sare

Säre is a village in Antsla Parish, Võru County in southeastern Estonia.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tofauti ya majeshi yetu yana maoni gani juu ya utofauti wa sare

    Ni ipi sababu inayofanya sare za polisi na majesh mengine ya wizara ya mambo ya ndani hayavai sare zenye rangi ya mabaka kama sare za jeshi la jwtz, na wakati kiprotoko yote ni majeshi kama majeshi mengine, kwa wenzetu kenya majeshi yao yote yanavaa sare za kijeshi zenye mabaka mabaka tofauti ni...
  2. JamiiForums Tanzania Morocco watoka sare 1-1 na Congo

    Kundi F linazidi kunoga. Morocco watoka sare na DR Congo 1-1 na kufanya kundi F lizidi kuwa gumu. Goli la Morocco lilifungwa na Hakimi huku goli la kufutia machozi la Congo likifungwa na Katompa. DR Congo walikosa penati baada ya beki Inonga kupigwa kiwiko ndani ya box la Morocco. Msimamo wa...
  3. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sare za CHADEMA zagombewa mitaani. Magwanda ya Khaki yawa dili, yaanza kuadimika

    Baada ya Mwamko wa Wananchi wa kushiriki Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na Chadema kuwa juu , Sare za Chama hicho zageuka dili . Maduka yote yanayouza sare hizo yakipandisha bei mara dufu , huku Magwanda ya Khaki yanayotengenezwa Thailand yakiwa dili zaidi , huku taarifa zikionyesha...
  4. JamiiForums Tanzania Rais Samia atembelea maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko Katesh, Wilaya ya Hanang, Manyara na Kuzungumza na Wananchi, leo Disemba 7, 2023

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akitembelea maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko katika Mji wa Katesh Wilaya ya Hanang Mkoa wa Manyara na Kuzungumza na Wananchi Katika Uwanja wa Shule ya Msingi Katesh. https://www.youtube.com/watch?v=5Glwj_n88M8 Rais Samia...
  5. JamiiForums Tanzania Serikali iamuru Vyuo Vikuu vyote kuvaa sare maalumu

    Vyuo vikuu vinabeba vijana waliotoka famila za kitajiri, kimaskini na vijana wanaotoka kwenye famila za kawaida (sio maskini na sio matajiri). Ni asili ya mwanamke kupenda mambo mazuri, walioishi kota wanalijua hili. Sasa Binti katoka familia za mboga moja, na chuoni analupiwa na serikali au...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Ratiba ya mechi zijazo za Yanga na wapi atakuwa anacheza

    Naomba anaeweza kuweka ratiba aiweke huku akizingitia kuonyesha ni wapi mechi husika zitachezwa kwa maana ya home and away. Kama ilivyo kwa timu nyingine, bila shaka zimebaki mechi ambapo mbili ni za nyumbani na mbili za ugenini. Nyumbani ni dhidi ya Medeame na CRB na ugenini ni dhidi ya Ahly...
  7. JamiiForums Tanzania Mechi za CAF Kesho: Yanga ataifunga Al Ahly na Simba atatoa Sare dhidi ya Jwaneng Galaxy, Na Tp mazembe atamfunga Mamelod

    Habari Wakuu, Kuelekea Mechi za CAF CHAMPIONS LEAGUE kesho tarehe 2 December, Matokeo yatakuwa kama Yafuatavyo, Yanga vs Al Ahly (Yanga Atashinda) Jwaneng vs Simba (Itaisha kwa Draw) Tp mazembe vs Mamelod (Tp Mazembe Atashinda ) Mimosas vs Wydad (Wydad Atashinda) Nouadhibou vs pyramids...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Kuicheka Simba SC kutoka Sare na Kutoishangaa Wydad FC Bingwa Mtetezi kufungwa ni Uwendawazimu mkubwa

    Tafadhali naomba niwekewe hapa Jedwali la matokeo ya Mechi za Kwanza za Makundi ya Simba na Yanga ili nijue nani ni Mwanaume hasa na nani ni Mwanamke ( wa Kikeni ) hasa katika Mchezo wa Mpira wa Miguu.
  9. M

    JamiiForums Tanzania FT: Ahly 3-0 Medeama : CAF Champions League : November 25, 2023

    Mpira ni moto kuliko kawaida!! Al Ahly wanahaha lakini wamekamatwa vilivyo. Huko Medeama kuna vipaji mno! Golikipa ni mzuri mno! Kila upande umetengeneza nafasi a wazi lakini hawakuzituia vizuri!! Ni hakika haya ni mashindano ya mabingwa! Ukilegeza unaweza kupigwa nje ndani mechi zote...
  10. JamiiForums Tanzania Man City na Liverpool ngoma yaisha kwa sare ya 1-1, Guardiola na Nunes warushiana maneno

    ManchesterCity imeendelea kushika usukani wa Premier League kwa kufikisha pointi 29 licha ya kulazimishwa sare ya goli 1-1 katika mchezo dhidi ya Liverpool yenye alama 28 kwenye Uwanja wa Etihad, leo Novemba 25, 2023 Erling Haaland amecheka na nyavu upande wa City dakika ya 27 huku...
  11. JamiiForums Tanzania Vyuo vya kati vya afya (pharmacy) visivyokuwa na utaratibu wa kuvaa sare

    Habari za jioni wana JF,poleni na majukumu. Nahitaji msaada kwa anaefahamu chuo kinachotoa diploma ya famasia na wanafunzi wanaruhusiwa kuvaa mavazi ya kawaida na wala sio sare kama wavaavyo wanafunzi wa sekondari. Nahitaji kusoma diploma ya famasi lakini jambo la "sare" linakuwa gumu kutokana...
  12. JamiiForums Tanzania Mrungula umepenyezwa Tena kwa wachezaji na viongozi wa Simba?

