sawa

SAWA is a Japanese singer-songwriter and DJ. In 2009, she signed onto Sony Music Entertainment Japan and joined its sublabel, Epic Records. In 2012, she switched to Bellwood Records and released her 6th mini-album, ソプラノレイン (Soprano Rain).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Vifo vya Watuhumiwa Mikononi mwa Polisi, nini kifanyike ili mambo yakae sawa?

    Hivi karibu kumetokea matukio yakihusisha watuhumiwa kupotea maisha mikononi mwa vyombo vya usalama. Mkoani Morogoro Askari wawili wanashikiliwa kwa tuhuma za mauaji ya Hamis Hassan (30) Mkazi wa Mvuha, Jeshi la Polisi limesema marehemu aliuawa kwa kufyatuliwa risasi Mei 31, 2022. Jijini...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Ni gharama kiasi gani zitatumika kulipia server kwa website yenye watembeleaji sawa na jamii forum ?

    Ni fedha kiasi gani zitatumika kulipia server kwa site kama hii ya Jamii Forum Msaada tafadhali kwa mwenye uelewa na hizi mambo
  3. T

    JamiiForums Tanzania Sawa tumekubali yaishe

    Sawa. Tumekubali kwamba nyie Utopolo FC ndiyo mabingwa NBC Premier league mwaka huu. Pia mtachukua ubingwa wa Azam FA CUP. Tukutane msimu ujao Utopolo wakubwa nyie!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini Rais Samia huwa anacheza vizuri halafu mambo yanapoelekea kukaa sawa anabutua?

    Samia alipoingia Madarakani alianza vizuri sana, akatuliza Taifa, Taifa likampenda, mambo yakawa yanaenda vizuri. Kha Ghafla akamkamata Mbowe, akamuweka ndani, Sehemu kubwa ya Taifa ikaanza kumuangalia kwa jicho baya! Likaja suala la wamachinga, Mwanzo alitoa hotuba, akasema wapangwe vizuri na...
  5. JamiiForums Tanzania CRDB hii siyo sawa, rekebisheni hili

    Mko vizuri sana kwenye slogan yenu ULIPO TUPO. Mtu anakopa hela kwenu kwa makubaliano kuwa mtakuwa mnamkata kwenye mshahara wake kila ukiingia mwisho wa mwezi. Mme muingizia mtu mkopo jumatatu hii mshahara haujaingia bado lakini leo hii alhamisi mmeanza kukata kwenye ule ule mkopo mnakiuka...
  6. T

    JamiiForums Tanzania Kudai katiba mpya katika mazingira ya sasa ni sawa na kuihujumu katiba mpya

    Mchakato wa kudai katiba mpya ni mchakato muhimu sana, ambao kwa maoni na mawazo yangu ni muhimu ufanyike kukiwa na elimu kubwa sana ya uraia miongoni mwa wananchi. Kwa bahati mbaya wanasiasa wanatuaminisha kitu ambacho hakiwezekani. Kwa namna katiba inavyodaiwa sasa ni kana Kwamba litakaa...
  7. JamiiForums Tanzania Gambo kumshutumu Katibu Mkuu UVCCM haijakaa sawa

    Mbunge wa Mbeleko aliyepita katika uchaguzi mkuu wa 2020 bwana Mrisho Gambo amemtuhumu katibu mkuu UVCCM taifa bwana Kenani Kihongosi kwamba siku ya wanawake aliingiziwa kiasi cha milioni mbili kwenye account yake pesa zilizotafsiriwa kuwa rushwa. Mbunge huyo aliyefeli kabla ya muda wake...
  8. JamiiForums Tanzania Nchi za Afrika tunadharauliana wenyewe kwa wenyewe. Hii si sawa

    Miaka ya nyuma tumesaidia nchi nyingi sana katika harakati za Ukombozi. Kupinga Ubaguzi,Ukandamizaji ba Uonevu. Nchi nyingi. Tuna maeneo na mitaa mingi kwa Majina ya Wanaharakati na wakombozi wa Africa. Mitaa kama Nkrumah n.k na hata Shuleni nakumbuka kulikuwa na Mabweni kama Nkrumah, Samora...
  9. JamiiForums Tanzania Ilianzia CUF, sasa NCCR. CHADEMA wajiandae

    MGOGORO WA NCCR CHADEMA WACHUKUE TAHADHARI Mgogoro wa CUF ulianza kwa mwenyekiti aliyejiuzulu kutaka kurudi katika kiti chake Tukio halikuwa la kawaida katika siasa za Tanzania lakini limetokea. CUF walifanya mambo kwa mazoea wakidhani isingewezekana kisiasa au Kisheria. Msajili wa vyama...
  10. JamiiForums Tanzania Malalamiko ya wananchi dhidi ya January Makamba na Nape Nnauye ni maneno maneno tu waendelee kumiza wananchi? Hivi hii ni sawa kweli jamani?

