sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Natafuta Marafiki wa kubadilishana nao mawazo

    Hello watanzania, Nimetokea Facebook, Insta na Tiktok nimekuja Jamiiforums kujifunza mambo mbalimbali na kutengeneza marafiki pia, Nahitaji marafiki makini, wenye akili timamu, wacheshi, wakarimu, wenye uelewa wa mambo ya duniani, wenye fikra pevu, jinsia yoyote, Mimi ni Mwanamke, elimu darasa...
  2. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu hakuna ushahidi wa kina kwamba mtu ukifa kwa jihadi unaenda mbinguni tuwe waangalifu sana tutafute maarifa

    Ndugu zangu hakuna ushahidi wa kina kwamba mtu ukifa kwa jihadi unaenda mbinguni tuwe waangalifu sana tutafute maarifa. Hivi sasa kuna elimu ya kujitoa muhanga elimu hii ipo kwenye dini maarufu kama ukristo na waislam, kuna watu wamejiuwa au kujilipua kwa mafundisho ya kwenda mbinguni baada ya...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kuwafikia Wakenya itachukua Miaka mingi sana

    Kenya mwanablog mmoja KAULIWA nchi haikaliki ni maandamano kila kukicha, mkuu wa kituo yupo mahabusu, mkuu wa polisi langat kajiuzulu bado leo ni maandamano Makubwa nairobi haikaliki! Sisi kwetu mudude kapotea na watu wengine hawaonekani lakini hakuna kiongozi aliyewajibika hata mmoja na maisha...
  4. JamiiForums Tanzania Watu smart wamwangalie sana Kafulila. Anamvuruga vuruga Mama kwa namba halafu akija huku anacheka sana

    Mama hajui kitu, kakuta wananja ambao wanamtumia vizuri kutokana na kutojua kitu kwake. Kafulila kampa tu namba uchumi unakua hajaweza mfafanulia mlinganyo wake kimahesabu na uwezekezaji na Ulaya na Marekani. Na yeye akabeba hivyo hivyo kuanza pita na kauli mbiu mitaani. Hakuweza changanya na...
  5. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ni nani? Mambo 7 yanayomtambulisha mwanasiasa huyu wa Tanzania mwenye misimamo mikali

    Tundu Lissu ni nani? Mambo 7 yanayomtambulisha mwanasiasa huyu wa Tanzania mwenye misimamo mikali Katika historia ya siasa za Tanzania, ni vigumu kutaja majina ya wanasiasa walioteka hisia za watu kwa hoja, ujasiri na misimamo katika miongo miwili iliyopita bila kumtaja Tundu Antiphas Lissu...
  6. JamiiForums Tanzania Hivi hii tabia ya Babu na Bibi kuwa "wapole sana" kwa Wajukuu zao kuliko walivyokuwa kwangu Mtoto wako ni nini?

    Yaaani hawa Wazee wangu wakiwa kwangu au tukienda kuwatembelea, hawataki kabisaaa niwaguse Wajukuu zao hata kwa kakofi kadogo. Na pia hawapendi niwagombeze Wajukuu Sielewi aiseee hii Softness wameitoa wapi maana walivyonilea miye ilikuwa ni mchakamchaka mno na hata sasa na Utu Uzima huu kuna...
  7. JamiiForums Tanzania Huko simba bundi ametua hali ngumu sana chombo kinakwenda shimoni, mwekezaji asusa

    I salute you kinsmen. Huko simba hali mbaya wakuu msionr hivi . Bundi ametua msimbazi! Kwa sasa tajiri amesusa na hataki kutoa lolote lile, chanzo ni hasa viongozi waliokwenda dodoma na kukubali kucheza derby ambayo wanahofia wazi watagongwa na mavi yanagonga chupi.. Kulikuwa na mparanganyiko...
  8. W

    JamiiForums Tanzania Msafara wa ndege za kivita za Marekani waelekea Mashariki ya kati baada ya Trump kutoa agizo la dharura raia wa Iran kuondoka Tehran, foleni imeshona

    Baada ya agizo la Dharura, Foleni ya kuondoka Tehran imekuwa ni kubwa sana, Trump kalazimika kukatisha mkutano unaoendelea nchini Canada wa G7 na kurudi haraka Marekani, Amewaagiza wajumbe wa Baraza la Usalama wa Taifa (NSC) wawe tayari kwenye chumba cha dharura (Situation Room)...
  9. JamiiForums Tanzania Upeo na ujasiri wa wanasheria wa serikali upo chini sana. Tatizo ni nini hasa?

