Viongozi wetu ni wapambanaji sana

Viongozi wetu ni wapambanaji sana

Pantosha

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
869
Reaction score
1,282
Kwa muda wa miaka kadhaa nimekuwa nikitaka kujua viongozi wetu wako vizuri katika nyanja zipi?

Nilichogundua ni kuwa wapo vizuri kwenye mambo yafuatayo:

1. Kupambania ushindi kwenye chaguzi: hapa aisee mtu ukiwa kikwazo kwa ushindi wao kwa namna yoyote ile, hawa jamaa wapo tayari hata kukung’oa meno, kukuminya korodani, kukutoboa macho, kuiba kura, kuroga, kutoa uhai. Ushindi kwao ni lazima hata ikibidi kuua.

2. Uchawa: kwenye sekta ya uchawa hawa jamaa ni hatari. Mtu anaweza kukusifia hadi unajiuliza hivi ananyesifiwa hapa na mimi kweli?

3. Kufichiana maovu: viongozi wetu wote ni waaminifu mnoo.

Hongera zao Kwa kweli
 
Back
Top Bottom