    Watu wanalalama kuwa kuna dalili ya ufisadi wa wazi kabisa ambao waziri Makamba ameonyesha waziwazi kwa kuipa kandarasi ya ajabuajabu kampuni ya Mahindra tech na zaidi ya bil 70 wanakula hao wahindi. Je kuna nini kipya wameleta ufanisi? Bwawa la Nyerere lilikuwa lianze kujazwa maji tangu Nov...
  11. JamiiForums Tanzania Profesa Assad: Katiba Mpya sawa ila isitupe mtu ambaye hawezi kumsikiliza mtu yeyote kama ilivyokuwa

    Aliyewahi kuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Tanzania (CAG), Profesa Mussa Assad amesema ni vizuri kuwa na Katiba Mpya lakini vizuri kuwa na watu wa kutekeleza Katiba hiyo sawasawa. Amesema hayo alipoenda kutoa maoni yake mbele ya Kikosi Kazi cha Rais, leo Mei 19, 2022 ambapo...
  12. JamiiForums Tanzania Huduma za Anuani za Makazi zinalipiwa?

    Wakuu, Nimekutana na hii stakabadhi mahali. Sina uelewa wowote kuhusu suala la malipo kwa huduma hii. Je, niandae buku tatu (3000) kwa ajili ya zoezi hili?
  13. JamiiForums Tanzania Ishu ya mitihani kuvuja Serikali ituambie ukweli, Waziri kujichanganya maana yake kuna kitu hakipo sawa

    Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia, Omary Kapinga ndiye ambaye aliyeanza kwa kutoa jibu kuwa mitihani haijafuja tangu mwaka huo, binafsi naona kama kuna kitu hakipo saw ana takwimu zake ndio maana hadi Spika amezungumzia na kuamua kuiweka hoja hiyo pebeni kwa muda "Suala la uvujaji wa...
  14. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tunayo mapungufu mengi sawa ila hili sina hakika

    Kila Chama cha siasa nchini kina mapungufu makubwa sana na mengi . Ntamshangaa Mtanzania anayedhani Chama anachounga mkono hakina mapungufu! Nakuja Kwa CHADEMA Chama changu amabcho naamini sana katika falsafa zake kina mapungufu Kama vyama vingine Ambayo sitayaweka hadharani ila Kuhusu Suala...
  15. JamiiForums Tanzania Kuna ndugu wengine wakija kwako ni changamoto sana

    Kule chooni unapomaliza shughuli zako, huwa kuna zoezi la kuflashi ama kumwaga maji ili choo kiende, ila amini usiamini kuna choo hata uki flashi mara ngapi kitaibuka tu, hakunaaga utofauti na aina ya watu hawa. - Kuamka saa tatu ama nne asubuhi. - Muda mwingi ni kuchati, kupeleka playstation...
  16. JamiiForums Tanzania CRYPTO-FUNZO KWA WAKURUPUKAJI: Luna coin ilikua ni sawa na $85 wiki ilopita lkn kwa sasa ni takataka(trash coin)

    Hello bosses kwanza kabisa naomba mods msiedit heading ya huu uzi. Kumekuwa na wimbi la watu kutoheshimu professions za wengine na hili linabackfire mdg mdg. Watu wengi siku hz wanadhan kila mtu anaweza kuwa investor wakiongozwa na kaka yao fln kule twitter lkn niwaambieni tu hio ni profession...
  17. JamiiForums Tanzania Hakikisha seals zote za kwenye bodi la gari zipo sawa ili panya wasiingie ndani

    Kama huyu alifungiwa redio waya wakachukulia kwenye battery, wakapush kile kiraba kinachozuia maji na takataka zingine kuingia ndani ya gari kutokea kwenye engine ili wapitishe waya. 👇👇 Bahati mbaya ule waya ulikuwa mnene hivyo raba haikuweza kurudi kukaa mahali pake kama ilivyokuwa mwanzo...
  18. JamiiForums Tanzania Je, Ajira ya Tsh 34m kwa mwezi ilikuwa sawa na rushwa kwa Halima Mdee? Alikuwa sahihi kuikataa?

    Wakuu nimetuliza sana akili na kufikiria kauli ya Mbowe kwamba alimwomba aachie ubunge kwa madai kwamba tayari alishamtafutia ajira ya kulipwa USD 15000 kwa mwezi. Kuna maswali kadhaa nimejiuliza nikaona nilete thread hapa huenda tukapata majibu yaliyojaa facts toka kwa wafuasi wa Chama Cha...
  19. JamiiForums Tanzania Tafsiri ya Sticker za Walemavu kwenye vyombo vya Moto ni sawa?

    Wakuu naombeni Tafsiri ya hizi sticker za Walemavu wamekuwepo watu mbeya wakishimamisha magari na kutaka ukate sticker swali je zipo kisheria ilihali barabara zetu mara nyingi tunaona hizi za 50,zebra ,stand na zingine za kawaida tu?
  20. B

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa Serikali akisafiri nje analipwa zaidi ya dola 350 Kwa siku sawa na zaidi ya Tsh 400,000

    Nilikuwa wa kwanza kushtuka kusikia fedha walizolipwa wafanyakazi wa MSD, lakini Baada ya kufanya utafiti nimebaini Kila mfanyakazi wa Serikali akisafiri nje ulipwa zaidi ya dola 350. Kabla ya kulalamikia MSD ni vyema tukafahamu sheria inayotumika kufanya malipo. Kwa viongozi wakuu wa Nchi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…