Faida kwenye biashara ya sembe na dona inapatikanaje?

Faida kwenye biashara ya sembe na dona inapatikanaje?

Binafsi Kwa Dar es salaam sina uzoefu, ila kama uko interested na nje mfano Kongo naweza kukupa ABC
 
Nasubiria Nondo
Mashine zipi nzuri za kusaga na kukoboa?
 
Wajuzi wa hii biashara tafadhali tupeni ujuzi hapa pia vipi kupeleka Kenya naona unga kwao uko juu sana
 
Biashara za mass market mara nyingi faida ni 100 au 200 ila anauza tones kwa siku
 
Habari!

Mwenye uzoefu na biashara ya kusaga na kukoboa mahindi ( sembe na Dona ) Naomba kuelimishwa faida katika kila kilo mfano kwenye Sembe ( kama wewe ndio mwenye kiwanda unatakiwa kuweka shi. ngapi au asilimia ngapi )

======
Pia soma:
Mashine nyingi wanakuwaga na mahindi hapo hapo, kwahiyo wateja wengine wananunua mahindi hapo hapo machineni na wengine wanakuwa na mahindi yao wenyewe. Hiyo ya kuuza mahindi machineni ni biashara ya kwanza, biashara ya pili ni huduma ya kusaga/kukoboa na biashara ya tatu ni kuuza pumba zilizopatikana kwa kukoboa mahindi kama chakula cha mifugo. Hiyo ni 3 in 1, ukitegemea kusaga na kukoboa peke yake itakuwia vigumu kidogo biashara kukua
 
Back
Top Bottom