Kwanini ofisi ya Air Tanzania tawi la Mwanza hawavai sare?

koryo1952

JF-Expert Member
Mar 7, 2023
386
765
Nilienda katika ofisi hiyo kutafuta huduma na kilichonishangaza ni kuona watumishi wa ofisi hiyo hawavai sare. Hapo zamani ukifika ofisi za Air Tanzania unakutana na watumishi wenye customer care na wamevaa sare za sketi blue na blouse za njano na beji kwa akina dada na wanaume wakiwa pia na sare zao ikionyesha kweli hii ni ofisi ya Air Tanzania.

Ofisi ya Air Tanzania hapa Mwanza haina tafauti na ofisi za kawaida ambapo hakuna utaratibu wa kuvaa sare. Igeni Mashirika mengine ya ndege kama Emirates, Kenya airways, Uganda airways.
 
Nilienda katika ofisi hiyo kutafuta huduma na kilichonishangaza ni kuona watumishi wa ofisi hiyo hawavai sare. Hapo zamani ukifika ofisi za air Tanzania unakutana na watumishi wenye customer care na wamevaa sare za sketi blue na blouse za njano na beji kwa akina dada na wanaume wakiwa pia na sare zao ikionyesha kweli hii ni ofisi ya Air Tanzania.

Ofisi ya Air Tanzania hapa Mwanza haina tafauti na ofisi za kawaida ambapo hakuna utaratibu wa kuvaa sare. Igeni Mashirika mengine ya ndege kama Emirates, Kenya airways , Uganda airways.
Pamejazwa manjagu hapo, wavae sare washindwe kufanya harakati vizuri?
 
Hivi Air Tanzania wana ofisi Mwanza kumbe? Nilifikiri ofisi yao ipo ATC House, Dar es Salaam pekee, kwingine kuna mawakala wao tu.
 
Nilienda katika ofisi hiyo kutafuta huduma na kilichonishangaza ni kuona watumishi wa ofisi hiyo hawavai sare. Hapo zamani ukifika ofisi za Air Tanzania unakutana na watumishi wenye customer care na wamevaa sare za sketi blue na blouse za njano na beji kwa akina dada na wanaume wakiwa pia na sare zao ikionyesha kweli hii ni ofisi ya Air Tanzania.

Ofisi ya Air Tanzania hapa Mwanza haina tafauti na ofisi za kawaida ambapo hakuna utaratibu wa kuvaa sare. Igeni Mashirika mengine ya ndege kama Emirates, Kenya airways , Uganda airways.
 
Hivi Hakuna Utaratibu Wa Kuhamisha Wafanyakazi Kutoka Mkoa Hadi Mwingine Hii Itasaidia Kuboresha Utendaji Maana Watajifunza Mambo Mazuri Kwenye Mikoa Inayofanya Vyema.
 
Ninamheshimu sana Eng. Matindi CEO wa Air Tanzania. Kwa kweli uboreshaji ufanyike kwenye ofisi ya Air Tanzania, Tawi la Mwanza. Customer care is very poor. Nilifanya booking nilipoenda kukata tiketi kuna Dada moja kaniambia tayari booking yako imeishafutwa. Nikamueleza soma tarehe ya kuisha booking yangu, Akasoma tarehe ya kuisha booking yangu ni tarehe 9.2.2024 na mimi nimeenda pale tarehe 8.2.2024. Baadaye akaniuliza nani alikufanyia booking, swali lilinonikera sana. Nikamueleza siyo jukumu langu mimi ni mteja wenu. Nikamshangaa sana. Is that lady trained?. Inavyoonekana Air Tanzania mna monopoly na ingekuwa mna ushindani msingepata wateja. Tunawaomba boresheni huduma zenu na muonekane kama kweli nembo ya nchi.
 
Sehemu nyingi duniani mashirika ya ndege yameshafunga hizi ofisi za booking. Huduma inakuwa kwa mtandao au simu au wakala (wakala wenye ofisi nao wako wachache sana).
 
Kwa mwanza ni kweli Atcl hakuna maajabu.
Lakini ukisogea mbele milango mitatu after wao ipo precision.
Last time nlipata dharura nkaenda air Tanzania, wasenzi tu hakukua na maajabu. Nkatoka kama naenda kupiga sim nkaingia precision. Kuna jamaa anaitwa Ally, to be honest alifight mpka nkapata ndege tena 4 people. Nlikaa like 4 hours anahangaikia io issue. Nkapata na menu wakaninunulia maana ilikua mchana. Na ndege zao hazing re scheduling kama air Tanzania ambako unaeza kama ndege ya asubuhi ukaondoka usiku wa manane. Hawajui kutofautisha ndege na daladala
 
Back
Top Bottom