sawa

SAWA is a Japanese singer-songwriter and DJ. In 2009, she signed onto Sony Music Entertainment Japan and joined its sublabel, Epic Records. In 2012, she switched to Bellwood Records and released her 6th mini-album, ソプラノレイン (Soprano Rain).

View More On Wikipedia.org
  1. Tiger B

    JamiiForums Tanzania Kuna jambo haliko sawa mwilini mwangu, lakini madaktari wanalichukulia poa

    Umuofia kwenu Wakuu. Ni zaidi ya wiki sasa mwili wangu ni dhaifudhaifu. Yaani balansi ya mwili haijakaa sawa, japo ninaweza kufanya mambo yangu bila tatizo. Nimepima vipimo zaidi ya 10 mpaka sasa. Miongoni ni full blood picture ambayo ilionesha kinga za mwili ziko chini, ie white blood cells...
  2. Shuku_

    JamiiForums Tanzania Je, Mungu wa waislamu na Mungu wa Wakristo ni sawa?

    Habari zenu wasaka tonge. Nimefungua uzi huu ili tujuzane ukweli juu ya jambo hili. Je! Mungu anayeabudiwa kati ya WAISLAMU na WAKRISTO ni mmoja? Yehova vs Allah = 1 ?
  3. Tiger B

    JamiiForums Tanzania 3.5 white blood cells count iko sawa?

    .
  4. U

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania sawa na Ulaya kiuchumi miaka 20 ijayo

    Tanzania yangu niipendayo ni nchi iliyobarikiwa rasilimali nyingi kiasi Cha kuwa na uwezo wa kufika uchumi wa juu ndani ya miaka 20 ijayo. Nikianza na mabadiliko yanayopaswa kufanyika kwenye sekta ya kilimo kwa kua kilimo ni uti wa uzalishaji Mali kwenye nchi yetu kinapaswa kufanyika kisasa...
  5. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Kuishi Afrika ni sawa na kuishi vitani, usipokuwa mkali utaonewa, hii ni kwasababu watu wake hawatii Sheria wala kuheshimu haki

    Kuishi Afrika ni sawa na kuishi vitani, usipokuwa mkali utaonewa, hii nikwasababu watu wake hawatii Sheria wala kuheshimu haki Afrika ni bara linaloongoza kwa kesi nyingi zinazosababishwa na kuvunjwa kwa sheria ndio maana Waafrika wanaohamia mataifa makubwa kama Ulaya, China, Japan, Germany...
  6. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kanuni ipo hivi kwa mfungaji bora wa ligi kuu NBCPL msimu huu 2023/24

    Tupo mwishoni mwa ligi kuu ya NBCPL msimu huu 2023/2024 ambapo mei 28 2024 ndiyo tamati yake hadi sasa vita vikubwa ni Aziz Ki na Feisal katika kuibuka mfugaji bora, vita nyingine ni ya AZam fc na Simba sc kumaliza nafasi ya pili. Sasa tukitazama katika upande wa mfungaji bora ambao wanalingana...
  7. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Natafuta watu au kampuni ya kufanya Partnership ya Social Network mfano sawa na Facebook & Twitter

    Moja kwa moja kama kichwa cha habari kinavyosema ni kweli natafuta watu au kampuni ya kufanya nao Partnership ya Social Network ili tufaidike sote Mtandao tayari umeshaundwa mfano wa Twitter na Facebook kilochobaki natafuta watu au kampuni tutakayoingia Partnership ili tusaidiane kulipa bill za...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Kuna watu ukiwasikiliza vizuri unagundua kujibizana nao ni sawa na kumkimbiza kichaa aliyekuchukulia nguo

    Kuna watu wanajikuta wanajibu kila tuhuma zinazosambazwa kuhusu wao ila kama wangefahamu akili za wanaowasambazia wangekaa tu kimya UKIWASIKILIZA VIZURI UNAGUNDUA YAFUATAYO 1. Wanaongea kwa mihemko . 2. Wamedandia tu mada hawana ukiwabana sana hawana uthibitisho wowote. 3. Ni kawaida yao...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Je, nikimnyima tendo nitakuwa sawa?

    Ni mume wangu tuna watoto Huyu baba kazidi umalaya jaman mpaka nakaa nae kirafiki namuuliza tatizo nini? Kama haridhiki na mimi nimemruhusu aoe mke mwingine ampangashie mbali na mimi kwangu aje weekend tu kuangalia watoto hataki ananyamaza kimya. Yan ukishika cm yake unaweza zimia ana wanawake...
  10. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa Fiston Mayele na Kibwana Shomary sawa Wasajilini kama Kweli, ila kwa huyu Ayuob Lyanga hakuna Mchezaji hapo na achaneni nae tafadhali

    Na uzuri pia wa Kibwana Shomary kwa Sisi wana Morogoro tunamjua kuwa ni mwana Simba SC lia lia hivyo atafaa tu.
  11. Kachina95

    JamiiForums Tanzania Kwanini Serikali haioni kabisa umuhimu wa kuwatazama watumishi wa chini kama wauguzi, madaktari, polisi na waalimu?

