serikali

  1. Serikali yaipa NHIF miezi mitatu kuimarisha mfumo wa TEHAMA kuondoa usumbufu wa wagonjwa wa Bima

    Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel, leo Bungeni Jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge wa Geita Mjini, Constantine John Kanyasu (Kwa niaba ya Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu) aliyeuliza kwa nini NHIF inazuia matibabu ya baadhi ya wagonjwa wenye Bima za Afya wakiwa Hospitali. “Ni kweli...
  2. R

    Keneth Nollo: Serikali ifute ada Vyuo Vikuu

    Akichangia bungeni mbunge Keneth Nollo, amesema serikali ifikirie kuondoa ada kwa wanafunzi wa chuo nchini sababu umasikini na mkubwa na wengi hawawezi kumudu. Badala yake wanafunzi wa nje pekee ndio wawe wanalipa ada.
  3. Serikali imeridhia uchumi wa bodaboda?

    Serikali na viongozi naomba niwaulize. Je, mumeridhia uchumi wa Taifa hili linalosifika kwa kuwa na rasilimali lukuki tutembee kwenye uchumi wa bodaboda? Nauliza hivi kwakuwa naona ndio ajira kubwa ya nguvu kazi vijana wa Tanzania.
  4. Serikali yasema inashughulikia madai ya Wafanyakazi wa SGR wanaodai malipo ya NSSF

    Naibu Waziri wa Wizara ya Uchukuzi, David Kihenzile amesema Serikali inafahamu Mkandarasi Mkuu wa Mradi wa Reli ya SGR (Yapi Merkezi) anasuasua kufanya malipo kwenye Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa Watumishi na kuwa vikao vinaendelea ili awe anakamilisha malipo mara tu anapolipwa fedha...
  5. T

    Ijue KADCO, kampuni hewa iliyokuwa ikiendesha uwanja wa ndege wa Kilimanjaro International Airport

    𝗥𝗘𝗩𝗘𝗔𝗟𝗘𝗗: 𝗛𝗼𝘄 𝗧𝗮𝗻𝘇𝗮𝗻𝗶𝗮 𝘀𝗶𝗴𝗻𝗲𝗱 𝗮 𝗰𝗿𝗮𝘇𝘆 𝗱𝗲𝗮𝗹 𝘄𝗶𝘁𝗵 𝗮 𝗺𝘆𝘀𝘁𝗲𝗿𝘆 𝗰𝗼𝗺𝗽𝗮𝗻𝘆 𝘁𝗼 𝗼𝗽𝗲𝗿𝗮𝘁𝗲 𝘁𝗵𝗲 𝗰𝗼𝘂𝗻𝘁𝗿𝘆'𝘀 𝗺𝗮𝗶𝗻 𝘁𝗼𝘂𝗿𝗶𝘀𝘁 𝗮𝗶𝗿𝗽𝗼𝗿𝘁 The government announced today that Kilimanjaro International Airport (KIA) will finally be handed over to the state-run Tanzania Airports Authority (TAA) tomorrow, but the real...
  6. R

    Pamoja na Serikali kuruhusu usafiri saa 24, wapo wafanyabiashara na watendaji wa serikali wanapanga kukwamisha utaratibu huu; tuwapige vita

    Serikali imefanya jambo jema sana kuruhusu safari masaa 24, matumizi ya gari ndogo na Costa kupakia abiria usiku, matumizi ya magari ya magazeti na IT kutumika kubeba abiria yamepungua na sasa watu wanasafiri salama na mabasi yaliyoruhusiwa Kutokana na ubora wa mabasi yanayotumika sasa huko...
  7. Barabara hii ya kimataifa na lango la uchumi, serikali iiangalie .

    Barabara ya Mandela hasa kuanzia ubungo hadi bandalini, haikidhi haja kutokana ubebaji wake malori mengi. Barabara hii ya kimataifa, inayopitisha malori mengi, yakiwemo yanatokea nchi za jirani, ikimbukwe ni lango kuu la uchumi wa Tanzania, ila inaonyesha serikali hailioni hili. Barabara ina...
  8. Mbunge Reuben Nhamanilo Aiomba Serikali Kuongeza Nguvu kwa Wananchi katika Ujenzi wa Shule za Msingi Handeni Mjini

    "Je, ni lini Serikali itamaliza mgogoro wa mpaka kati ya Handeni na Kilindi katika eneo la Bondo" - Mhe. Kwagilwa Reuben Nhamanilo Reuben Nhamanilo, Mbunge wa Jimbo la Handeni Mjini "Serikali imekwishatatua mgogoro wa mpaka kati ya Halmashauri ya Handeni na Kilindi katika eneo la Bondo kwa...
  9. P

    Serikali imeingia kwenye mtego wa kina Dkt. Slaa mazima, wametimiza lengo la kufungua maandano yao!

    Salam wa nyuki wa mama na team kupinga ubadhirifu, unyanyasaji na mikataba yenye kuleta hasara kwa nchi. Akina Slaa na Mwabukusi safari hii wamecheza kama pele, wametumia mtandao vizuri kucheza na akili za viongozi wa serikali na wamefanikiwa kwenye hilo. Sasa mapambano yanafanywa 'kisayansi'...
  10. Mbunge Mkundi: Serikali iwekeze kwenye huduma za Kijamii

    Mbunge wa jimbo la Ukerewe (CCM), Mhe. Joseph Mkundi ameishauri serikali kuwekeza katika huduma za kijamii ili kukuza uchumi wa taifa. Mhe. Joseph Mkundi ameyasema hayo Novemba 7,2023 bungeni jijini Dodoma wakati akichangia mapendekezo ya mwongozo wa maandalizi ya mpango na bajeti ya serikali...
  11. Je ni haki kwa mafundi ujenzi wanaojenga nyumba za serikali kwa force account kuzungushwa katika malipo yao??

