sana

The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا)‎, al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.

View More On Wikipedia.org
  1. DR HAYA LAND

    JamiiForums Tanzania Kwa hizi meseji wazazi wa sasa kazi mnayo tena kubwa sana!

    Leo katika pita pita zangu , nilienda msalimia Dada mmoja age 38 ana mtoto wake wa kike umri 14 yupo secondary. Huyu Dada ana shida ya macho kwahiyo maandishi ya kwenye simu hawezi kuyasoma hivyo huwa anamtumia mtoto wake kumuangalizia mambo mawili matatu. Sasa iliingia Meseji akanipa nimsomee...
  2. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Matofali yanayofyatuliwa huku mitaani yana ubora mdogo sana

    Katika mambo ambayo yanashangaza sana ni uwepo wa matofali yenye ubora mdogo sana huku mtaani ni aibu kubwa sana kwa nchi mamlaka ziko wapi Mimi nilisoma umbwe miaka flani hivi ile shule imeanza mwaka 1948 ila huwezi amini wakati nasoma ule ukuta wake huwezi gongelea msumari kirahis ilikuwa kwa...
  3. John Sin

    JamiiForums Tanzania Kuna watu Tanzania wamesoma sana lakini wana low IQ

    Kuna dini hapa nyumbani Tanzania ni wamesoma sana wapo wengi katika Kila sehemu nyeti ya nchi hii, sekta zote Kila Mahalia wao wapo zaidi ya 75% lakini wana IQ ndogo mno. Wao ndo chanzo cha kila baya, very selfish, backstabbing professionals, wezi, wanajiona wao ndo Kila KITU. Hili kundi siku...
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini Vilabu vingi vya Tanzania vinapenda sana Kuchukua Makocha wa kujirudia rudia hasa walipoita Yanga na Simba?

    Sasa nyie Majirani zangu KMC FC huyo Kocha mnayemtambulisha leo hii Marcio Maximo ana jipya gani hasa la Kimpira?
  5. N

    JamiiForums Tanzania KERO Mfumo wa Ajira Portal upo kama Roboti, hauwezi ku-synchronize sifa katika qualifications za elimu

    Ajira portal na serikali yetu mfumo wa ajira ni mgumu sana kuutumia, yaani upo kama roboti hakuna integration na una kinda of conservative mind imagine. Kwa mfano 1. Mtu amesoma kuanzia Form 1 hadi 6 masomo ya biashara let say form 1 hadi 4 (business studies) then 5 na 6 (ECA) yaan Economics...
  6. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Mwl. Nyerere bado upo na utaishi sana

    Habari ! Mwalimu Nyerere hakika wewe bado ni Kiongozi wa mfano na utaendelea kuwa mfano bora vizazi kwa vizazi. Binafsi nitakukumbuka mara ya mwisho kukuona katika maonesho ya Sabasaba Dar es Salaam mnamo mwaka 1999 kabla ya umauti wako Babu Nyerere. Ulikuwa mtu poa sana na uliijulia sana hii...
  7. Farolito

    JamiiForums Tanzania Waumini wa Kilutheri naombeni mnisaidie kujibu maswali haya muhimu sana

    Shalom wakuu, Naomba kama kuna Mchungaji wa Kanisa la Kilutheri humu(KKKT) au muumini mbobezi anisaidie kunijibu maswali haya; 1.Kwenye Kitabu cha Tumwabudu Mungu wetu ukurasa wa 489 kuna Imani ya Athanasio Mtakatifu(Quicunque vult) Je huyu Mtakatifu Athanasio ni nani na kwanini imani hii...
  8. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania Je, uteuzi wa Balozi wa Ghana mwenye asili ya Kiasia unaonesha kuwa Waafrika ni wabaguzi zaidi kuliko hata walowezi?

    UTANGULIZI: Wiki hii, uteuzi wa Balozi mpya wa Ghana nchini Korea Kusini umezua mjadala mkubwa mitandaoni, si kwa sababu ya sifa zake au sera zake, bali kwa sababu ya sura yake. Balozi huyu ni Mghana mwenye asili ya Kiasia – jambo ambalo kwa baadhi ya watu limechukuliwa kama "kashfa" kwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Somo zuri sana la "Nitambariki atakayekubariki"

    Bila kuweka maneno mengi, hapa chini kuna somo zuri sana kwa wale wanaotaka kulielewa lile andiko la nitambariki atakayekubariki na kumlaani atakayekulaani. Madini mazito yanatolewa humu, chukua kalamu na karatasi kabisa kwa ajili ya kuchukua notes...
  10. Black nyeti

    JamiiForums Tanzania Wapenzi na watumiaji wa VPN tukutane hapa wale wa free internet kuna VPN zinanguvu sana na ndo zinanifanya muda wote sikauki online

