sauti

Sauti Sol are a Kenyan afro-pop band formed in Nairobi, Kenya by vocalists Bien-Aimé Baraza, Willis Chimano and Savara Mudigi in 2005. Initially an a cappella group, guitarist Polycarp Otieno joined before they named themselves Sauti.Sauti Sol released their debut studio album Mwanzo on 1 November 2008, to critical acclaim. Their second studio album, Sol Filosofia, was released on 25 February 2011, earning the group a number of accolades and nominations in the process. On 18 June 2012, the band released a self-titled extended play in collaboration with South African rapper and record producer Spoek Mathambo. Their third studio album, Live and Die in Afrika, was released online on 21 November 2015 as a free download, available for 48 hours as an early Christmas present.The band has had several successful tours in Africa and Europe, topped Kenyan charts and gained international attention with shows in Europe and the US, as well as television appearances and various accolades and nominations, including their 2011 concert performance in Kenya with South African a cappella group Ladysmith Black Mambazo. The band has also received both local and international accolades and nominations, including at the Kisima Music Awards, the Channel O Music Video Awards, the MTV Europe Music Awards, and the BET Awards.

View More On Wikipedia.org
  1. uhuruborn

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 SAUTI YA MABADILIKO –Ujumbe kwa watanzania wote na Roma Mkatoliki

    Katika safari ya kudai mabadiliko ya kweli nchini, kumekuwa na misimamo tofauti, shutuma, dhihaka na hata manyanyaso yanayowakumba wale wanaosimama kidete kutetea haki, uhuru na ustawi wa taifa. Wapo wanaotubeza, wanaotukejeli na hata wanaofurahia mateso ya wapigania mabadiliko. Lakini katika...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Tunakuomba Rais wetu atupungie hata Mkono siku ya Uhuru leo tusikie hata sauti yako

    Jamani nikiwa kama Mtanzania kada mwaminifu wa CCM naomba Mama angalau atupungie mkono, maana kwa mara ya mwisho tumemuone siku akiongea na wazee wa Daresalamu, tumekumisi
  3. Fbn

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Ijumaa ya tarehe 5 December misikiti walipunguza sauti kwenye mawaiza wakati sio kawaida kwenu huko

    Kulikuwa kuna mawaiza gani maana eneo nililokuwepo baada swala tunajua kuna mawaiza ila cha kushangaze mawaiza yalipofikia wakapunguza sauti za vifaa. Nikashangaa maana sio kawaida.
  4. Moaz

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 BARUA YA WAZI: Sauti ya Busara katika wakati wa mgawanyiko

    Ndugu Watanzania, Katika kipindi hiki ambacho hisia zimepanda, sauti zimegawanyika, na tumaini limeanza kuyumba, tunalazimika kurejea kwenye msingi mmoja unaotufanya tuwe taifa: Amani, utu na busara. Leo, nchini mwetu zipo sauti nyingi. Serikali inaona inalinda utulivu. Wananchi wanaona...
  5. uhuruborn

    JamiiForums Tanzania Mwelekeo Hatari wa Tanzania: Pale Upendeleo wa Ukoo Unapogeuka Njia ya Kuteka Nchi Sauti Inayotoka Mtaani. (NEPOTISM)

    Kuna mambo ambayo taifa linaweza kuyavumilia. Lakini kuna mengine ambayo yakianza, hata ukimya unakuwa dhambi. Na moja ya mambo hayo ni pale nchi inaanza kugeuzwa mradi wa kifamilia. Hapo ndipo wananchi, wadogo kwa wakubwa, wanaanza kujiuliza: "Hivi taifa linaelekea wapi? Na linaongozwa na nani...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Sheikh Ndauga: Nguvu hutumiwa kwa ulinzi na siyo kuadhibu sauti za wananchi

    "Tunatoa wito kwa serikali na taasisi za ulinzi na usalama kutumia utaalamu busara na weledi katika kudhibiti misuguano kuepuka matumizi ya nguvu kupita kiasi, kushughulikia sababu badala ya dalili. Kujihusisha na mazungumzo ya kujenga nchi badala ya vitisho na matumizi ya nguvu. Katika taifa...
  7. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 "Kufreeze" kwa Vyombo vya Sauti za Umma: Hatari Iliyofichika Kwenye Njia Mbadala za Wananchi

    Hali hii imeonekana kwa uwazi nchini Tanzania katika miaka ya karibuni, ambapo baadhi ya vyombo ambavyo kiasili na kisheria vinavyopaswa kuwa mabega ya wananchi kama vile Bunge na vyombo vya habari vimeshindwa kuendeleza wajibu wao ipasavyo. Matokeo ya hali hiyo ni pamoja na kuziba kwa mianya...
  8. S.M.P2503

    JamiiForums Tanzania Sauti ya kweli: Somo ya Sheikh Ponda kwa Jamii yetu leo

    Mimi sio Muislamu, lakini kauli yako wewe Sheik Ponda, ile iliyonukuliwa na vyombo vya habari leo hapa : https://www.youtube.com/live/kGULHq2MJVQ?si=6mc8j4GhNwZT6X3E imenigusa kwa kina. Kuna nyakati chache katika maisha ambapo mtu anasimama na kusema jambo ambalo linavuka mipaka ya imani...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kwako Rais Samia nina haya machache nayaleta kwako uwatimizie Watanzania