    Baada ya kumtimua kocha wao wa viwango kutoka Brazil na kumrejesha kocha bab kubwa kutoka Simba b bwana matola hatimaye Leo mrungula umepenyezwa Tena kwa wachezaji na viongozi na kupelekea kushona SARE isiyo ya razima wakati harusi imeahirishwa? Hali iyo inapelekea tuhuma kuwa nzito na...
  13. JamiiForums Tanzania Tazama hapa video ya Ali Kiba akiwakebehi Simba SC baada ya kulazimishwa sare na Namungo

    Mapenzi ya kweli hayafichiki hata kidogo na pia ni ukweli usiopingika ambao hata yeye alikiri kilichomuondosha Yanga ni ujio wa Diamond Platnumz hivyo akaona wivu Diamond alivyokuwa akihusudiwa na kupewa kipaumbele kwa hiyo jamaa akaamua asepe tu ila kimoyo moyo anaumia. Sasa bhana hii ni short...
  14. JamiiForums Tanzania Simba kupata sare na Al-Ahly ni uimara wa Simba au udhaifu wa Al-Ahly?

    Simba imepata sare ya 2-2 na Al-Ahly kwa Mkapa na 1-1 Cairo kwenye AFL mwaka huu. Kwa muda mrefu Simba huwa inaishia Robo Fainali kwnye Mashindano ya CAF, na sasa wameishia hapohapo kwenye robo ya mashindano kwa kutolewa na Al-Ahly kwa kanuni ya bao la ugenini. Wadau wa Simba wanadai kuwa...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Simba hana namna lazima ashinde kesho au sare ya 3-3 ndio asonge mbele

    Simba kesho inabidi ashinde au vinginevyo atoe sare ya mabao 3-3 ndio aweze kufuzu kucheza nusu fainali. Hii ni kwa mujibu wa sheria ya goli la ugenini kuhesabiwa mawili pale magoli yanapokuwa sawa baada ya mechi mbili kumalizika. --- Kwa mujibu wa kanuni za mashindano ya African Football...
  16. JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mwanachama wa CHADEMA Nusrat Hanje avaa sare ya CCM

    Hivi ndivyo alivyofumwa mmojawao, jionee mwenyewe. Hawa wakiongozwa na Msaliti mkuu Halima Mdee wamefungua kesi Mahakamani kupinga kutimuliwa CHADEMA. Kesi inaendeshwa kwa spidi ya konokono ili wamalize ubunge wao haramu. Bali Kanuni ya Mungu ni ile ile, kila Ubaya Utalipwa.
  17. JamiiForums Tanzania Alhamisi 50% Simba SC atafungwa au 50% atatoka Sare na Prisons FC, kwani Wachezaji Waandamizi watamchomesha Kusudi ili afukuzwe

    Kwa niliyohakikishiwa GENTAMYCINE kwa wale Wenzangu ( wana Simba SC ) nawaombeni Mechi ya Alhamisi ya Simba SC dhidi ya Prisons FC msiende na Matokeo yenu na mjiandae mapema Kisaikolojia kwani kuna Miwili Kufungwa au kutoka Sare ila Kushinda tusahau labda tu Mpango huu Usitishwe rasmi Usiku huu...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Huenda Manyanya asingemcheze rafu mbaya Lomalisa game ingebaki SARE

    Kwa mtazamo wangu ile game ya Yanga na Namungo ilikuwa iishe bila kufungana, ninaamini hivyo kwasababu ukiangalia ile game utaona jinsi Namungo walivyokuwa tayari wamefanikiwa kuwazuia Yanga hadi walikuwa wameshaanza kupaniki na walikosa utulivu katika kushambulia. Ikawaje Yanga kupata goli...
  19. JamiiForums Tanzania Raia wa Marekani Wanapenda kuvaa nguo Zinazofanana na Sare za Jeshi, Pia wanaweka Bendera ya Taifa Nyumbani

    Naamini kati ya majeshi 6 bora duniani ambapo jeshi letu (JWTZ) ni la 6, naamini kwenye ma 5 yajuu jeshi la Marekani litakuwepo. Sasa kwanini raia wa Marekani wanavaa nguo zinazofanana na jeshi na hawachukuliwi hatua? Wanashindwaje kudhibiti hili jambo? Au wao hawapo kwenye orodha ya majeshi...
  20. JamiiForums Tanzania JWTZ: Tutaingia Mtaani kuzisaka Sare zetu kwa Wananchi

    Asiesikia la mkuu huvunjika guu, hakuna marefu yasio na ncha, safari 1 huanzisha nyingine, za mwizi 40, Simba mwenda Pole ndio hula..., Za kuambiwa changanya na Zako,msije mkasema hakukumbushwa Kula chuma hiko --- Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limesema siku saba zilizotolewa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…