Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango amesema haya...
“Baadhi ya vijana wamekosa uaminifu, wengine wamekosa utii wa sheria, wengine hata hawaitii serikali, lakini pia bidii ya kazi ni ndogo, tamaa ya kupata fedha nyingi haraka haraka kwa njia zisizo halali na wanashindwa kuwajibika kwa umma...