Sauti Sol are a Kenyan afro-pop band formed in Nairobi, Kenya by vocalists Bien-Aimé Baraza, Willis Chimano and Savara Mudigi in 2005. Initially an a cappella group, guitarist Polycarp Otieno joined before they named themselves Sauti.Sauti Sol released their debut studio album Mwanzo on 1 November 2008, to critical acclaim. Their second studio album, Sol Filosofia, was released on 25 February 2011, earning the group a number of accolades and nominations in the process. On 18 June 2012, the band released a self-titled extended play in collaboration with South African rapper and record producer Spoek Mathambo. Their third studio album, Live and Die in Afrika, was released online on 21 November 2015 as a free download, available for 48 hours as an early Christmas present.The band has had several successful tours in Africa and Europe, topped Kenyan charts and gained international attention with shows in Europe and the US, as well as television appearances and various accolades and nominations, including their 2011 concert performance in Kenya with South African a cappella group Ladysmith Black Mambazo. The band has also received both local and international accolades and nominations, including at the Kisima Music Awards, the Channel O Music Video Awards, the MTV Europe Music Awards, and the BET Awards.
Serengeti ni moyo wa utalii wa Tanzania, halafu bado tunabishana kuhusu airport?
https://youtu.be/9eOKGUVCjA4?si=UOzbKsu_RKP-Xeck
Wakenya waliona tumelala, wana mipango ya kujenga airport karibu na Maasai Mara ili watalii watue moja kwa moja karibu na destination yao.
Tumechelewa sana kuweka...
airport
baada
bado
haraka
jambo
kanda
kanda ya ziwa
kuhusu
kujenga
kujenga uwanja
kujengwa
kupinga
kuzuia
kwenu
moyo
mradi
muhimu
mvutano
mwanza
sababu
sana
sauti
serengeti
tanzania
ujenzi
ujenzi wa uwanja
utalii
uwanja
wabunge
ziwa
Kuna wakati unaamka na kuhisi hofu isiyoelezeka. Hofu ya kuona watu waliokuwa sauti ya jamii wakitoweka taratibu kwenye macho ya umma, halafu maisha yanaendelea kana kwamba hakuna kilichotokea. Hiyo ndiyo hisia ninayopata kila ninaposikia kuhusu watu tunaoweza kuwapoteza kimya kimya, halafu...
Anaongea with confidence as if amekuwa acquitted na Mahakama ya ICC kama hana hatia na mauaji ya kimbari ya october, 29th.
Anaongea with great confidence....mikwaju chapa etc etc!
Hivi Ruto alikuja kufanya nini? Ku normalise mauaji?
Time will tell!
kwa dakika moja fikiria hii: umesimama kwenye fukwe ya bahari jioni Jua linazama. Rangi nzuri za machweo ya jua zinaenea angani kama picha iliyochorwa na mkono wa ustadi usio wa kawaida. Moyo wako unashikwa na kitu kitu ambacho huwezi kukieleza kwa maneno hisia ya kwamba unashuhudia kitu...
Amani ya Bwana ikawe kwa kila mmoja popote mlipo
Rejea mada tajwa hapo juu
Mungu anataka Lissu achiliwa haraka sana ndani ya siku 21 ni amri kuu sio ombi.
Ujumbe huu ukamfikie kila mmoja na mhusika wa kuendelea mshikilia mtu uyu.
Msipofanya hivi ndani ya siku 21 , kuanzia leo 1/5/ 2026, bila...
Tanzania imeshuka katika viwango vya uhuru wa habari kwa mwaka 2025, hali ambayo imeelezwa kuwa inatokana na matukio mbalimbali yaliyojitokeza kabla, wakati na baada ya uchaguzi mkuu.
Akizungumza jijini Arusha katika kongamano la waandishi wa habari kuelekea maadhimisho ya Siku ya Uhuru wa...
JICHO LA UDASA.
SAUTI YA TAALUMA AU KENGELE YA ONYO KWA TAIFA?.
Na wakati mwingine, taasisi zinapoongea kwa sauti ya utulivu wa kitaaluma, kile kinachosema huwa kikubwa kuliko kelele za siasa.
Hivyo ndivyo andiko la Jumuiya ya Wanataaluma wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDASA)...
