sembe

Sembé is a town located in the Sangha Region of the Republic of the Congo. It is located about 1193 km from Accra, about 1581 km from Lagos and about 3297 km from Fortaleza.

View More On Wikipedia.org
  1. Mjukuu wa kigogo

    Mamlaka husika mnatambua jinsi wafanyabiashara maduka ya rejareja wanavyoibiwa sukari, ngano na sembe katika maduka ya jumla wilayani Bunda?

    Wanajamvi wakati tunaendelea kumuona Makonda akiendelea kuuwasha moto na kuendelea kuwa man of the match kuna kitu nimekibaini....! Maduka mengi ya jumla(wholesale) hapa wilaya ya Bunda yananyonya sana wafanyabiashara wadogo wadogo(wa rejareja),ila mbinu wanayotumia ni kali sana...
  2. Mokaze

    Maswali kwa TMDA kuhusu virutubisho katika unga wa sembe

    Wadau, hususan TFDA (The Tanzania foods and drugs authority), ni kwa muda mrefu nimekuwa na tashwishi ya kutaka kujua kuhusu madawa/virutubisho (fortifications) zinazotiwa na wasagaji katika unga wa sembe nk , maswali yangu kwa wahusika au kwa mtu yeyote anajua kuhusu hayo madawa/virutubisho ni...
  3. comte

    Kupanda kwa bei ya mchele, maharage, na sembe ni ishara kuwa sasa CCM inamajali mkulima

    Wakulima wa mazao hapa nchini wamekuwa wakiuza mazao yao kwa bei ya chini sana kuliko gharama za uzalishaji kwa sababu serikali iliwajali zaidi walaji wasio lima. Sasa serikali inageuza upande wa pili na kuwapa soko kubwa na la ushindani wakulima. Hatua hii imefanya bei ya mazo ya wakulima...
  4. J

    Unga wa sembe umeshuka bei kufikia tsh 1600 kwa kilo

    Wiki mbili zilizopita nilinunua Unga wa sembe kilo 5 kwa tsh 8500 lakini jana katika duka lile lile nimeuziwa kwa tsh 8000. Muuzaji akaniambia katika wiki mbili zijazo bei itashuka kufikia tsh 6500 Sawa na tsh 1300 kwa kilo. Hongera waziri Bashe kwa ufuatiliaji.
  5. Bujibuji Simba Nyamaume

    Pascal Mayalla Mzee wa makala za "Kwa maslahi ya Taifa", mbona uko kimya bei ya sembe imefika 1,800/- kwa kilo

    Pascal Mayalla nakusalimu. Nimekuwa msomaji na mfuatiliaji mzuri sana wa makala zako ulizozibandika jina la "Kwa Maslahi ya Taifa". Kupitia makala hizi nimekuwa nikijifunza vitu mbalimbali na bingo sana. Kikubwa zaidi nilichojifunza, hizi makala zipo kwa ajili ya kuwaponda wapinzani na...
  6. Mohamed Said

    Taarifa ya kifo cha Sheikh Abdallah Rashid Sembe May 1999

    TAARIFA YA KIFO CHA SHEIKH ABDALLAH RASHID SEMBE MAY 1999 Nimeweka hapa historia ya dua iliyofanywa Mnyanjani mwaka wa 1958 ka ajili ya kutaka msaada wa Allah katika tatizo kubwa lilikokuwa linaikabili TANU katika Uchaguzi wa Kura Tatu. Kisa chote kile cha dua hii ya Mnyanjani kuanzia Mwalimu...
  7. Jebel

    Namna mifuko ya Sukari, Ngano na Sembe iliyotumika inavyoweza kubadilisha maisha yako

    Waungwana natumaini mu wazima na kwa Neema na Baraka za Mungu majukumu yanaenda vema kwa kila mmoja wetu. Kama mambo hayaendi vema kwako usikate tamaa, kesho yaweza kuwa zamu yako ya kubarikiwa, endelea kufanya yote kwa bidii, maarifa bila kusahau kuomba na kushukuru. Twende kwenye maada...
  8. K

    Jipatie Sembe na Dona safi

    JIPATIE SEMBE NA DONA SAFI NA KWA BEI NAFUU BEI Habari! Nauza unga safi wa sembe na dona kwa bei nafuu. Kwa wakazi wa Dar es Salaam unaletewa popote ulipo kwa bei hizo hapo chini. Kwa wakazi wa mikoani tutakuletea pia popote ulipo kwa ongezeko kidogo la bei kulingana na umbali wa mkoa ulipo...
  9. sinza pazuri

    Konde (Harmonize) acha kutumia "sembe" inakuharibia career yako ya muziki

    Kwa mapenzi mema namshauri Konde boy aache kutumia poda, ajifunze kwa kaka zake waliopotea kwa kuendekeza poda. Management yake msimuogope boss wenu msaidieni kabla gari haijawaka, ikiwaka hakuna sober house itayomsaidia. Haya mengine mengi mnayoyasikia ni matokeo ya stress na kuchanganywa na...
  10. dvj nasmiletz

    Wapi nitaprint logo yangu katika mifuko ya sulfate kwa ajili ya unga wa sembe kwa Dodoma

    Nahitaji kuprint mifuko ile ya kuwekea unga.. Logo ninayo tayari Nahitaji kujua gharama ni zipi kwa mfuko kg 5 na kg 25 Na mnaanza kuprint kuanzia pc ngapi Mnatumia tecnolojia ipi Kuprint au muhuri?? Nipen gharama za kila teknolojia
  11. sky soldier

    KWANINI WAUZA SEMBE KUTOKA TZ NA KENYA HAWASEMWI SANA AFRIKA KUSINI KAMA ILIVYO KWA WANAIJERIA

    Nimeoma huko sauzi kuna ile hali ya kuwaona wanaijeria ni wauza madawa, Je hali ipoje kwa watz na kenya wanaouza
  12. codex4x

    Mashine Ya Kusaga na Kukoboa Inakodishwa

    Mashine Ipo Ruguruni (Vituo Viwili kutoka Mbezi Mwisho) Tunakodisha kwa laki 5 (Maongezi Yapo) kwa mwezi kwa mashine zote mbili na godown lake.
  13. F

    Biashara ya Kuchakata na Kufungasha Unga wa Mahindi (Sembe na Dona)

    Hellow wanaJF, Nina wazo la kuanzisha biashara ya kusaga unga wa sembe na ku-pack kwa ajili ya kuuza. Jamani naombeni mawazo yenu. WADAU WENGINE WANAOHITAJI KUJIFUNZA KUHUSU BIASHARA HII MICHANGO YA WADAU KUHUSU BIASHARA HII
Back
Top Bottom