sawa

SAWA is a Japanese singer-songwriter and DJ. In 2009, she signed onto Sony Music Entertainment Japan and joined its sublabel, Epic Records. In 2012, she switched to Bellwood Records and released her 6th mini-album, ソプラノレイン (Soprano Rain).

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Mtu akiwa anakudai ni sawa kukuposti mitandaoni kukuita tapeli?

    Wakuu. Mimi siijui sana sheria kwani sio.taaluma yangu kabisa. Well Hapa ninapoishi kuna jirani yangu huyu mama mtu wa miaka Kati ya 30's . Huyu dada ni mtu wa mikopo sana sijui kausha damu mara vicoba sijui whatever anajua vyote. Mara kadhaa amekuwa akija kujificha kwangu asubuhi sana watu...
  2. JamiiForums Tanzania Mataifa 11 ya Afrika Magharibi yaandaa yajitolea kupokeza wanajeshi watakaokwenda kuiweka sawa Niger

    Zama za wanajeshi kukurupuka na kuchukua uongozi wa nchi zimepitwa na wakati, ndio mojawapo wa sababu Afrika huonekana kama bara la njaa na vita vita vya kijinga. Inapaswa tulumbane kwa hoja kama raia lakini malumbano yenyewe yabaki kwenye ndani ya wananchi, sio hawa wavaa magwanda ghafla...
  3. JamiiForums Tanzania Nitaweza tena kuishi na mwanamke...?Je ntafanyaje nisije pitia haya nayo Pitia.Na wewe ulie wahi kupitia haya uliponaje ukakaa sawa.

    Wakubwa zangu poleni na uchovu. Ndugu yenu na Msongo wa Mawazo.Nawaza sili nikashiba silali. Naishi maisha Magumu mno. hii ni Baada ya mkewangu kunitamkia wazi haniitaji tena amechoka na maisha yangu ya ugomvi usio isha na pia ndugu zangu hawamtaki. Ikiwa kugombana kupo japo chanzo ni ujeuri...
  4. JamiiForums Tanzania Jumanne safari kuja Mtwara. Haya mambo wadau tuwekane sawa

    Sijawahi fika Mtwara kwa Bus. Hii ndo mara ya kwanza kabisa kwangu kutaka Fika Mkoa huo tena Kwa usafiri wa Barabara. 1. Naomba nifahamu Bus gani ni luxury 2. Nauli tsh ngapi? Napandia wapi hasa kwa mimi ninayeishi Sinza. 3. Bus zinaondoka na kufika saa ngapi Mtwara 4. Hotel gani nzuri na yenye...
  5. JamiiForums Tanzania Nadhani airtel waache kutumie neno 4G kwenye laini zao 4G ya airtel sawa na 3G ya halotel

    Nadhani hii kero ya mtandao wa AIRTEL sio kwangu tu kuna wakati unanunua MB ufatilie habari unakutana na changamoto ya mtandao hadi MB zimeisha na huelewi zimeishaje maana taarifa uliyo unaifatilia kama ni video unakuta imeisha na umesikia kwa kukatika katika tu.
  6. JamiiForums Tanzania Miradi ya Marekani ni sawa na kuhonga vigogo hakuna kitu kusaidia maendeleo

    Nimekaa hapa naona TBC marekani eti wametoa bilioni 70 mradi wa mazingira kuhifadhi chimpanzee wa Gombe. Namuona yule mama mzungu wa chimpanzee. Eti ndio msaada wa Marekani. Tena balozi kasema wazi misaada yao ni kusaidia maslahi ya Marekani. Kama kawaida ya misaada ya wamarekani hela...
  7. JamiiForums Tanzania Kuna muda waandishi wa habari hii mikong'oto inawastahili kabisa

    Jana kupitia taarifa ya habari ya ITV saa mbili usiku, ilirushwa taarifa ya wakazi wa Ngorongoro kuandamana 'kupinga wanao washawishi wasihame' katika maeneo yao kwenda huko Tanga waliko andaliwa makazi mapya. Habari imewekwa wekwa ionekane kana kwamba wanahitaji sana kuhama kule, ila kuna watu...
  8. JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Rorya hii si sawa

    Hiki anachofanya DC wa Rorya, Mh. mchopanga je ni sahihi?
  9. JamiiForums Tanzania Ahmed Ally kutetea ugali wako ni sawa lakini uhalisia wa timu yako uwanjani unakuumbua

    Ifike mahala awa maafisa habari wawe wanaweka akiba ya maneno pindi wanapotoa matamko yao, kuaminisha mashabiki na wanachama ya kuwa unayo timu bora wakati uhalisia wa timu husika ni mdebwedo uwanjani ni kichekesho kingine! Huyu Ahmed Ally anachowaaminisha mashabiki wake na mpira unaochezwa...
  10. JamiiForums Tanzania KWELI Maziwa ya Mama yanavirutubisho vingi na bora zaidi kwa mtoto kuliko ya Formula

    Kuna kitu kinanichanganya sana juu ya haya maziwa mbadala (Formula), je ni kweli yapo sawa tu na ya mama? Yaani mtoto aliyetumia Formula na aliyenyonya kwa mama yake hakuna aliyemzidi mwenzake virutubisho maana kumekuwa na mgongano wa hoja mitaani wengine wakidai yanatofauti huku wengine...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Wanawake wanaovaa shanga kiunoni nawaona sawa na wavaa hirizi

