sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Tanzania si Kila kabila lifaa litoe viongozi wa juu, usaliti ni mwingi sana ongezeni upembuzi wa nani awe kiongozi wa juu

    Kuna wale ambao akishatenguliwa tu tayar anakuwa mpinzani...kabila lake halifai kuwa kiongozi. Kuna wale hawawezi kukaa na kitu moyoni yani hawana Siri...wakibainika kabila lake halifai kushika nyazifa za juu waishie kwenye uheadmaster. Kuna wale hawawezi kuwaheshimu viongozi waliojuu...
  2. JamiiForums Tanzania Lijue jimbo la Galatia lililokuwa maarufu sana zama za Biblia

    Galatia haikuwa mji mmoja, bali ilikuwa eneo (jimbo) katikati ya Asia Ndogo (leo ni Uturuki). Galatia ilipata umaarufu mkubwa katika Biblia kwa sababu Mtume Paulo aliandika waraka maarufu unaoitwa Waraka kwa Wagalatia. Historia ya Galatia Karibu mwaka 278 KK, makabila ya Wakelti (Celts)...
  3. JamiiForums Tanzania Inaumiza sana Gaidi na Mhaini Nchimbi yupo Uraiani na Hai hadi mda huu.

    Nashindwa kuwaelewa kabisa hivi vyombo vyetu vya ulinzi na Usalama viko wapi? Mtu anahamasisha watu wapiganie Katiba huu ni ugaidi na Uhaini wa wazi kabisa...Anataka kuiondoa serikali Tukufu iloyochaguliwa kwa Asilimia kubwa 98% Vyombo vya ulinzi vipo tu vinamuangalia huyu Mtu IGP, Mkuu wa...
  4. JamiiForums Tanzania Tuliwaonya sana hamkusikia

    HAYA sasa mmepata mlichotaka baada ya kukaidi kuonywa muda mrefu sana. Yuko wapi mtoto wa Heche? Yuko wapi mtoto wa Mnyika? Yuko wapi mtoto wa Lema? Yuko wapi mtoto wa Msigwa? Yuko wapi mtoto wa Maria japo hazai? Wako wapi ndugu za Heche, Mnyika,Lema, Chiba na viongozi wengine? Yuko wapi...
  5. JamiiForums Tanzania Karibu Tanzania nchi yenye mizaha sana

    Ukianzia Elimu Kilimo Afya Sekta ya usafirishaji Katiba na sheria Elimu mtoto analipiwa na bodi ya mikopo 1M ila hela ya kujisajili 50k Inamfanya asifanye mtihani Mtaala mpya wa Elimu sekondari vyuoni mtaala wa zamani Kilimo Kilimo kwanza, ikafa , Build Better Tomorro ikafa Afya Bima kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Kama ilivyokuwa Kwa Mabenki, Voda Yapata faida Mara 5

    My Take Wanaiba sana bando Hawa ============ Kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania imeanza mwaka mpya wa fedha kwa neema kwa kuripoti faida baada ya kodi ya Sh47.3 bilioni katika robo mwaka iliyoishia Juni 2026, ikiwa ni zaidi ya mara tano ya kiwango kilichoripotiwa mwaka jana. Faida hiyo...
  7. A

    JamiiForums Tanzania Tunaweza kuwa tunazilaumu Kamati za Usajili bure kumbe Wachezaji 'Top Class' Afrika hii ni Adimu sana au Wameisha

    Timu za Tanzania zinaongoza kwa kuzoazoa wachezaji mseto kutoka Drc, Senegal, Nigeria, Mali nk...tukifuatiwa na Al Hilal ondurmana ya Sudan.na kule Libya. Nilichokuja kugundua Wachezaji wengi wanaocheza mpira ndani ya Africa hii, wana mfanano mkubwa sana wa kisoka... Ni nadra sana kupata...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Nisamehe sana John Pombe Magufuli mwema wa Africa

    Baada ya kifo Cha John wa chato niliandika Uzi hapa unasoma nashindwa kumsamehe John, nikijita kuelezea namna Lissu alivyoshambuliwa bila serikali yake kuchukua hatua lakini Leo nakiri anisamehe hayati John Kwenye pita pita zangu Kuna vitu vingi nimekuja kuvigundua jinsi viongozi wa serikali...
  9. E

    JamiiForums Tanzania Mhadhiri UDOM aliyepewa dhamana na Mahakama, sasa apewa shitaka la ugaidi, ahamishiwa Gereza la Isanga

    Dk Melikisedeki Kaijage, Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) aliyekuwa akishikiliwa na Jeshi la polisi mkoani Dodoma kwa madai ya kuhamasisha maandamano ya Julai 7, 2026, sasa amebadilishiwa shitaka na kuwa la ugaidi na hivyo kunyimwa dhamana. Awali, Jumanne Julai 21, Dk Kaijage alipewa...
  10. JamiiForums Tanzania Tafuteni Mchanganyiko wa hizi mimea ni Mjarabu sana kwenye matibabu ya CHANGAMOTO ZA UZEE kama usingizi,kusahau,maumivu viungo n.k

