sekondari

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkenda, nakushauri ufumue mfumo wa elimu kuanzia Awali, Msingi, Sekondari ndipo uanze mambo ya ajira za GPA

    Waziri mkenda, ninaomba nikupe ushauri wa bure kabisa kuhusu elimu. Kwa sasa mambo ya ajira za GPA uko sawa ila anza kufumua mfumu, muundo na mitaala ya elimu nchini. Prof, hakikisha kila shule ya msingi ina madarasa 2 ya awali na walimu wa awali wenye uwezo wa kufundisha wanafunzi kwa lugha...
  2. U

    JamiiForums Tanzania Ujenzi wa vyumba vya madarasa sekondari kwa fedha za mkopo ni matumizi mabaya ya fedha zetu

    Tatizo kubwa linalosumbua nchi yetu ni viongozi kuamini wanahakili nyingi kuliko wasio viongozi, awamu hii ya sita imekuwa ikipeleka fedha nyingi kwenye miradi ya shule sekondari bila kufanya tathmini kuwa je bado kuna uhitaji mkubwa wa vyumba hivyo? Mbaya zaidi fedha inayopelekea huko ni ya...
  3. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi 270,000 kukosa nafasi Sekondari za umma

    Baada ya Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) kutangaza matokeo ya mtihani wa darasa la saba, imebainika wanafunzi 274,671 waliohitimu na kupata daraja D na E, hawana nafasi ya kujiunga na sekondari za umma katika mwaka wa masomo 2023. Idadi hiyo ni wastani wa mwanafunzi mmoja kati ya watano...
  4. Mpigamimba

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Mtoto amefaulu Sekondari ya AHMES, lakini shule aliyomaliza darasa la saba imefutiwa matokeo

    Wakuu Msaada. Kijana wangu amemaliza shule ya msingi iliyofutiwa matokeo. Kwenye interview zote nne nilizompeleka amefaulu. Matokeo ya la Saba yaliyotolewa muda si mrefu shule yake imekubwa na tatizo Hilo. Je, akiendelea na sekondari kwa matokeo yapi ya la Saba yatatumika? Kwa maana kwamba ana...
  5. Donnie Charlie

    JamiiForums Tanzania Ruvuma: Kakakuona aonekana Feo Girls

    Mnyama Kakakuona ameonekana katika Shule ya Sekondari ya Wasichana Feo, mkoani Ruvuma, huku baadhi ya wanafunzi wakiwemo wanaofanya mtihani wa kidato cha nne, wakifurahia kutokea kwa mnyama huyo, wakiamini ni neema kubwa kutokana na tabia za mnyama huyo.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Watoto wa shule sekondari siku hizi hawapendi kuchomekea! Nani alaumiwe kati ya Wizara, Wazazi au Walimu?

    Hili bomu la utovu wa nidham nani analilea? Unaweza kufikiri wizara ya elimu imebadili utamaduni wa uvaaji! Siku hizi watoto wa shule za sekondari hususani hizi za kutwa hawapendi kabisa kuchomekea sare za shule, katika 100 utakuta watano tu ndiyo wanaochomekea! Hata ukitazama hizo suruali...
  7. Sanyambila

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa NECTA: Usimamizi wa mitihani kwa shule za Sekondari na Msingi

    Habari watanzania! Hivi karibuni Katibu mkuu wa NECTA aliyepita sasa ni naibu katibu mkuu TAMISEMI, ametuachia jambo geni kwenye usimamizi wa mitihani.anyway labda lina tija au wapo kwenye utafiti wa mfumo sijui kwanza nikwamba zamani ilikuwa walimu wa SEKONDARI walisimamia mitihani ya...
  8. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Waraka wa Elimu namba 06 wa Mwaka 2022 kuhusu Usimamizi wa Maadili kwa wanafunzi wa Shule za Awali, Msingi na Sekondari

    Mataifa mbalimbali duniani yamekuwa yakifanya jitihada za kuhakikisha kwamba kila Taifa linalinda na kukuza utamaduni na maadili yake kwa lengo la kudumisha amani, mshikamano, umoja na maendeleo katika nchi husika. Hata hivyo, kutokana na maendeleo makubwa ya Sayansi na Teknolojia yaliyopelekea...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Hongera sana walimu wa sekondari kwa usimamizi mzuri wa Darasa la Saba

    Nawasalimu Kwa jina la JMT. Asanteni kwa kazi yenu walimu wa sekondari mpo vizuri sana, hamna kona kona nadhani wenyew mmeelewa hapa. Yale Mambo wamekamatwa kisa wameiba mtihani yatakuwa nadra kwa elimu msingi Mungu awabariki sana endeleeni na Moyo huo huo. Pia nawapongeza NECTA kwa kuwaleta...
  10. MK254

    JamiiForums Tanzania Iran: Wanafunzi Vyuo Vikuu na Sekondari wachachamaa kupinga udhalimu wa kidini, huku serikali ikilaumu Marekani na Israel

    Badala ya rais na mayatollah wasklize wananchi wao, wameamua kulaumu Marekani na Israel..... DUBAI, United Arab Emirates (AP) — Iranian President Ebrahim Raisi on Tuesday appealed for national unity and tried to allay anger against the country’s rulers, even as the anti-government protests that...
  11. CM 1774858

    JamiiForums Tanzania CC YA CCM: Hata kama tozo zimejenga vituo vya afya 234 na shule za Sekondari 214 bado wananchi wana hoja, zitazamwe upya

