CCM ni MAKUPE walioiganda Serikali ya Tanzania

CCM ni MAKUPE walioiganda Serikali ya Tanzania

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
2,175
Reaction score
4,181
Angalia ikiwa wewe au watoto wako mna kupe katika ukoo wenu, CCM na serikali yake yote vikiwemo vyombo vyake havina tofauti na mdudu Kupe. CCM sio chawa ni kupe.

1745911104423.png
 
Mwenye gari sio gari.
Siku ikinunuliwa au kutekwa inaweza kutumika kumgonga ,kumuwuwa au kumteka.
Wangapi walikuwemo CCM wamepotea wametekwa na sasa wengine wanahukumiwa.
Na hawa hawa walikuwa wakivyonza damu walikuwa CCM ,ona wabunge walivyo na mirija ,sijui mna uelewa au mpo mpo tu ?
 
Hii comment yako mbona hueleweki?
 
1745919079661.png
fananisha na mtu yeyote ndani ya Chama cha CCM ? aafu taja jina.
 
Back
Top Bottom