Serikalini

    Nawashauri wadogo zangu wanaotafuta ajira na waliotayari wameshapata ajira za serikali kua MKOPO NI MMOJA TU kwenye maisha yako ya utumishi na ni ule mkopo wa kwanza kuchukua kwenye taasisi yoteyoe ya fedha. Mikopo mingine utakayokua unachukua ni ile wanaaiita TOP UP ambayo ni kiasi kidogo sana...
  17. G

    JamiiForums Tanzania Utabiri: Salim Kikeke kuingia Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali

    Jinsi upepo unavyovuma sio kwamba Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali anaandaliwa Kikeke. NB; Ni utabiri tu nisipigwe mawe. Leta utabiri wako Mwanabodi.
  18. B

    JamiiForums Tanzania Serikali iruhusu uraia pacha kati ya miaka 0 hadi 35

    Tunajua serikali inahofia kuruhusu uraia pacha kwa sababu za kisiasa kwamba atatokea mtanzania huko mambele mwenye ushawishi na kuchukua nchi. Hilo tuliache. Tanzania kwa siku za hivi karibuni inajitutumua kwenye nyanja za michezo kimataifa. Mfano hivi karibuni, timu ya Taifa ya mpira wa miguu...
  19. JamiiForums Tanzania Eneo serikali ya ccm imeupiga mwingine ni kwenye teuzi na tenguzi

    Katika eneo ambalo CCM na serikali yake ina upiga mwingi kwa msemo wa machawa na wafuasi wake ni kwenye uteuzi na utenguzi. Hii ni moja ya sera yao ambayo hakunadiwa katika ilani yao lakini wasimamizi wake wa ilani wanaishadadia sana. Huu ni mfumo ambao unazoeleka lakini hatuoni impact ya...
  20. JamiiForums Tanzania Taasisi dhaifu ni kitisho kwa usalama wa nchi. Kwa hali ilivo, TANESCO ni hatari namba moja kwa usalama wa Tanzania, na serikali bado imelala fofofo!

    Umuofia kwenu....! Kati ya mwaka 2018 na 2020 Tanzania ilipitia changamoto za uhaba mkubwa wa Cement na bei kuanza kupanda kiholela. Lakini baada ya kulifuatilia suala lile, nikaja kugundua kwamba, kuadimika na kupanda kiholela kulisababishwa Zaidi na utekelezaji wa miradi mikubwa ya ujenzi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…