    Mimi ni fundi ujenzi (majengo) katika wilaya X ninajenga na kufanya kazi za serikali kwa njia ya force account lakini ikifika swala la malipo ninazungushwa sana mara taarifa zinakuja eti kunamaboresho ya mfumo sasa yapata miezi mitatu tangu marekebisho yasemekane kwani hayaishi?? Maana...
  12. A

    DOKEZO Dereva Bodaboda tulionunua ardhi Boko Mnemela tumetapeliwa, tunaomba msaada wa Serikali Kuu

    Mimi ni dereva Bodaboda napatikana Kata ya Mbezi Msumi hapahapa Dar es Salaam, tulijichanga tukanunua eneo la ardhi katika Kijiji kinaitwa Zumba kipo Boko Mnemela, Kibaha Mkoani Pwani, yaliyotukuta ni makubwa. Tulichofanya tulioneshwa eneo lenye ukubwa wa ekari 10, tukiwa Bodaboda 50...
  13. Mbungu Pius Chaya ahoji mkakati wa serikali kupambana na Tembo

    Mbunge wa jimbo la Manyoni Mashariki Dk. Pius Chaya ameihoji serikali je, ni mkakati kuhakikisha inapambana na tembo ambao wamekuwa kikwanzo kwa wakulima wa korosho jimboni hapo? Amesema katika jimbo hilo kuna kilimo cha korosho block farm lakini tembo hao wamekuwa wakiwasumbua sana...
  14. Mbunge Aloyce Kwezi: Mpango wa Maendeleo ya Taifa 2024 - 2025 Serikali Ijenge Barabara ya Mpanda - Kaliua - Kahama

    MBUNGE ALOYCE KWEZI: MPANGO WA MAENDELEO YA TAIFA 2024-2025 SERIKALI IJENGE BARABARA YA MPANDA - KALIUA - KAHAMA "Nampongeza Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi nzuri anayoifanya ya kujenga Taifa letu. Nawapongeza Mawaziri, Komredi Mwigulu Lameck Nchemba na Professor Kitila...
  15. N

    Tetesi: Kuna ukweli wowote wa kuchetusha malipo ya control number za serikali (GePg) kwenda kwa mtu binafsi?

    Government Electronic Payment Gateway (GePG) Kuna ukweli wowote wa kuchetusha malipo ya control number za serikali (GePG) kwenda kwa mtu binafsi? Kumekuwepo na taarifa za chini kwa chini kwa baadhi ya watu kuwa Kuna taasisi ukienda wanakupa control number kisha ukishalipiaa either ukiwaletea...
  16. Waziri Mwigulu: Tunatazamia kuwakopesha Wafanyakazi wenye sifa Magari ili kupunguza Matumizi ya Serikali

    Serikali iliwahi kusema inatumia Bil.550 Kwa mwaka Kuagiza magari, vipuri, mafuta na matengenezo Kila mwaka. -- Akijibu swali la Mbunge Asia Abdulkarim Halamga aliyehoji sababu za Serikali kutumia Wakala wa Huduma za Ununuzi Serikalini (GPSA) ambaye ananunua Magari kwa gharama kubwa kuliko bei...
  17. Balozi wa Uingereza nchini: Serikali zinatakiwa kuzingatia nafasi za wanaowafadhili. Ni kuhusu haki za LGBTQ

    Balozi wa Uingereza nchini Tanzania, David Concar akihojiwa kuhusu Uganda kupitisha sheria ya ushoga, amesema nafasi ya Uingereza juu ya haki za LGBT+ duniani iko wazi. "Tunaunga mkono haki za makundi yote kutendewa kwa usawa na wasibaguliwe. Makundi yenye watu wachache ikiwemo jamii ya LGBT+...
  18. Serikali yaingia makubaliano kufuta deni la bilion 170 la Mbeya Cement

    Serikali imeingia makubaliano na wawekezaji wa kiwanda cha Mbeya Cement ya kuboresha na kuongeza ufanisi wa uzalishaji wa kiwanda hicho ikiwa ni Pamoja na kufutwa kwa Deni la Shilingi Billion 170 ili kukiwezesha kiwanda hicho kutengeneza Faida. Serikali inamiliki asilimia 35 ya hisa katika...
  19. Watumishi wa Serikali fungeni mikanda msitegemee OC kuingizwa Novemba

    Ni moto kila idara na njaa, sio kawaida tunakwenda robo ya pili ya mwaka wa fedha hakuna activities zinakwenda. Kilichobaki ni kukopwa tu kazi hawatoi posho zaidi ya hela ya mafuta, nayo itakata. Amkeni, amkeni, hamasisheni watu walipe kodi la sivyo mtachanganyikiwa muda sio mrefu kwa madeni...
  20. Serikali yaagizwa kufuatilia kwa haraka mgogoro Kati ya Wananchi na Taasisi ya Efatha uliosababisha watu kadhaa kupigwa risasi

    Bunge limeagiza Serikali kwenda haraka katika Jimbo la Kwela mkoani Rukwa kwa ajili ya kusaidia mgogoro kati ya wananchi na taasisi ya kidini ya Ephata Ministry ambao umesababisha watu kadhaa kupigwa risasi. Agizo hilo limetolewa bungeni leo Junanne Novemba 7, 2023 na Mwenyekiti wa Bunge...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…