comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,770
- 18,140
Nimenunua bia nyingi sana nimejifungia chumbani nataka nilewe mpaka nishindwe kusimama
kunywa maji ya baridi sanaNimenunua bia nyingi sana nimejifungia chumbani nataka nilewe mpaka nishindwe kusimama
ok.🐒Nimenunua bia nyingi sana nimejifungia chumbani nataka nilewe mpaka nishindwe kusimama
Lissu atadhaminiwa na kuachiwa huru hata kabla ya rufaa kusikizwa.
Amka ulale.