sawa

SAWA is a Japanese singer-songwriter and DJ. In 2009, she signed onto Sony Music Entertainment Japan and joined its sublabel, Epic Records. In 2012, she switched to Bellwood Records and released her 6th mini-album, ソプラノレイン (Soprano Rain).

View More On Wikipedia.org
  1. Nobunaga

    JamiiForums Tanzania Ni mrembo sawa, ila unapendeka?

    Wanawake wote njooni hapa mpate kufundwa kidogo na huyu mwanamke mwenzenu. Siyo kila siku mnakaa kuwalalamikia wanaume tumebadilika kumbe ni nyie hampendeki. Kuwa mzuri ni jambo moja, ila kupendeka ni jambo jingine kabisaaaa...
  2. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Mikao hii yote ya maombi ni halali na ina heshima sawa mbele za Mungu. Sio lazima upige magoti au usujudu katika kuomba

    Unaweza 1: KUOMBA UMESIMAMA NA KUNYOOSHA MIKONO JUU. 2: Kuomba umelala kitandani kama hujiwezi kama mfalme Hezekia. 3: Kulala chini kifudifudi au kulala kama Yesu gethsemane. 4: Kuomba umeketi kama daudi. 5: Kuomba ukiwa katikati ya watu umesimama kama Nehemia, walio na wewe wasijue kama...
  3. benzemah

    JamiiForums Tanzania Sadc mguu sawa kupeleka misheni ya ulinzi wa amani nchini DRC

    Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) wameazimia kupeleka Misheni ya Ulinzi wa Amani Mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (SAMIDRC) kushughulikia masuala muhimu yanayoathiri utulivu na amani nchini humo kufuatia mapigano ya muda mrefu baina ya...
  4. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Biashara haramu kwa miaka mitano mtu anastaafu sawa na Daktari bingwa

    Habari za saa hizi wana jamvi, hongereni wana Dar es Salaam kwa mvua, sasa hamna kisingizio cha kutokupeana. SIASA: Ukiacha biashara haramu ya madawa ya kulevya, biashara ya Siasa ndiyo inayolipa kuliko zote. Wakati kila uchao maghorofa na biashara mpya zikifunguliwa, siasa ni biashara mpya...
  5. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Memory card ya simu yako ya 5MB mwaka 1956 ilikuwa ni sawa na mzigo wa tani za kutosha!

    Angalia picha ya memory ya 5MB ikisukumwa kuwekwa kwenye ndege kusafirishwa.
  6. Majok majok

    JamiiForums Tanzania Nani alisema ukuta wa mabanzi ni sawa na Ukuta wa Yeriko? Mechi 7 goli 7 kunyavu! Clean sheet inatafutwa kwa tochi!

    Namtafuta aliyewapa jina la ukuta wa yeriko awa jamaa, inawezekana alikuwa amebugia k vant na ugoro akajitamkia tu! Timu inayojiita imekamilika Kila idara inaruhusu mabao Kila mechi, aijalishi inakutana wapi na uwanja Gani, ikipelekewa moto tu kidogo inakuwa Kama Tenga la kuuzia nyanya matobo...
  7. E

    JamiiForums Tanzania Kukatika kwa umeme kila siku imekuwa kero sana kwa wenye biashara ndogo

    Wakuu kwema? Kukatika kwa umeme kila siku kumekuwa kero sana hasa kwa biashara ndogo. Tatizo ni nini? Kwanini kila siku? Yaani tatizo la umeme kwenye nchi yangu naweza kufa na bado lipo ni kama imekuwa laana. Niwatakieni siku njema.
  8. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Wadhifa wa Mwenezi Taifa CCM ni sawa na DPP, IGP au DCI

    Kwa mujibu wa Katiba yetu iliyojaa mapungufu na mapengo mengi ambayo hao jamaa niliowataja wakiamua kukupeleka mchaka mchaka utajuta kuzaliwa Tanzania. DPP au DCI wakiamua kukufutia kesi au kukubambikia kesi ya mchongo wanaweza bila shida yoyote chini ya katiba yetu inayoruhusu watawala kuamua...
  9. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mnaomfananisha Mbahatishaji Chama na Anayejua Aziz K mna Akili sawa sawa Kweli?

    Ukiona mpaka GENTAMYCINE (mwana Simba SC tukuka na lia lia ) navutiwa Kumtizama Mfalme wa Kipaji cha Mpira kutoka nchini Burkinafaso Stephane Aziz K ( pamoja na kwamba siipendi Yanga SC ) jua ya kwamba huyo Mtu anajua hasa kwani Kiasili huwa sipendi Vibovu Vibovu. Kuanzia leo hii GENTAMYCINE...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kama ulikuwa unajua sawa, ila kwa wasiojua ni kwamba 'Mbungi' ya Jumanne Cairo ni Saa 11 Jioni Saa za Kwetu Tanzania

    Matokeo kwa wenye Akili Kubwa na Watu wa Mpira akina GENTAMYCINE tumeshayajua ila kwakuwa Watu hawapendi Ukweli na wanataka Kudanganywa na Unafiki basi nami naungana nao ( huku Moyoni nikiwadharau ) kuwa Mwarabu aliyetukosakosa kama Goli 4 Kipindi cha Kwanza na Goli 2 Kipindi cha Pili anakufa na...
  11. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kupigwa billioni 75 ni ujinga au upumbavu? Tutaendelea kukubali kufanywa kichwa cha mwendawazimu hadi lini?