    Uzee ni kitu hakikwepeki. Lakini tafiti za kibotani(elimu ya mimea) zimefatilia jamii zinazotumia mimea ifuatayo na kukuta wazee wa jamii hiyo wakiwa na uwezo mkubwa wa kufurahia uzee wao ,kwa Tanzania mimea hii hupatikana Kilimanajro na ukanda wa pwani. 1. Matatizo ya aina yoyote ya kuumwa...
  11. JamiiForums Tanzania Watanzania wenzangu hii picha imebeba ujumbe mzito sana

    Ujumbe huu ni mzito sana. 👇
  12. L

    JamiiForums Tanzania Marekani Yaitetemesha Dunia Nzima. Yataka Mahakama Ya ICC Ifutwe Haraka Sana . Watu Walipuka Kwa Shangwe na Nderemo kuiunga Mkono Marekani.

    Ndugu zangu Watanzania, Dunia Yatikisika ,Dunia Yatetemeka ,Dunia yaripuka kwa shangwe ,nderemo na vifijo baada ya kishindo kikuu kilichosikika Duniani kote baada ya Marekani kuikosoa vikali sana na kutaka Mahakama ya ICC kufutwa haraka sana . Marekani imepaza Sauti yake iliyoitetemesha Dunia...
  13. JamiiForums Tanzania Tutunze afya zetu

    Wakuu, Nipo hapa kuwasisitiza na kuwakumbusha tutunze afya zetu. Binadamu jinsi tulivyo ukiichezea afya yako vibaya kuna wakati unafika unaanza kuoza. Yaan mtu akikutazama hivi anakuona kwa nje ni mzima kabisa ila ndani wewe tayari umeshaanza kuoza unaoza kaka unaoza dada unaoza kijana unaoza...
  14. JamiiForums Tanzania Tunapigwa sana na Wachina 🥲

    Mpanda,Katavi kuna dhahabu za kutosha na pesa ipo but wamejaa wachina kote huko hata kupata vibali vya kuchimba kama Mzawa ni ngumu.. Wamejenga na Airport yao kabisa,wanasafirisha tani za kutosha za Gold.. SAMIA WHAT IS THIS Britanicca
  15. JamiiForums Tanzania Wadada wazuri ni wengi ila wakaka wazuri tupo wachache sana

    Ni rahisi sana kukutana na wadada wazuri hata 20 kwenye trip moja ya daladala ila wakaka ma handsome tuko wachache sana kwa kweli. hii inamaanisha sisi ni badhaa adimu ndio maana wadada wanatugombea sana na wakitupata wanakua na wasiwasi mwingi mana wanajua wataibiwa. Wanaume wengi ni average...
  16. JamiiForums Tanzania Nafurahia sana kula vyakula vilivyo chemshwa!!

    Kwa nini watu wengi wanaamini vyakula vilivyo tiwa viungo vingi na nakshi mbalimbali ndio vyakula vitamu hadi kufikia kumsifu mpishi kuwa anajua kupika??Je viungo ni vya lazima sana kwenye mapishi?mbona Mimi naona viungo vinapoteza ladha halisi ya chakula husika??na hapa ndipo ninapoona anaepika...
  17. JamiiForums Tanzania Wanaume huu msemo wa kumwambia mwanamke "sitakuumiza kamwe" tunafeli sana

    Wanaume wengi wanadhani kumwambia mwanamke "Sitakuja kukuumiza" ni ishara ya upendo, ukomavu, na kumfanya ajisikie salama (safe and secure). Ukweli mchungu ni kwamba neno hili ndilo linalokuja kuwa kiboko cha kukuchapia wewe mwenyewe baadaye. Kisaikolojia, kauli hii inaleta madhara makubwa...
  18. JamiiForums Tanzania SHEMEJI: 'Mbona umefadhaika sana?' KIJANA: 'dah, shem, nimepigwa bandiko, acha tu'

    SHEMEJI: bandiko ni kitu gani na inatoka wapi? KIJANA: Si unajua shemu mimi JF ndio napotezea mawazo, sasa nimepigwa ban, siwezi ingia SHEMEJI: ndio maana asubuhi hadi jioni upo na simu tu tena nakuonagaa una type kwa hasira kabisa, ila mbona kazi nakuunganishiaga ufanye kazi eti unasema...
  19. JamiiForums Tanzania Asante sana Azam tv

    Pongezi nyingi sana kwenu kwa kuonesha mechi zote 104 za kombe la dunia,wapo waliokejeli kuwa hamna huo uwezo,leo mmewazina midomo.
  20. JamiiForums Tanzania Dunia inazidi kuwabadilisha waislamu mambo mengi sana sasa washagundua mbwa sio haramu kwao kama mfugo

    Ilikuwa ngumu muislamu kusema afuge mbwa na kuweka mazoea naye. Ila kwa dunia ya sasa ukiangalia waislamu wameanza kugundua mbwa anaweza kuwa mlinzi wako na familia yako.Lile tukio lilotokea Venezuela la mbwa kumrinda mtoto we hapo unaweza kusema nini.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…