    Mimi ni muumini mzuri wa Tanzania Kwanza. Nakuomba sana: Fungulia makanisa yote haraka mno. Mwachie polepole wakosoaji wako, waache waongee tu. Hawana madhara kwenye maamuzi yako. Mfano, Dr. Slaa wakati wa Kikwete aliongea na kukosoa sana, Kubenea aliandika mno. Wakati wa Mkapa, Jenerali...
  10. U

    JamiiForums Tanzania GE2025 GE2025 Aftermath: Ansbert Ngurumo atoa way forward ya kuepusha maafa zaidi. Vijana wasikilizwe. Ataja sauti ambazo zikisikika, vijana watatulia

    https://youtu.be/w4PaC1WPzZ8?si=wfc9MTlpEQMULdIC Amesema haya: 1. Vijana ni lazima wasikilizwe na wasipuuzwe asilani kuanzia sasa 2. Ashangaa alichodhani hakiwezi kutokea Tanzania kimetokea, kwamba watu hususani vijana wanaweza kuandamana kuipinga serikali na utawala uliopo 3. Ameshauri way...
  11. Dr. Mariposa

    JamiiForums Tanzania Navutiwa sana na watu wenye sauti nzito (Deep Voice)

    Hello guys, Yaani leo acha niwape maua yao watu wenye sauti nzito, hawa watu ni special, wananifurahisha wakiongea, sichoki kuwasikiliza, imagine mtu mwenye sauti nzito akiongea akiwa ametoka kuamka au anataka kulala ile ana usingizi usingizi au awe anakwambia kitu sensitive sauti inavyotoka,🙌🏻...
  12. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Sauti ya UDASA ni upanga kwa wakuu!

    Jumuiya ya wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, UDA imetoa tamko zito kupinga vitendo vyautekaji. Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Prof. Anangisye yeye amenukuliwa na Nipashe Digital akisema kuwa msimamo wa UDASA si msimamo wa [Uongozi wa] Chuo Kikuu cha Dar es Salaam...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Aliyejiriwa ni mtumwa aliyefungwa mdomo na mshahara au cheo, ni ajabu kuona mtu asiye na ajira wala uhakika wa kipato akiogopa kujitetea

    Ni tangu enzi za ukoloni ajira iliweza kutumika kama kifaa cha kuogopesha watu wasifungue mdomo. Mkoloni alifungua mashamba, viwanda, na miradi mingi sana, watu walilipwa mshahara waweze kujihudumia hata kama walipata kidogo, ambao hawakuwa na ajira nao waliweza kusurvive, enzi hizo mambo...
  14. Ngwathra

    JamiiForums Tanzania Sauti toka deathrow...

    Yani utampenda tu hata kama unatumikia uchawa, moyoni mwako unakubali tu kwamba dunia inaendelea kupata somo hata mama yao anakubali ufanisi wake! Watakuja kufanyia research hiki kichwa miaka ya baadaye wenye akili kujua cells za ubongo wake zina nasaba ya kibongo kweli? Huyu mnyaturu wa namna...
  15. Bwege2030

    JamiiForums Tanzania Sauti yetu kwa Haki, Mwili wetu kwa Amani

    Sauti Yetu kwa Haki, Mwili Wetu kwa Amani – Kuandamana Dhidi ya Utekaji na Mauaji Ndugu zangu wapendwa, wananchi wenzangu, watetezi wa haki na amani! Leo, tunakutana hapa si kwa uchungu tu, bali kwa azimio. Tunakutana hapa si kwa kukata tamaa, bali kwa matumaini. Tunakutana hapa kwa sababu...
  16. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Tanzania ni yetu sote, mbona ndugu zetu wazanzibari hawapazi sauti kwa yanayoendelea nchini?

    Ukishasikia muungano inamaanisha lako langu na langu ni la kwako pia. Miongoni mwa sababu kuu ya muungano ni suala la ulinzi na kiusalama baina ya nchi mbili yani Tanganyika na Zanzibar ndipo akazaliwa mtoto Tanzania. Ila cha ajabu yanayoendelea hapa Tanganyika hofu kutanda kila mahali...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Usipuuze Sauti Hizi 6 Kutoka Kwenye Kompyuta Yako — Ni Dalili Kubwa ya Hatari

    Kompyuta yako si kifaa kinachofanya kazi kimya kabisa. Ndani yake kuna fans, diski zinazozunguka, na sehemu za kielektroniki ambazo kwa kawaida hutoa sauti ndogo. Lakini pale sauti zinapobadilika ghafla kuwa kubwa zaidi, za ajabu, au zisizo za kawaida, hapo ndipo tatizo linaanza. Leo tutaeleza...
  18. Financial Analyst

    JamiiForums Tanzania Usiombe kuangalia mechi kwa TV alafu kuna jirani yako yeye anasikilizia kwa redio pia kaweka sauti kubwa , inakera mnoo.

    Mjini redio zinafanya nini? si mrudi kijijini mkalime.
  19. Superbug

    JamiiForums Tanzania Je ofisi nyingi za umma zile kubwa ziko bugged na vinasa sauti na kamera za Siri?

    Hapa naulizia swali tu Kwa hapa Ethiopia.
  20. Damaso

    JamiiForums Tanzania Kufungiwa kwa Jamii Forums: Umoja na Sauti ya Watanzania

    Kufungiwa kwa huduma ya mtandao wa Jamii Forums hakuwezi kuwa mwisho wa Watanzania kuzungumza na kuonesha mshikamano. Historia imetuonyesha kuwa kila mara sauti inapozuiwa, mbinu mpya huibuka. Kama ilivyokuwa Twitter ilipofungwa na wananchi wakatafuta njia mbadala, vivyo hivyo leo VPN ni daraja...
Back
Top Bottom