    Awe bungeni (mwanasheria mkuu) au mahakamani (mawakili wa serikali), kote huko wanasheria wa serikali wameonekana kuwa na upeo wa chini huku wakikosa ujasiri. Case study. Jopo la mawakili wa serikali katika kesi uhaini ya Lissu, siku ya leo (16/6/2025) mahakamani walikuwa wazito na wenye woga...
  10. JamiiForums Tanzania Usichukulie poa fitna za watu, zinachafua sana

    Mimi hua na advocate mambo kadhaa kuhusu maiaha ya mwanaume, ikiwemo mwanaume kuwa mzuri sio tatizo, and it is religiously accepted, mwanaume kunukia hakuna shida, mwanaume kukumbatiwa na mke wako wakati wa kulala sio shida, kufanyiwa masaji na mambo kibao. Mwanzoni nilipata mtu wa kuniunga...
  11. JamiiForums Tanzania Wakuu mbona hali ni tait sana. Ebu tupeane updates za mwelekeo wa maisha na mitikasi huko uliko

    Aiseee..mbona mtihani hivi
  12. P

    JamiiForums Tanzania Viongozi wetu ni wapambanaji sana

    Kwa muda wa miaka kadhaa nimekuwa nikitaka kujua viongozi wetu wako vizuri katika nyanja zipi? Nilichogundua ni kuwa wapo vizuri kwenye mambo yafuatayo: 1. Kupambania ushindi kwenye chaguzi: hapa aisee mtu ukiwa kikwazo kwa ushindi wao kwa namna yoyote ile, hawa jamaa wapo tayari hata...
  13. JamiiForums Tanzania Namuonea huruma sana Tundu Lissu kwa kutetea wajinga na masikini

    Aisee kitu ambacho Lissu anashindwa kuelewa Tanzania ni sehemu ya wajinga na masikini waliokubali kuishi maisha ya kifukara Sasa jiulize anaowatetea sasa miezi miwili imepita Lissu yupo ndani kazi yao ni kutoa laana mtandaoni yaani kwamba kila mtu anachimba mkwara nyuma ya keyboard kwamba...
  14. JamiiForums Tanzania Licha ya demokrasia kusitawi sana Tanazania, Je, kinachoonekana kwenye siasa za upinzani ni CHADEMA kujitenga yenyewe au imetengwa na upinzani?

    Na je, Chadema inafanya siasa kweli? Sote ni mashahidi, uhuru, haki na usawa kwa vyama vya siasa nchini vimeimarika sana. Vyama vya siasa hususani upinzani nchini vimepata pumzi na nguvu mpya ya kufanya siasa na mikutano ya hadhara katika mazingira bora zaidi kulingana na uwezo na mipango yao...
  15. JamiiForums Tanzania Maisha ya Waafrika hayana thamani kwa Waafrika wenzao? Nigeria watu wamechinjwa kama kuku na magaidi ila kimya tu!

    Wakati dunia nzima imejikita katika vita vya Iran na Israel huko Nigeria kwa mashemeji zetu katika jimbo la Benue watu zaidi ya 200 wamechinjwa kama kuku na magaidi wiki hii ila hizo habari hazipewi uzito wowote hata na Waafrika wenyewe! Mzungu wa huko Vatican Roma ndiye amezipa umuhimu na...
  16. JamiiForums Tanzania Iran inajitahidi sana kwa kweli. Ona hizi picha

    Iran haijaanzisha hii vita. Iran inachofanya ni kujilinda. Huo ndo ukweli wa mambo, licha ya upande ambao mtu upo au upande unaoushabikia. Hivyo, kwenye huu mzozo, Iran hana kosa lolote. Na pamoja na kuzidiwa kwa karibu kila namna, Iran inajitahidi sana kwa kweli. Hakuna anayemsaidia Iran...
  17. JamiiForums Tanzania Kwanini ni rahisi sana kwa Israeli kuwauwa viongozi wowote hadi wale waandamazi wa Iran?

    Kwanza, Kama Israel haitaundoa utawala wa Ma- Ayatollah Iran hii vita yao waliyoianzisha itakuwa haina maana yoyote na kama Iran haitawaua viongozi waandamazi angalau 10 wa Israel itakuwa imetepeta na haijafanya lolote la maana katika kuvurumisha mamia ya makombora yake, zitabaki kuwa mbwembwe...
  18. JamiiForums Tanzania Brutal fruit Ina mzuka gani mbona wadada wanaishobokea sana hasa hapa dodoma

    Ni kinywaji kutoka south 🌍 basi ndoo imekuwa hbr ya mjini hapa jiji dodoma kwani bila kumunulia mwanamke hicho kinywaji unaweza kukuacha na kutafuta danga jipya mwenye uwezo thabiti na madhubuti. Bei yake iko 4500 hadi 4000 kwa liquar store Jana nililazimishwa kununua 7 ndio ikawa pona...
  19. JamiiForums Tanzania Kuna umuhimu Mkubwa wa kuwa na ndoto kubwa sana

    Ni nani Leo angejua mtoto wa kimasikini kutoka Tandale angefanya Show Uingereza London na ticket kuwa sold out In this life everything is possible keep chasing ur dreams and don't give up.
  20. S

    JamiiForums Tanzania Tulia na CCM kama mna busara na hamjajisahau sana mnapaswa kujiuliza kwa nini Watanzania wanafurahia uamuzi wa Mahakama juu ya kuwashitaki viongozi

    Hivi juzi Mahakama ilitoa uamuzi kuhusi sheria iliyopitishwa na Bunge kuweka kinga kwa baadhi ya viongozi kushitakiwa kutokana na mambo wanayotenda wakiwa viongozi wa Taifa. Uamuzi huu wa Mahakama umewafanya Watanzania wengi kushangilia sana. Sasa jambo la kushangaza ni pale Spika wa Bunge...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…