    Binafsi licha ya kutopenda uvaaji wa shangaa kiuononi kwa wanawwke, tabia hii kwangu naiona ni sawa na kuvaa hirizi tu. Nikikutana na mwanamke anaemia shanga kiuononi, basi siku hiyo ndio inalkuwa ya mwisho kati ya mimi na yeye. Na wanaovaa haya mashangaa asilimia kubwa ni wa dini fulani na...
  12. JamiiForums Tanzania Kikristo ni dhambi gani unakuwa umeitenda ukiamua kuwa na wake wawili au zaidi

    Je ni dhambi kuoa mke zaidi ya moja ? Kama ni dhambi, hio ni dhambi ipi waliyoitenda pia kina Musa, Lameki, Yakobo, Daudi, n.k. kwa kuoa zaidi ya mke moja ?
  13. JamiiForums Tanzania Miaka 30 Jela ukilala na au kumtia mimba binti wa miaka 18 yupo form 5 ila ni sawa kwa binti wa chuo, form 5 iwe kama chuo hao mabinti sio watoto.

    DOUBLE STANDARDS. Utajiskiaje ukiona mtoto wako wa kiume mwenye miaka 18 anaozea jela miaka 30 kisa kakamtwa anafanya mapenzi na girlfriend wake mwenye miaka 18 ambaye yupo kidato cha tano ? Ajabu ni kwamba kuna mzee mwenye miaka 50 kampa mimba binti wa chuoni mwenye miaka 18 na wala hakuna...
  14. B

    JamiiForums Tanzania Tuwekane sawa: Dini hujenga mitazamo ya mtu, vyama vya siasa vichukue mikondo ya kimakundi

    Asalam, Hoja: Kuhuhusu mitazamo, mantiki, ufikiri na misingi ya maamuzi. Nimeona mivutano na uongo mwingi kuhusu dini, imani, madhehebu,, makabila, ukanda, jinsia nakadhalika kutumika katika kukanya, kuzuia, kuhimiza na kuogofya kutumika kama misingi ya kifikra katika kufanya maamuzi au kutoa...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Vizuizi vya chip vya Marekani dhidi ya China ni sawa na "kutangaza vita" dhidi ya mnyororo wa ugavi wa bidhaa husika duniani

    Serikali ya Marekani imesema inafikiria kuongeza muda wa vizuizi vya uuzaji nje wa bidhaa za chip kwa China vilivyoanza mwezi Oktoba mwaka jana, ikiwa ni juhudi zaidi za kudhoofisha maendeleo ya sekta ya akili bandia ya China. Gazeti la "the New York Times" limechapisha makala ikisema hatua hii...
  16. JamiiForums Tanzania SoC03 Walimu wa shule binafsi wawe na hadhi sawa na wale wa shule za serikali

    Kimsingi, shule zote (za msingi na za sekondari) zilizosajiliwa, zipo chini ya serikali, na hivyo zinasimamiwa na Ofisi ya Rais, Wizara ya Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, pamoja na Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia. Shule zote, ziwe ni za serikali au za binafsi, zinawajibika kufuata...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto rais wa Kenya anafanya sawa kabisa, anajua amejifunza!

    Uhuru Kenyata analia kujitokeza hadharani kulalamika kwamba ananyanyaswa na Raisi Ruto, Ruto amewahi kwani asipofanya hivyo yatamkuta yaliowakuta wengi, Ruto alikuwa Makamu wa raisi wa Kenya tena powerful one hivyo anajua kwamba kama usipodili nao hawatakuwa na huruma na wewe wakipata nafasi...
  18. E

    JamiiForums Tanzania Watu wa protocol najua mpo hapa tuwekane sawa hapa

    Hivi kwenye jambo lolote linalohitaji kibali cha Rais, au waziri wa sector husika, kunapotokea kuna mkataba kama ule wa DP WORLD, Rais au waziri anapitia kwanza au kuna watu wanapitia kwa niaba yake halafu baadaye yeye anaonyeshwa tu pa kuweka sahihi? Na kama ikatokea kuna mikataba ya nchi na...
  19. Z

    JamiiForums Tanzania Mkataba wa Bandari wanaoona ni mbaya na wanaona ni mzuri kaeni meza moja

    kwa nini wa africa tunapenda ugomvi ?kama mkataba bandari kati ya Tanzania na DP World kuna wanaona ni mkataba ni mzuri na wengine ni mbaya kwa nini wasiitane wakakaa pamoja wakaelewashana mambo yakaisha kuliko kutukanana na kupelekana police na mahakamani? wanaolumbana wote ni wantanzania...
  20. JamiiForums Tanzania Si sawa kumpeleka mtu Mahakamani Kwasababu ya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

    Si sawa kumpeleka mtu Mahakamani Kwasababu ya kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja kwasababu ni starehe ya mtu binafsi na maisha yake mwenyewe. Mtu amezaliwa mwenyewe na atakufa mwenyewe kwa wakati wake hivyo basi starehe zake binafsi aachiwe mwenyewe kwasababu hajalazimisha watu washiriki nae...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…