Gambo kumshutumu Katibu Mkuu UVCCM haijakaa sawa

Man from cuba

JF-Expert Member
May 2, 2021
395
869
Mbunge wa Mbeleko aliyepita katika uchaguzi mkuu wa 2020 bwana Mrisho Gambo amemtuhumu katibu mkuu UVCCM taifa bwana Kenani Kihongosi kwamba siku ya wanawake aliingiziwa kiasi cha milioni mbili kwenye account yake pesa zilizotafsiriwa kuwa rushwa.

Mbunge huyo aliyefeli kabla ya muda wake ukimlinganisha na mbunge machachari aliyeporwa ushindi wake bwana Godbless Lema ametoa shutuma hizo mbele ya waziri mkuu Majaliwa huko Arusha.

NB CCM na rushwa ni kama uji na mgonjwa
 
Others

JF-Expert Member
Dec 28, 2013
1,108
2,298
Ukibahatika kuongea mbele ya Mfalme. Jitahidi useme yote kwani huwezi jua lini tena utapata nafasi kama hiyo.

Nakazia Jaramba na liendelee kupigwa kwa sana tu.
 
May Day

JF-Expert Member
May 18, 2018
5,762
7,706
Acha uongo Lema alishapotezewa Arusha na wala hakuwa na dalili za kushinda.

Labda tu kama kuna anayejua Gambo alitumiaje nafasi yake ya ukuu wa Mkoa kujisafishia njia maana hata wale akina Mama Mboga karibia wote wakawa hawataki kumuona Lema.
 
MtamaMchungu

JF-Expert Member
Apr 10, 2011
7,672
9,518
Huyu jamaa sijui nani ambaye anaelewana nae, alishindwana na mkuu wa wilaya Arusha, Mkurugenzi wa Arusha... akiwa mkuu wa wilaya huko Tanga kuna mwandishi alimwambia ana degree ya chu** , vurugu tupu
 
castieltsar

JF-Expert Member
Jun 3, 2016
1,300
2,103
Subirini siku Lema aje kwa wale machaliii ndio mtajua amsha lake Lema kinachombeba ni muhuni ...mark my words
 
Tafakari yetu

JF-Expert Member
Apr 19, 2021
1,082
3,269
Gambo kafanya Jambo zuri Sana Kama Kuna jambo limefanywa na kihongosi linatakiwa likemewe.

Mamlaka ya nidhamu ya Kihongosi iangalie nidhamu yake kwa undani na ikiwezekana hatua stahiki zichukuliwe ,hii ni aibu kubwa
 
share

JF-Expert Member
Nov 22, 2008
5,985
10,336
Mbunge wa Mbeleko aliyepita katika uchafuzi mkuu wa 2020 bwana Mrisho Gambo amemtuhumu katibu mkuu UVCCM taifa bwana Kenani Kihongosi kwamba siku ya wanawake aliingiziwa kiasi cha milioni mbili kwenye account yake pesa zilizotafsiriwa kuwa rushwa.

Mbunge huyo aliyefeli kabla ya muda wake ukimlinganisha na mbunge machachari aliyeporwa ushindi wake bwana Godbless Lema ametoa shutuma hizo mbele ya waziri mkuu Majaliwa huko Arusha.

NB CCM na rushwa ni kama uji na mgonjwa
Gambo ni kichefuchefu tupu kwa Wana Arusha. Uchafuzi mkuu 2020 ni laana kwa nchi zima likiwemo Jimbo la Arusha. Tunajuta kumpoteza Godbless Lema, the Great.
 
The Sunk Cost Fallacy

JF-Expert Member
Dec 1, 2021
17,754
12,367
Mbunge wa Mbeleko aliyepita katika uchafuzi mkuu wa 2020 bwana Mrisho Gambo amemtuhumu katibu mkuu UVCCM taifa bwana Kenani Kihongosi kwamba siku ya wanawake aliingiziwa kiasi cha milioni mbili kwenye account yake pesa zilizotafsiriwa kuwa rushwa.

Mbunge huyo aliyefeli kabla ya muda wake ukimlinganisha na mbunge machachari aliyeporwa ushindi wake bwana Godbless Lema ametoa shutuma hizo mbele ya waziri mkuu Majaliwa huko Arusha.

NB CCM na rushwa ni kama uji na mgonjwa
Anamshutumu boss wake hadharani? Yule ni boss wake angemsema pembeni au hata kumwambia PM kwamba kuna viongozi wa chama waliingiziwa pesa isivyo halali,kwa heshima atampa maelezo kwa maandishi.
 
MR BINGO

JF-Expert Member
Feb 12, 2016
940
1,914
Siasa sometimes ni funny!! Utaona kada wa upinzan anayemsagiaga kunguni Hugo dogo anakuja kumtetea hapa
 
Tafakari yetu

JF-Expert Member
Apr 19, 2021
1,082
3,269
Anamshutumu boss wake hadharani? Yule ni boss wake angemsema pembeni au hata kumwambia PM kwamba kuna viongozi wa chama waliingiziwa pesa isivyo halali,kwa heshima atampa maelezo kwa maandishi.
michezo ya kisiasa siku zote huwa ni uchafu. Bora hata kasema hadharani maana siku moja angekuja kuambiwa naye kashiriki wizi.

Kwamba mbunge bosi wake ni KM wa UVCCM? hili jipya kwangu
 
Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
3,086
4,855
Mbunge wa Mbeleko aliyepita katika uchafuzi mkuu wa 2020 bwana Mrisho Gambo amemtuhumu katibu mkuu UVCCM taifa bwana Kenani Kihongosi kwamba siku ya wanawake aliingiziwa kiasi cha milioni mbili kwenye account yake pesa zilizotafsiriwa kuwa rushwa.

Mbunge huyo aliyefeli kabla ya muda wake ukimlinganisha na mbunge machachari aliyeporwa ushindi wake bwana Godbless Lema ametoa shutuma hizo mbele ya waziri mkuu Majaliwa huko Arusha.

NB CCM na rushwa ni kama uji na mgonjwa
KATIBU MKUU UVCCM UNAKULA RUSHWA ?

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
At Calvary

JF-Expert Member
Aug 22, 2018
4,285
3,252
Mbunge wa Mbeleko aliyepita katika uchafuzi mkuu wa 2020 bwana Mrisho Gambo amemtuhumu katibu mkuu UVCCM taifa bwana Kenani Kihongosi kwamba siku ya wanawake aliingiziwa kiasi cha milioni mbili kwenye account yake pesa zilizotafsiriwa kuwa rushwa.

Mbunge huyo aliyefeli kabla ya muda wake ukimlinganisha na mbunge machachari aliyeporwa ushindi wake bwana Godbless Lema ametoa shutuma hizo mbele ya waziri mkuu Majaliwa huko Arusha.

NB CCM na rushwa ni kama uji na mgonjwa
Sasa hoja yako Ni Nini?

Au ndio Kihongosi kakutuma
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

7 Reactions
Reply
Top Bottom