sehemu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. jlo father

    JamiiForums Tanzania Sehemu nzuri ya kujenga Morogoro Mjini

    Naomba kuuliza ndugu zangu ni sehemu gani nzuri ya kujenga Morogoro mjini kwa watu wenye vipato vya kati
  2. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa na mahusiano

    Zamani mahusiano au ndoa ilikuwa ni watu wawili kutengeneza kesho yao, na watoto wao lakini leo imebadilka ndoa imekuwa sehemu ya mwanamke kujitafta kiuchumi, akijipata anaondoka bila kujali anakiacha katika hali gani Yaani mwanamke sasa hivi anataka uhuru wa kiuchumi atatumia kila mbinu...
  3. P

    JamiiForums Tanzania Kwanini Madereva wa Mabasi huwa wana haraka hata kama sehemu haiwaruhusu kupita wanalazimisha?

    Tabia ya madereva wengi wa mabasi Tanzania kuvunja sheria au kuwa na haraka kuliko watumiaji wengine wa barabara ni chanzo cha ajali nyingi. Ifikie wakati wamiliki wasifumbie macho tabia hii. Serikali pia iwawajibishe wasiangalie makosa ya vibao vya 50 tu au kuzidisha abiria kuna tabia nyingi...
  4. W

    JamiiForums Tanzania Ukiwa unaambiwa ujiandikishe taarifa zako sehemu huwa unauliza zinatumiwa kwaajili gani?

    Wakati mwingine, unapokuwa unajiandikisha au kuwasilisha taarifa zako sehemu fulani, ni muhimu kuuliza jinsi taarifa zako zitakavyotumika. Hii ni ili kuhakikisha kuwa unaelewa madhumuni ya kutumia taarifa zako, na pia kujua kama kuna hatari yoyote ya usalama au faragha inayohusiana na matumizi...
  5. Moaz

    JamiiForums Tanzania Vyama vingi vya upinzani kwenye mfumo wa demokrasia ni sehemu ya mpango wa demokrasia kandamizi

    Vyama vingi vya upinzani barani Afrika, ikiwemo Tanzania, vimeundwa ndani ya mfumo ule ule wa kidemokrasia ambao tayari ni mtego kwa Waafrika. Hii inamaanisha kuwa hata kama chama cha upinzani kikishinda, hakina uhuru wa kweli wa kufanya mabadiliko kwa sababu: 1️⃣ Mfumo wa Demokrasia Umewekwa...
  6. Dr isaya febu

    JamiiForums Tanzania Harufu Mbaya Sehemu Za Siri Kwa Mwanaume.

    Ukiachalia mbali wanawake, tatizo la harufu mbaya sehemu za siri ni changamoto inayowasumbua wanaume wengi pia duniani. Harufu mbaya kwenye sehemu za siri kwa mwanaume inaweza kusababishwa na mambo mbalimbali. Leo katika mada yetu ya blogu hii tutazungumzia sababu kadhaa zinazochangia harufu...
  7. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Umewahi kukaa sehemu na ukahisi kama hiyo sehemu uliwahi kukaa zamani 'DEJAVU' already seen?

    Leo Nilikuwa nipo katika maktaba yangu ya simu nasoma kitabu kinaitwa "the power of karma" Katika kusoma nimekutama na neno la kifaransa linaitwa Dejevu likimaanisha already seen. Hii nimewahi kuisoma Mara nyingi Ila Leo nilijaribu Ku-trace maisha yangu na kuiona hii Dejavu Dejavu -...
  8. Mr Chromium

    JamiiForums Tanzania Kama Rwanda iko interested na mipaka inabidi ijue kuwa Rwanda na Burundi sehemu ya Tanzania

    Angalia hii ramani
  9. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta sehemu yenye free WiFi Dar es Salaam, nayoweza kufanya online meeting

    Natafuta space ambayo kuna utulivu na kuna unlimited internet Dar es Salaam. Iwe coworkspace ya kulipia au naweza kukaa kama mteja wa vinywaji lakini nitaenda na laptop yangu kwa ajili ya kufanya online meeting. Naomba suggestions.
  10. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Madhara jumuishi kuwa na mahusiano sehemu za kazi.. Ofisi moja