    Kumekuwa na mfumuko mkubwa sana wa gharama za maisha sasa mathalani lita moja ya mafuta ya kula 2015 iliuzwa kati ya tsh 1500 hadi 2200. Leo inauzwa 5500 hadi 6500. Hali hii ni kwa kila bidhaa sokoni si Unga, Michele, sabuni, nishati ya kupikia, nguo n.k bei hazikamatiki sokoni! Serikali kwa...
  12. L

    JamiiForums Tanzania CHADEMA inapokea Ruzuku ya Tsh. Millioni 107 kwa mwezi sawa na Tsh. Billion 1 na Millioni 284 Kwa mwaka!

    Ndugu zangu Watanzania, Chama kikuu cha upinzani hapa Nchini CHADEMA kinapokea Ruzuku kutoka serikalini ya takribani Millioni 107 kwa Mwezi ambayo ni sawa na Billion 1 na Millioni 284 kwa mwaka. Yaani: 107,000,000 x 12= 1,284,000,000/=. Ambapo hata hivyo CHADEMA inasema kiasi hicho ni kidogo...
  13. SweetyCandy

    JamiiForums Tanzania Hii ni sawa kwa mwanaume kufanya hivi?

    Nimetoa mahali mie sio muhusika huyu mtu anaomba ushauri wenu. Anaishi na mkewe na wameoana ila mke wake anamkasirikia maana huyu kaka analala kitanda kimoja na namama yake. Yeye amesema wala hana mauhusiano ya mapenzi namama yake ila anaona raha kuwa na mama ake kila mahali. Anamtoa mama...
  14. F

    JamiiForums Tanzania Hivi ni sawa mwanaume kumuomba mwanamke pesa?

    Hii imemtokea rafiki yangu mmoja alianzisha mahusiano na kijana mmoja baada ya kama miezi miwili kupita huyo kijana akaanza kuwa anamuomba huyo dada pesa na kumueleza shida zake mbalimbali ili amsaidie kifedha Hii imekaaje wadau. Vijana wa kiume mmekuwaje?
  15. je parle

    JamiiForums Tanzania WATOA MIKOPO TAFUTENU MBINU YA KUDAI NA SIO KUDHALILISHA WATU KUWA WANAJIUZA HII SIO SAWA

    niende moja kwa mbili kwenye mada kuu. kuna hawa watoa nikopo wa sasa kwa njia ya Mtandao Dah wanafanya kitu cha AJABU sana hizi ni kampuni za HOVYO sana mana wanakopesha wanawake ambao hawana kazi yoyote MTAANI .Bali wanakula tu Hizo hela alafu wanashindwa kulipa na kudhalilishwa na watoa...
  16. dogman360

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi wa clinical medicine March intake Wanastahili Haki sawa na Wenzao wa Septemba!"

    Napenda kuchukua fursa hii kuiomba serikali iondoe tofauti kati ya wanafunzi wa kozi ya Clinical Medicine waliomaliza mwezi wa Machi level 6 na wale wa Septemba. Inaonekana ni dhuluma kwa wanafunzi wa Machi kusubiri hadi Agosti ili kufanya mitihani yao ya supplementary wakati wenzao wa Septemba...
  17. G

    JamiiForums Tanzania KERO Serikali ifuatilie Chuo cha maendeleo ya wananchi Same (FDC) hakitoi vyeti kwa wakati

    Serikali/mamlaka husika ijaribu kufuatilia na kuchunguza uongozi wa chuo cha maendeleo ya wananchi same -kilimanjaro (FDC), hadi sasa baadhi ya wanafunzi waliowahi kumaliza chuoni hapo wanalalamika kukosa vyeti mpaka sasa na hawaoni ufatiliaji wowote ule kutoka kwa uongozi wa chuo hicho.
  18. J

    JamiiForums Tanzania Kuongeza kodi sawa, lakini haya yazingatiwe

    wiki hii Rais Samia Suluhu Hassan amezindua kiwanda cha kuunganisha malori kilichopo kigamboni, Dar es salaam ambapo serikali inaonekana kuunga mkono hoja ya wawekezaji kutaka kuongeza kodi kwa malori yanayoingizwa kutoka nje ya nchi. Kimsingi sina pingamizi na kuongezwa kwa kodi hiyo lakini...
  19. Minjingu Jingu

    JamiiForums Tanzania Ex wangu anataka nimpe mbinu ili mpenzi wake mpya awe na uwezo wa mkubwa wa kushiriki tendo la ndoa

    Alianza kunitafuta toka last week na kujisemesha semesha kuwa ananimiss na namiss jinsi ambavyo tulikuwa tunakutana kimwili kisawa, mimi nikawa namjibu tu kifupi. Huyu demu aliamua kuachana nami baada ya kupata jamaa mmoja brazamen ana pesa, mimi akaniona pangu pakavu tia mchuzi, akasahau...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Sawa, Muungano wetu unazo kasoro, kwanini tutoe hoja zinazoukebehi badala ya kuurepea?

    Wana JF nina huzuni, tena sana, kwanini kwenye nchi yenye watu wazima tunataka kuamini na kugundua zaidi mapungufu, kasoro na hitilafu za MUUNGANO WETU matukufu badala ya kutafuta namna ya kuutia cement? Kwanini tusifikiri mwaka mmoja bila MUUNGANO unaweza kutupa hasara gani? Naogopa kufikiri...
Back
Top Bottom