Shule za serikali kwa mujibu wa takwimu za TAMISEMI ni kuwa mikoa yote Tanzania ina shule ambazo zinawalimu chini ya 10. Hata hivyo Lindi inaongoza kwa kuwa na shule nyingi zenye waalimu chini ya 10.
Aidha shule 21 zina walimu 5 au chini ya hapo na shule 2 zilizoko mkoani Mara zinawalimu...
Mimi ni miongoni mwa walimu wa Sekondari (ajira mpya) mwaka 2025.
Baadhi tumeajiriwa mwezi wa pili, wa tatu hadi wa sita - lakini mpaka leo hatujapata pesa ya kujikimu.
Wenzetu walipewa pesa hiyo mnamo mwezi wa kumi na moja na na sisi hatujui muafaka wetu ni upi na kumekuwa na ubabaifu mkubwa...
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
kujikimu
majibu
mpya
pesa
pesa za kujikimu
sahihi
sekondari
walimu
Kutokana na uhitaji mkubwa wa wanafunzi wanaotaka kuhamia Shule ya Sekondari Nyampulukano iliyopo Sengerema mkoani Mwanza, upande wa mabweni lakini kukosa nafasi, hali hiyo imewasukuma wadau mbalimbali kujitolea kujenga bweni jipya litakaloongeza uwezo wa shule hiyo kupokea wanafunzi wengi zaidi...
Najua kwa mliopata A flat na mkaitwa wanasayansi mtasema nina wivu.
Mimi primary tena ya kijijini ndani ndani huko darasa letu lilikuwa la pili kumaliza STD 7 nilipata A flat na kupangiwa shule ya vipaji. Enzi hizo ukipata shule ya vipaji kijiji kizima unajulikana. Mpaka kijiji jirani...
Nimeomba nafasi mwanafunzi ahamie shule ya Sekondari Mkundi Mlimani, Morogoro Manispaa ila nje ya michango mingine nimeambiwa nitoe laki moja kama "Mchango wa meza na kiti" kwakuwa Mkuu hapokei mwanafunzi ambaye anakaa chini.
Sasa, je hicho kiti na meza akimaliza kidato cha nne anaondoka nacho...
Kwa nia njema ya kujumuika tena na wanangu wa sekondari. Safari hii ilikuwa kupitia WhatsApp group.
Halikuwa tofauti sana na magroup mengine, mambo yalikuwa ni yaleyale tu, kusaidiana kwenye shida na raha. Tuliweka mkakati mzuri wa kusaidiana kwenye misiba na ugonjwa.
Kosa nililofanya ni...
Mh. Pamoja na kwamba kuna usemi: don't judge book by its cover, uhalisia ni kwamba wakati mwingine umbile la nje la kitabu linaakisi yaliyo ndani. Kwa binadamu mavazi yako yanaakisi hadhi yako, kwa vitu kama magari, simu, nyumba nk. Umbo la nje linaakisi hali ya ubora iliyop ndani ya vitu...
Wanafunzi wa kike wanaruhusiwa kuvaa burqa(ninja) mashuleni?
Nimeona mwanafunzi wa kike kama wa kidato cha pili amevaa burqa(ninja) anaenda shule nikashaangaa sana.
Ukiacha kuwa ni mwanafunzi kwa nini watoto wadogo wavalishwe burqa? Nani mwenye akili timamu anaweza kuwatamani watoto wadogo?
Habarini jamani!!!! Mwendo ni ule ule Oktoba hakuna uchaguzi utayeyuka shwaaaa baada ya mauza uza apo mwezi kati😃
Jana nilileta uzi kumhusu shemeji yangu mwenye dalili za kishoga ambazo amekuwa akizionesha mitandaoni hasa Tiktok yy amekuwa akisingizia ni mbinu za kuongeza followers lkn ikanitia...
Maabara za kisasa ambazo zinatumika katika Shule ya Sekondari ya Philipo Mulugo iliyojengwa kupitia mradi wa SEQUIP katika Kata ya Udinde Halmashauri ya Wilaya ya Songwe.
#KurayakwanzakwaSamia
#Haijapatakutokea
Serikali chini ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanya maboresho ya miundombinu ya madarasa katika shule za msingi na sekondari ambapo hadi sasa kiasi cha shilingi Bilioni 104.5 zimetumika kuboresha shule ya sekondari Kongwe kwapakacha katika mwaka wa fedha wa 2023/2024 katika Ujenzi wa...
Katiba ni nyaraka kuu ya taifa lolote. Ni dira, mwongozo na msingi wa maisha ya wananchi wake. Inabeba kanuni, sheria, haki na wajibu wa kila raia pamoja na viongozi wanaoongoza. Kwa maana hiyo, katiba si jambo la wanasheria pekee, bali ni chombo cha kila mwananchi.
Hata hivyo, changamoto kubwa...
Ni muhimu sana kwa watu kujua sheria,kuzisoma,kuzitafsiri,namna ya kuzitunga nk.
Watu wengi wanakutana na kadhia lakini wanashindwa hata kujua ni namna gani afungue kesi mahakani mpaka amtafute mwanasheria ama wakili ndio amsaidie.
Kuna ulazima wa kuwa na somo liitwe FUNDAMENTALS OF...
Mkuu wa Wilaya Rombo, Raymond Mwangwala (watatu kulia) akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 10 kutoka kwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya CRDB Bank Foundation, Coletha Ndunguru (wapili kushoto) kwa ajili ya kuchangia ununuzi wa vifaa vya ujenzi wa uzio wa Shule ya Sekondari...
Serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imekamilisha ujenzi wa shule mbili za kisasa za Amali Wilayani Kibondo Mkoani Tabora na Wilaya ya Mlele mkoani Katavi zinazogharimu Shilingi Bilioni 3.2
Vilevile serikali imetumia kiasi cha shilingi Bilioni 8.8 kwa ajili ya...
Serikali imetoa shilingi Bilioni 19.6 kwa ajili ya Mradi wa Kuboresha Ubora wa Elimu ya Sekondari SEQUIP mkoani Njombe.
Kati ya fedha hizo jumla ya Shilingi Bilioni 4.360 zimetolewa kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu mbalimbali ikiwemo majengo ya madarasa, maabara, mabweni, bwalo la chakula...
Nikiwa kama jirani nayeishi karibu na Shule ya Sekondari Nyamanoro iliyo katika Halmashauri ya Manispaa ya ilemela mkoa wa Mwanza nimekuwa nikipatwa na wasiwasi juu ya hatari inayowakabili wanafunzi wanaosoma shule hiyo kuwaruhusu wanafunzi kurudi majumbani saa 2 usiku.
Shule hii imeweka...
Anonymous
Thread
maisha
mkuu
mkuu wa shule
mwanza
saa
sekondari
shule
shule ya sekondari
shuleni
usiku
wanafunzi
Serikali Kupitia Mradi wa kuboresha Ubora wa Elimu Sekondari (SEQUIP) imetoa kiasi cha zaidi ya Shilingi Bilioni 5.7 kwa ajili ya ujenzi wa miundombinu ya ujenzi wa shule mpya mbili za sekondari zitakazorahisisha upatikanaji wa huduma za elimu mkoani Kigoma.
Shule hizo ni pamoja na Shule ya...
Aisee nimiaka kama tisa hivi toka nifeli form kidato nimepambana sana hapo katikati sasahivi mambo mazuri
Nimeenda kijijini nikakutana nawale manguli wa sayansi wamekua walimu wa sekondari hiohio tuliosomea wanajitolea sio ajira rasmi
Nilikuwa kwenye mnyama ford ranger aisee wamepagawa kuona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.