    Wale ambao kununua bando kwao ni kipengele kuna VPN ambazo unaweza kuzitumia kama mbadala wa kununua bando. Kwa wale ambao tuliwahi kutumia VPN kama 1. ursa net vpn 2. biddinet vpn 3. ommanova vpn 4. geo tunnel vpn Sina shaka nafikiri munaelewa. sasa kuna VPN zingine mbali na hizo...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Ajali iliyoua watoto 5 huko Mbeya imenisikitisha sana; Lakini hebu tujadili mambo haya machache kiufundi kwa usalama wetu

    Kuna taarifa ya watoto waliokuwa wanafanya mazoezi ya kukimbia huko mbeya kugongwa na bus na kupelekea vifo; Sipo hapa kulaumu mtu yoyote bali naomba tuelimishane mambo machache tu ambayo mimi kama fundi samico naweza kuwapa kama fundi. Kwanza kabisa swali la kujiuliza kila mmoja, wale watoto...
  12. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu naombeni sana mwenye Aya kamili ndani ya Quran ambapo Mungu amebainisha wazi wazi kuwa Mohamed ni Nabii wake wa mwisho

    Weka Aya usije na ubishi
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kwenye viota cya starehe kuna vitoto vingi sana under 18 vinajiuza

    Tatizo litakuwa nini? Umasikini, ukosefu wa maadili au fasheni? Coz unajiuliza huyu mtoto wa miaka 16 ambae saa Tisa usiku yupo club ana jiuza ni kwamba wazazi wake wanakuwa hawajui mtoto wao Yupo wapi muda huo?
  14. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Akina dada, vita vya nje ni vikali sana kuliko vita vya ndani ya ndoa

    1.Oooh Mimi siezi eka kikojoleo Cha mume wangu kwa mdomo,,my furendi nje huko wanamumunya hicho kikojoleo mpaka mumeo asikia ganzi kwa uume,,yaaani roho bariidiii kama Ambae ameekwa donge la barafu,,mpaka aguna peke yake,,akifika kwako akuona kama Jini vile juu alofanyiwa huko ameridhika hata...
  15. Hharyson

    JamiiForums Tanzania 45M MPAKA ROOFING 4BEDROOMS DESIGN NZURI NA KALI SANA FIT 20X20M PLOT CALL US +255624004650 KUPATA DESIGN NZURI NA UJENZI WA KIWANGO

    DESIGN YA VYUMBA 4 , 1. LOUNGE 2.DINNING & KITCHEN 3.2BEDROOMS SELF 4.1BEDROOM SINGLE NEAR PUBLIC BATHROOM 5.MASTER BEDROOM WITH CLOSET AND SPECIOUS BATHROOM 6.BARAZA 2, COST MPAKA KUPAUA NA VERSATILE 45M TUNAPATIKANA SINZA PALESTINA CALL/WHATSAP +255624004650
  16. Yoda

    JamiiForums Tanzania Tanzania ina waandishi wa habari wazuri sana, vyeti sio tatizo

    Nimeona baadhi ya watu wakishangalia baada ya tetesi kwamba waandishi wa habari kadhaa wamepukutishwa kutoka vyombo kadhaa vya habari kwa madai ya kukosa vyeti vya taaluma, washangiliaji wanaowana waandishi wa habari wengi wa bongo kama machawa zaidi na watu wasio na weledi, hili jambo ni ujinga...
  17. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Ila pastor Nganga ni kama anaenjoy sana kuwachapa vibao washarika wake

    https://www.youtube.com/shorts/bod30mkvHJQ?feature=share
  18. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Ndugu zetu wakenya mmetisha sana, Nganya imekaa poa

    https://www.tiktok.com/@ma3nisisi/video/7526154389866745144
  19. Castle_Lite

    JamiiForums Tanzania Kuishi Mbali na Mwenza kuna Changamoto sana

    Kuishi Mbali na Mwenza wako ni tabu tupu.. Awe ni mke/mume , mchumba au mpenz . Kama kweli kuna upendo baina yenu basi jua kuna wivu. Maana kuna muda ratiba ya mwenza inaweza kwenda tofauti na ukawaza mambo mengine Kabisa. Wivu na hasira. Kwa Wote ambao Wenzi wetu wako mbali. Eeeh Mungu...
  20. B-2 STEALTH BOMBER

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kuna mtu huu mwaka utamwishia vibaya sana

    Wakuu mpo wazima hapa. Leo nimewaza tu. 1. Kuna mtu ana jikuta yeye ni NYERERE wa sasa hivi hapa jamhuri ya muungano wa Tanzania 2. Kuna mtu hataki kustaafu. Analazimisha mambo kwa utashi wake na manufaa yake na familia yake. 3. Kuna mtu ameonesha udalali wake wazi wazi. Kashindwa ndani ya...
Back
Top Bottom