series

  1. Swahili AI

    Adulting Series: A showmax series

    Series tamu sana, mapenzi, hustles, mahusiano. Marafiki wanne wa chuo kikuu, ambao uhusiano wao mkubwa umewaweka pamoja japo safari zao za maisha zimewapeleka katika njia tofauti sana. Follows four varsity friends, whose strong bond has held them together even as their journeys in life have...
  2. M

    Sidhani kama kuna series kali kushinda Game of Thrones?

    Najua zipo series nyingi sana ambazo waandishi walituliza akili kuziandika kama vile vikings,lord of the rings etc,ila bado sijakutana na mzigo mkali kama Game of thrones, humu mwandishi alijua watazamaji ni nini tunataka na akatupatia. Natumai waandishi bongo muvi watafikia levo hizi 1 day.
  3. B

    Hage Geingob (Full interview) (Namibia Documentary Series)

    Hage Geingob (Full interview) (Namibia Documentary Series) https://m.youtube.com/watch?v=zfNQ1MqEBVc We had the pleasure to sit down with Namibian Prime Minister and former anti-apartheid activist Hage Geinbob in August 2012. He was kind enough to tell his story, focusing particularly on his...
  4. Ultimate

    Pantheon Show: Moja ya series bora zaidi upande wa TECH

    Aisee Hii series nimekua recommended na moja ya jamaa yangu Nimemaliza kuangalia pantheon S02 itoshe kusema ukiachana na mr robot hii animation series kutoka studios za amazon prime ni kali Kiufupi hii series inaongelea UIs (Uploaded Intelligence) na CIs hii ni mbali zaidi ya AI...
  5. Cecil J

    Ipi ni soundtrack yako kali kwenye movie au series ulizowahi kuangalia?

    ....
  6. M

    Tukio gani lilikuhuzunisha zaidi kwenye Series ya Game of thrones (GoT)?

    Kwangu mimi ni the red wedding (episode ya the rains of castamere) pamoja na kifo cha Hodor..... Naliaga kabisa kwenye hizi scenes 😭😭 The red wedding 💔
  7. sky soldier

    Wangapi tumeangalia series nyingi kiasi kwamba tunateseka sana kupata series mpya za kuangalia

    Series nilizocheki ni nyingi sana ni za kimarekani, kikorea na kilatini. Yani hapa kupata series mpya imekuwa shughuli nzito sana Napenda series za uhalifu, misukosuko ya kutoboa zero to hero,
  8. Best Daddy

    Mind Bending Blowing Movies Special Thread

    Ulishawahi angalia filamu ukajikuta una question your reality? una-question everything? Yaani filamu imeilenga akili yako mtazamaji kama ni sehemu ya mchezo. Basi huo ni mfano wa Mind bending/blowing movie. kwa matumizi ya uzi huu: Mind bending films films ni aina ya filamu zenye lengo la...
  9. M

    Umeshaiona series ya Lupin?

    Tamthilia ya Lupin ni tamthilia ya uhalifu ya Ufaransa iliyotengenezwa na George Kay na François Uzan. Ilionyeshwa kwa mara ya kwanza kwenye Netflix mnamo Januari 8, 2021. Tamthilia hiyo inaangazia Omar Sy kama Assane Diop, mwanamume ambaye anaongozwa na shujaa wa uhalifu Arsène Lupin katika...
  10. Fifteen

    Kwa wapenda movie za aliens Series ya invasion ni series Bora kabisa

    Habari jukwaani kwa wawafatiliaji wa movie za aliens sizani kama Kuna movie Bora kuizidi invasion ambayo iko season two episode ya 7 week hii ubora wake ni 1. kwanza Aliens hawajavamia america tu ni world wide. 2. Aliens hawaongei kingereza Wala hawafati linguistics yetu. 3. Mapambano...
  11. Vincenzo Jr

    Ipi ni season bora ya muda wote kati ya hizi mbili

    Breaking bad 9.5 Game of thrones 9.4 Hizi ni kwa mujibu wa rate za IMDB je wew kama mdau ipi kwako ni kalii sana
  12. Vincenzo Jr

    Hakujawahi kuwa na series kali ya kivita zaidi ya Band of brothers

    The series dramatizes the history of "Easy" Company, 2nd Battalion, 506th Parachute Infantry Regiment of the 101st Airborne Division, from jump training in the United States through its participation in major actions in Europe, up until Japan's capitulation and the end of World War II.
  13. Da'Vinci

    Muvi na series zilizoandikwa vizuri

    Moja ya kitu kinafelisha bongo series ni kutokua na waandishi wazuri wa series na muvi yaani Screenwriter/Scriptwriters. Mtu kwakua ana stori anayo kichwani basi yeye mwenyewe anaiandikia script, lakini hata hao waandishi waliopo hawana uwezo wala elimu ya Screenwriting. Binafsi moja ya vitu...
  14. salehe magari mazuri

    Car4Sale Tunauza Magari aina mbalimbali

    Price/Bei 15.7mls Cont: Bmw 3 Series ECY Year 2008 Cc 1990 Low Km 99000 Full Options✅ Sports & New Tyres Clean Condition 0688591584 Navunja Na Gari yoyote°° Location Dar es salaam
  15. Mapank

    2024 Toyota LandCruiser 70 Series inapata injini ya dizeli ya lita 2.8, lakini V8 inabaki

    Bei za Toyota LandCruisers zenye uwezo wa 1VD zimepanda hivi karibuni wakati Toyota ilipotangaza aina ya 2024 LandCruiser 70 Series itakayoendeshwa na injini ya dizeli ya 1GD 2.8-lita yenye cylinder nne inayoungwa automatic gear box, lakini habari njema ni kwamba V8 inabaki kwa ajili ya wakati.
  16. salehe magari

    Car4Sale Nauza magari ya aina mbalimbali

    NISSAN DUALIS *CROSS RIDER Price :17.5mls (GARI NI MPYA 100%) Year 2010/2011 Engine Cc 1990 Full Ac Low mileage Rim sports 0688591584
  17. Mtemi Eno

    Kwa wapenda muvi na series, hii ndio mbinu rahisi ya kuzidownload

    Makadirio ya Ukubwa wa Muvi / Series -Muvi za 720p zina MB 700 hadi GB 1 -1080p zina GB 1.5 hadi 2 -Series za 720p zina MB 250 hadi 400 -1080p ni MB 500 hadi 800
  18. Mtemi Eno

    Kwa wapenda Movies na series wanaotaka kujidownloadia wenyewe, darasa hili hapa

    Kwa internet ya hapa kwetu bongo nimeona hii angalau ni nyepesi na inaokoa bando, wengi wakitumia mbinu ya apps kama utorrent muvi ya Gb 1 unakuta inatumia gb 1 na nusu, pia ukisahau kustop inaendelea kufyeka MB. Hii njia ipo fresh.
  19. Mtemi Eno

    Kama unapenda kutunza kumbu kumbu za muvi / series, hii itakufaa.

    Mfano hii ni series ya prison break season 1 episode 21, nimeipende hii sehemu na nataka niitunze kwa picha mnato (snapshot) File la picha litaandikwa "Prison Break S01E21-00_17_15-00007 " ikimaanisha kwamba tukio la kwenye picha lipo kwenye prison break season 1 episode 21, muda wa dakika ya...
  20. Lycaon pictus

    Hakujawahi kuwa na series kali zaidi ya The Sopranos

    Katika watu waliotulia na kuandika series hakuna kama walioandika The Sopranos.
Back
Top Bottom