Biashara ya sembe Dar es Salaam ipoje?

aBuwash

Senior Member
Dec 26, 2023
107
201
Mim ni kijana mwenye umri wa miaka21,
Nina mashine mbili moja ya kusaga na ya kukoboa mashine kubwa za kuzalisha unga wa kupeck.

Nina million kumi cash ya mtaji na mashine zipo complete kwa kuanza Kaz gharama frame, kufunga kuanza kazi
Sas nilikuwa natak hiki kiwanda nikiwekee dar Ila sas cjajua soko lipo vp changamoto za huo mkoa kuhusu hii biashara ipo vp, wapi patakuwa sehem nzuri kuzifunga ambapo wateja watafika kirahisi.

Naombeni ushauri na maoni juu ya hii biashara kwa mkoa wa Dar ipoje kwa anaefahamu atakuwa amenisaidia Sana.

NOTE: ZINA UWEZO WA KUHUDUMIA WATEJA WOTEWOTE JUMLA NA REJAREJA
 
Mim ni kijan mweny umri wa miaka21,
Nina mashine mbili moja ya kusaga na ya kukoboa mashine kubwa za kuzalisha unga wa kupeck.
Nina million kumi cash ya mtaji na mashine zipo complete kwa kuanza Kaz gharam frame,kufunga kuanza kazi
Sas nilikuwa natak hiki kiwanda nikiwekee dar Ila sas cjajua soko lipo vp changamoto za huo mkoa kuhusu hii biashara ipo vp, wapi patakuwa sehem nzuri kuzifunga ambapo wateja watafika kiurahis

Naombeni ushauri na maoni juu ya hii biashara kwa mkoa wa dar ipoje kwa anaefahamu atakuwa amenisaidia Sana
NOTE:ZINA UWEZO WA KUHUDUMIA WATEJA WOTEWOTE JUMLA NA REJAREJA
Uko mkoa gani? Kwa Dar soko kubwa sana uwezo wako tu...pita pita maduka jumla .....hata 10 utakuta wengine wana supply wengine wanapotea katikati.....ukipata soko lako anza kuzalisha.....ila mkopo uwe mtaji na circle zako 3......mfano tani 5 ....week unatoa next week tani 5 ukipeleka ndio unalipwa ya mwanzo.....ndio biashara ya unga sembe ilivyo
 
Kwa sas nipo mtwara kk ko unamaanisha nianze kwa kukopesha
 
Center ya sembe hapa Dar ni Manzese, kwahiyo kafanye research pale.
Pia ukiweza kuagiza mahindi mwenyewe mkoani ndo utaifurahia hii biashara
 
Fanya mpango ufike sehemu moja inaitwa Mbagala, tenga nauli na ela ya lodge ya wiki nzima. Hiyo population utakayokutana nayo Zakhiem ndo utaelewa kwanini nime suggest Mbagala. Makao makuu ya sembe Kwa Dar ni Manzese jirani na uwanja wa fisi, lakini anatakiwa mbunifu mmoja aanzishe chimbo jingine. Uwanja wa Mkapa huwa unajazwa na watu wa Mbagala na Temeke. Nadhani hapo umepata idea. Ukichemka niambie nikupe muongozo wapi pa kuanzia. Nitakupa details hapahapa Kwa manufaa ya wote.
 
Kwa Dar es salaam maeneo yote ni potential especially kwa biashara hiyo ya unga wa chakula, sema tu ucheze na washindani wako bei msipishane sana wewe huwe chini Yao walau kwa shilingi 100 au 200 na pia huwe makini kwenye fremu utakayoipata usijikute unalipa kodi kubwa sana kwenye fremu ukatoka kwenye reli kabla biashara haijachangamka.
Nakushauri uzifanyie kazi location zifuatazo
*Mbezi
*Kimara
*Ubungo
*Mburahati
*Mabibo
*Kigogo
*Tandika
*Yombo
*Mbagala
*Makumbusho
*Mwananyamala
*Kinyerezi
*Gongo la Mboto
*Pugu
*Chanika
 
Upo sahihi mkuu, ila sehemu zote hapo ulizozitaja ukizijumlisha bado population yake haifikii watu wa Mbagala. Mbagala ni zaidi ya wilaya 3 za Dar, sielewi kwanini mpaka leo haijatangazwa kuwa wilaya. Mbagala Ina watu wengi zaidi ya mkoa wa Simiyu, Katavi na Njombe Kwa pamoja.
 
Kwa Dar es salaam maeneo yote ni potential especially kwa biashara hiyo ya unga wa chakula, sema tu ucheze na washindani wako bei msipishane sana wewe huwe chini Yao walau kwa shilingi 100 au 200 na pia huwe makini kwenye fremu utakayoipata usijikute unalipa kodi kubwa sana kwenye fremu ukatoka kwenye reli kabla biashara haijachangamka.
Nakushauri uzifanyie kazi location zifuatazo
*Mbezi
*Kimara
*Ubungo
*Mburahati
*Mabibo
*Kigogo
*Tandika
*Yombo
*Mbagala
*Makumbusho
*Mwananyamala
*Kinyerezi
*Gongo la Mboto
*Pugu
*Chanika
Sawa mkuu nimekuelewa
 
Fanya mpango ufike sehemu moja inaitwa Mbagala, tenga nauli na ela ya lodge ya wiki nzima. Hiyo population utakayokutana nayo Zakhiem ndo utaelewa kwanini nime suggest Mbagala. Makao makuu ya sembe Kwa Dar ni Manzese jirani na uwanja wa fisi, lakini anatakiwa mbunifu mmoja aanzishe chimbo jingine. Uwanja wa Mkapa huwa unajazwa na watu wa Mbagala na Temeke. Nadhani hapo umepata idea. Ukichemka niambie nikupe muongozo wapi pa kuanzia. Nitakupa details hapahapa Kwa manufaa ya wote.
Ok saw Ila hakutakuwa na shida kweny kupata wateja maana wateja weng wanaenda sehem ambayo wanauhakik wa kupata mzgo kwa mbagala wateja wanaweza kunifamu kirahis
 
Center ya sembe hapa Dar ni Manzese, kwahiyo kafanye research pale.
Pia ukiweza kuagiza mahindi mwenyewe mkoani ndo utaifurahia hii biashara
Sawa Hilo naliweza kwaxabab nimfany Sana kazi ya sembe sumbawang
 
Potential clirnts ni wauza maduka. Mtwara mahindi unachukua mkoa gani na wanakuuzia 740 au 600 kilo?
Mtwara Mara nying huwa mahind wanachukulia songea Ila mim huku mtwara sizalish unga mashine zipo ndan2 nimezisafirish kutoka sumbawang
 
Back
Top Bottom