Hivi ile tume ya uchunguzi imetumia bilion ngapi za walipa kodi kwa kipindi cha miezi 5.
Iweje kuna mambo wameshindwa kuchunguza?
Kwa mfano wanaposema matundu yaliyokutwa kwenye miili ya marehemu ni ya vitu vyenye ncha kali kujua hilo wamewapa nafasi wengine kuchunguza?🤣🤣
Kero yangu kubwa ni hapa Manzese Bar ya Kwa Mkwere wanafungua sana mziki kwa sauti ya juu mpaka nyumba zinatetemeka.
Wanapiga kuanzia jioni mpaka asubuhi, ni miaka zaidi ya mitano sasa tunakosa usingizi, tukiripoti hakuna hatua zinazochukuliwa.
Mwaka 1906 mwanasayansi na mtafiti Francis Galton alishuhudia tukio la kawaida katika maonyesho ya mifugo nchini United Kingdom. Kulikuwa na shindano ambapo watu walialikwa kukadiria uzito wa ng’ombe mmoja. Mamia ya watu walishiriki—wafugaji, wachuuzi, na hata watu wa kawaida waliopita tu.
Kila...
Wananchi wa Iran wanapata burudani kwa namna mapolisi yao yanababaika kila yakisikia sauti ya drone.... Imekua mazoea kuchezesha hizo sauti za drone karibu na mapolisi ya doria halafu wanachekelea namna inavyokua tafrani.
https://www.facebook.com/reel/1451297260343677
Tujifunze kidogo kuhusu hili
Maumivu au kufa ganzi meno kwasababu ya sauti ya mkwaruzo wa vitu (Sound Induced Dental Sensitivity) ni tatizo ambalo limekuwa likiwapata baadhi ya watu inapotokea mtu mwingine amesugua vitu viwili ambavyo hutoa sauti yenye mgandamizo mkubwa wa kimawimbi ambayo...
Mwaka 2023 watafiti kutoka Tel Aviv University walifanya majaribio kwa mimea, Walichukua mimea kama nyanya na tumbaku, wakaweka vifaa vya kurekodi sauti zisizosikika kwa masikio ya binadamu, waliweka karibu na mimea hiyo. Kisha baadhi ya mimea waliiacha katika hali ya kawaida, lakini mingine...
Sikutegemea kabisa kwa zama hizi kama serikali ingekuja na aina hii ya kuficha shahidi kwenye kiboksi cha plywood.
Teknologia imekua sana huwezi kutumia kisanduku cha maboksi kumficha mtu, sauti yake ikirekodiwa inatosha kabisa kumtambua mtu anayeongea.
Kuna programu nyingi za kutambua sauti...
Msiba wa Mzee Edwin Mtei haukuwa tu tukio la kuaga mwili. Ulikuwa mahakama ya dhamiri ya taifa. Ilikuwa ni mahali ambapo historia, maumivu, hofu, na matumaini vilikutana uso kwa uso. Katika jukwaa hilo, Freeman Mbowe—mwenyekiti mstaafu wa CHADEMA—alisema maneno yaliyotikisa mioyo ya wengi...
Wakuu,
Ziko taarifa kuwa ziara ya Kihongosi inayoendelea inaacha maumivu makubwa kwa wananchi na wafanyabishara ambapo kwa upande wa Wakurugenzi wanalazimishwa kutoa fedha nyingi kwa ajili ya Kihongosi ambapo fedha hizo zilishapangwa kwenye bajeti za halmashauri kujenga zahanati, matundu ya...
Ee Mungu wa Haki na Amani ya kweli. Tunakupigia magoti. Ninakupigia magoti. Ninasujudu mbele yako ewe Muumba wa mbingu na ardhi na vyote vilivyomo. Ewe mwenye mamlaka pekee ya kutoa na kutwaa uhai wa mwanadamu uliemuumba. Taifa letu limepitia maumivu makali yasiyoisha wala kusahaulika katika uso...
Wakazi wa Malamba Mawili kwa Ndodi, Mtaa wa Chande B, Dar es Salaam kuna jengo la ibada linaitwa King'azi B Kisima cha Sifa, bila kuwakosea heshima wahusika lakini kwa kweli limekuwa kero kwa Wananchi, kutokana na wahusika kupiga muziki kwa nguvu sana mpaka usiku wa manane.
Sauti kubwa sana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.