    Big up kwa wale wanandoa wote ambao hata kama walikutana ofisi moja lakini wakaamua kujiongeza na mmojawapo kuhama ili kuondoa madhara jumuishi...! Na ni afadhali mkawa wote level moja kuliko mmoja akawa boss ambapo utakapokosea kwenye vikao vya nidhamu na kuwajibishana... Mke/mume wako...
  11. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania BONGO TV na mapinduzi sehemu ya kwanza

  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Karibia sehemu zote zenye madini wameshapewa wageni

    Hii sio habari ya udaku. Ni habari ambayo kila mwenye akili timamu anaweza kuihakiki. Huko vijijini wawekezaji (wachimbaji) kutoka Asia hasa wachina wametapakaa wakichimba madini. Kama mjuavyo Wachina walivyo na akili, Mchina anajua madhaifu ya Mtanzania, kuwa ukimwekea pesa kwenye bahasha tu...
  13. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Historia ya Mapinduzi Inahitaji Kusomeshwa Kwa Tahadhari Sehemu ya Pili

    https://youtu.be/ofL3xgsRPgs?si=tDcubA7tdH0hsdlY
  14. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Historia ya Mapinduzi ya Zanzibar Inataka Tahadhari Kuisomesha - Sehemu ya Kwanza

    https://youtu.be/bn9RRKMN9qA?si=u7CW5jq7ruUzOkH7
  15. Yoda

    JamiiForums Tanzania Hakuna sehemu ngumu kama mazishi yanayowakutanisha mahasimu pamoja

    Hakuna mahali pagumu na pachungu kama kwenye mazishi yanayowakutanisha watu mahasimu wasiopatana au kuelewana, iwe ni ndugu, majirani wafanyabiashara, wanasiasa n.k. Ni mwendo wa kunafikiana tu.
  16. M

    JamiiForums Tanzania Mwaka 2025, fanya dunia sehemu nzuri ya kuishi

    MwanaJF wenzangu, Tunashukuru tumeanza wiki 1 ya mwaka 2025. Tuweke malengo ya kuhakikisha vizazi na vizazi vinaikuta sayari yetu salama. Mimi nitafanya yafuatayo; 1. Kupanda angalau miti 5 ya matunda tofauti tofauti. 2. Kuendelea kutotumia vifungashio vya plastiki 3. Kwenda sokoni na mifuko...
  17. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Viongonzi wa vyama vya upinzani mnafanya kazi nzuri ila kuna sehemu mnakwama kama sio kukosea.

    Happy new year . Leo napenda kutoa ushauri mdogo Kwa vyama vya siasa hasa Chadema ambao wamekuwa wakipambana na kujaribu kuingia madarakani. Katika siasa kinachohitajika zaidi sio Good plan pekee bali na good strategies . Mbinu nzuri na mipango mizuri , kila uchaguzi huwa nafatilia na...
  18. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Wakuu huu mwaka 2025 unapoenda sehemu iwe barber shop, restaurant etc, kabla yakupata huduma ni bora ukauliza kwanza bei yalinikuta

    Niliwahi kuingia barbershop moja humu ndani kuna full kiyoyozi huduma si mchezo masaa mawili kinyozi anakunyoa hana haraka. Nikanyoa si unajua tena wadada wa barber shop kaka uso wako una mafuta sana ngoja tukusafishe uso, nikatoka nimeg’aa ile mbaya, ikaja bill macho yalinitoka 45000. Uzuri...
  19. The Father of All

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna sehemu yenye kuvutia kwa kila kitu nchini zaidi ya Lushoto?

    Nimetembea sehemu nyingi nchini. Sijawahi kuona sehemu yenye kuvutia kama Lushoto. Mbali na mandhari yake ya kuvutia, watu wake ni waaminifu, wachapakazi, wachangamfu, na wakarimu. Kwa upande wa matunda na vyakula ndiyo usiseme. Haya ni maoni yangu binafsi. Hivyo, sitaleta utafiti zaidi ya...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Tanzania kero hizi hazijawahi kuisha , sasa ni sehemu ya maisha yetu

    Kuna kero Tanzania zipo tu na zinaonekana hakuna ufumbuzi , yaani hata uwe na billion mia Bado hizi shida utakuta nazo. 1. Barabara mbovu hizi zipo tu nunua gari Yako ya bei Kali Kuna sehemu hutopita nayo kisa barabarani mbovu. 2.shida ya maji ipo tu hii , tafta pesa chimba kisima...
Back
Top Bottom