    CCM yatoa maelekezo kwa Serikali kuhusu tozo,Asante CCM kwa kulituliza Taifa, Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi Taifa (CCM) imeielekeza Serikali kuchukua ushauri wa wananchi kuhusu tozo sambamba na kujielekeza katika kubana matumizi ya serikali na kutanua wigo wa kodi...
  12. Sildenafil Citrate

    JamiiForums Tanzania Mbeya: Amuua mwanafunzi mwenzie kwa shoka baada ya kushindwa kumbaka

    Mwanafunzi wa kidato cha nne katika shule ya sekondari Sinde jijini Mbeya, Faraja Kasole (16), ameuawa kwa kukatwa na shoka shingoni na mwanafunzi mwenzie aitwaye Humphrey Ngogo (17) mwanafunzi wa kidato cha tano shule ya sekondari Iduda, baada ya kushindwa kumbaka. Chanzo cha mauaji hayo...
  13. ZIMBANGA CHIKUNDIKUNDI

    JamiiForums Tanzania SoC02 Salama ya mabinti shule za sekondari katika ‘punjabi’

    Kuna changamoto kadhaa katika mavazi ya wanafunzi wa shule za msingi na sekondari. Changamoto hizi huathiri matendo ya ufundishaji na ujifunzaji hali kadhalika mielekeo ya wanafunzi kwa namna fulani. Katika kujadili hili, nitajikita katika mavazi ya wanafunzi wa kike wa sekondari kwa sababu...
  14. E

    JamiiForums Tanzania Natafuta Ajira ya Ualimu Sekondari (Masomo ya Chemistry & Information Communication Technology {ICT/TEHAMA})

    Poleni na majukumu wakuu. Mimi ni kijana mtanzania mhitimu wa Shahada ya Ualimu katika masomo ya Sayansi nikispecialize katika Chemistry pamoja na Somo la Kompyuta. Hivyo kama kuna mchongo(nafasi) wowote wa Ajira itakuwa vizuri kama nikijulishwa ili kuweza kufuata taratibu zote zinazohitajika...
  15. Mmea Jr

    JamiiForums Tanzania hivi kwanini njia (under ground ways ) cha chini kwa chini za shule sekondari mkwawa (kwasasa mkwawa college of education ,muce ) zilifungwa ??.

    habari zenu wakuu , moja kwa moja kwenye mada , siku ya jumapili nilipata nafasi ya kumtembelea mzee mmoja mstaafu maarufu sana hapa Iringa . Mzee huyu yeye alikuwa mwalimu ambaye enzi za utumishi wake alipata nafasi ya kufundisha katika shule mbali mbali hapa Iringa kama vile kleruu , mawelewe...
  16. Rahimu kiwani

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Inawezekana mwanaume kumsomesha mpenzi wako ambaye ulisoma naye sekondari ikiwa wewe ulifeli yeye akafaulu?

    Nimeamua kuwaletea huu uzi wana jamii wenzangu, hebu na tuanze Katika maisha ya mwanadamu ya kila siku tunayashuhudia mengi sana hususani pale unapoanza kubale ndipo season inaanza. Ukikumbuka ulipokuwa sekondari ulianza kukutana na watu tofauti tofauti kutoka maeneo au vijiji fulani fulani...
  17. benzemah

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Madarasa 8000+ ya Sekondari kujengwa kabla ya 2023

    Akiendelea na ziara mkoani Mbeya, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe Samia Suluhu Hassan amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri nchini, pamoja na Wakuu wa Wilaya kuanza kujipanga kwa ajili ya ujenzi wa vyumba vya madarasa zaidi ya 8,000 kwa ajili ya shule za Sekondari ambayo yatahitajika...
  18. Y

    JamiiForums Tanzania SoC02 Kilimo na Ufugaji yawe masomo ya lazima shule za Msingi na Sekondari

    Kilimo ni uti wa mgongo wa taifa letu na huchangia 80% ya pato la taifa kuliko sekta nyingine ya uchumi. Kwa sababu hiyo sekta hizi zinatakiwa ziwekewe uwekezaji mkubwa zaidi. Wasomi wanaohitimu vyuoni hawapendi kufanya shughuli za kilimo na ufugaji kwa sababu kuu mbili. 1. Hawana taaluma ya...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Shule ya sekondari ya Suzhou yazindua programu ya majaribio ya ujumuishaji wa elimu na mchezo wa soka

    Shule moja ya sekondari ya Suzhou nchini China ikiwa ni shule ya majaribio ya ujumuishaji wa elimu na mchezo wa mpira wa miguu, imeiga vilabu vya kulipwa vya mchezo wa soka kujenga chumba cha kubadilishia nguo, chumba cha mazoezi na maonyesho ya utamaduni wa mpira wa miguu ili kuweka mazingira...
  20. system hacker

    JamiiForums Tanzania Anatafuta shule ya kukodi iwe ya Msingi ama Sekondari DSM, Pwani au Morogoro

    Ni ndugu yangu. Anatafuta shule ya kukodi. Iwe Msingi ama Sekondari kwenye mkoa wa DSM, Pwani ama Morogoro. Kwa yeyote anayeweza kusaidia kufanikisha hili anakaribishwa sana. Mengine watazungumza wenyewe wakikutana. Tumia hii email: dodomadaressalaam@gmail.com Tusaidiane ku push hili suala...
Back
Top Bottom