    Wanabodi, Mjinga na Mpumba.. Leo naomba kuianza makala ya leo kwa angalizo kuhusu neno mjinga na mpumba. Mtu kuitwa mjinga ni mtu asiyejua, mjinga akiishafundishwa akajua, anaerevuka ujinga unamtoka anakuwa sio mjinga tena bali mwerevu! Mjinga aliyefundishwa na bado akabaki na ujinga wake...
  12. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Waziri Gwajima, hii anayofanya Lillian Mwasha kwa watoto siyo sawa

    Anawauliza watoto wanaochukiwa na baba zao. Je amewaandaa kisaikolojia? Mbona yaonekana kama ni udhalilishaji kwa watoto na wazazi wao. Angalia clip hapa.
  13. Huyaa Dr

    JamiiForums Tanzania TBC acheni ukada tupeni vitu kama hivi ili mpate watazamaji wengi

    Katika kuangalia chanel's mbalimbali nimejikuta nipo TBC, nikakutana na makala madhubuti inayohusu ukombozi wa Msumbiji. Nikiri ni makala inayofundisha mengi kuhusu uhuru wa Msumbiji, mahusiano ya wanamsumbiji na watangayika na Samora na Julius. Sijui Viongozi wa leo tutawakumbuka Kwa lipi...
  14. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Mtangazaji Amani Mbilo wa Radio One kuwa makini usikuambukizwe tabia ya kuchukia wanaume ukakosa mume

    GENTAMYCINE nikiwa kama Balozi wa Kujiteua Mwenyewe Kilazima wa Kipindi nikipendacho cha Mazungumzo ya Familia kinachorushwa na Super Brand Radio One kinachoanza Saa 1 na Nusu Asubuhi hadi Saa 4 Kamili Asubuhi kila Siku za Jumapili nimeanza kuvutiwa na Mtangazaji wa Kiume Haji Kibwana kwa jinsi...
  15. Tutu kalundji

    JamiiForums Tanzania Ni kweli kuoa mke mrembo ni sawa na kuwa na shamba la miwa karibu na shule ya msingi?

    Nauliza tu wadau..si kwa ubaya...Nick wa pili alitumia muda mwingi sana kumnadi mkewe mtandaoni kwamba ni mrembo.Nahisi Kwa sasa anajutia sana
  16. 29Oct2025

    JamiiForums Tanzania Azam tv wako sawa kweli?

    Wameamua kabisa kutonesha kidonda cha kile kichapo cha 4-1 kati ya mnyama simba na wazee wa kukalia mwiko Mechi inarudiwa muda huu azam sports 3 hd
  17. juma kabuha

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Midomo ya mwanamke ina uhusiano na ukubwa wa uke wake

    Midomo ya mwanamke ina uhusiano na uke wake yaani kama akiwa na midomo mikubwa na uke wake unaweza kuwa mkubwa?
  18. William Mshumbusi

    JamiiForums Tanzania Thamani ya kipa wa Simba mmoroko Ayub ni sawa na Thamani ya kipa wa Yanga Diara wakiwa saba

    Ukiangalia kwenye market value Diara thamani yake Ni 400m (Dola 185000) za kibongo lakini ya Ayoub Ni billion tatu.(Dola m. 1.3). Je ubora wa Ayoub Ni mkubwa mno Mara zaidi ya Saba ya Diara?
  19. Scars

    JamiiForums Tanzania CAF: Draw ya makundi: Simba Group B, Yanga Group D

    Majira ya saa 9 alasiri leo kunafanyika draw ya makundi kwa timu zilizofuzu kuingia makundi. Simba na Yanga ni timu pekee kutoka Tanzania zilizofuzu kwenye hatua hiyo ya Makundi. Kaa hapa kupata updates zaidi. Updates Makundi ya Shirikisho CAF CL USMA FUTURE SUPERSPORT Al HILAL Group B...
  20. Nehemia Kilave

    JamiiForums Tanzania Yanga bado wana kitu cha kujifunza kimataifa kutoka kwa Simba, Mnachofanya wana Yanga ni sawa na Newcastle kukebehi Man U kufuzu UCL

    Habari jf, Kwa misimu miwili mfululizo timu ya Simba haijawa katika kiwango kizuri hili halipingiki. Usajili mzuri umefanyika lakini matunda bado hayaridhishi hii inawezekana ni kutokana ni ubovu wa benchi la Ufundi. Mitaani wana Yanga wanaongea sana lakini katika miaka 25 ndio tena mmeingia...
Back
Top Bottom