The Syrian Arab News Agency (SANA) (Arabic: الوكالة العربية السورية للأنباء (سانا), al-Wakālah al-ʿArabīyah as-Sūrīyah lil-ʾAnbāʾ (SĀNĀ)) is a Syrian state-controlled news agency. It is a Syrian state media organization linked to the Ministry of Information. It was established in June 1965.
Sasa sijui ni dharau au nini yaani mtu unamwambia muachane anakwambia sawa, anakukaushia na hata hasononeki wala kukuomba msiachane.
Ndiyo kwanza yuko bize anapost tu mastutus kila siku, ina maana watu wamekuwa sugu hawaumizwi tena na mapenzi? au wanakuwa kwenye mahusiano na wapenzi wengi...
Wafugaji wa kuku
Chukua tunda moja au mawili, kata vipande vipande loweka kwenye maji ya kunywa ya kuku wako.
✅Ni kinga nzuri sana kwa maradhi ya kuku
Mdharau asili hufa masikini
Kuna TAPELI huwa anakuja kwa sura ya kutoa msaada au huduma mwisho wa siku ni maumivu na kurudi nyuma
Kuna WAZAZI mara nyingi wazazi wa ki Africa wanataka watoto waishi kwenye mawazo Yao na kusahau kua alie zaliwa ana mawazo yake na falsafa yake
MARAFIKI the way ulivyo mzoesha rafiki ndivyo...
Benki kuu imezindua mfumo intergrated core banking system,huu ni mfumo wa kibenki ambao kwa miaka 24 iliyopita tulikuwa tunatumia mfumo kutoka nje ambao tulikuwa tunalipa kwa kuutumia,kwa sasa hatulipi kitu na mfumo umejengwa na watanzania na tumesevu bilioni 90 kwa mwaka.
Leo tunazindua...
NIMEONA JANA
KUNA MAENEOO YA BANANA WAJUMBE KADHAA WANAPONGEZANA MGOMBEA WAO JINA LIMERUDI
NAOMBA NIWAHAKIKISHIE YAANA ILE ILIOTOKEA N TRELA
PICHA HALISI YA WAJUMBE SUBIRI NI KK
YAAN PALE.MTAJUA HAMJUI
USHAURIII
HONGA TOA RUSHWA KWA KILE AMBACHO HAKITAKUUMIZA WAJUMBE WAKIKUTENGENEZA KAMA...
Mwenye anajua jinsi ya kumsaidia kupunguza maumivu au kuondoa kabisa maumivu ya tumbo kwa mwanamke kipindi Cha period
Pisi yangu ikiwa period inateseka almost siku nzima anaumwa tumbo atari
Msaaada🙏🙏🙏
Ile kauli kuwa "Kuna li-MTU ambaye tuliamumini anapeleka mambo yetu nje"
It was a sign that ur game is over in SISIEMU politics .
Sasa kwa age yako
Wasifu wako
Maisha kijumla.
Then unaenda kumuomba mkate MTU ambaye ameshakuonesha waziwazi hakutaki .
Sielewi sisi wabantu tuna shida gani...
Nimeishi miaka flan pwani na waswahili , kuna tabia ambazo nilikuwa naona za ajabu sana toka kwao lakini wao hawakuwahi kuona shida . Mfano unamkuta baba wa familia kaamka asubuhi kavaa msuli kaja kwako kupiga stori chai itapikwa hapo mtakunywa wote na mwingine anakuja na watoto wake kabisa ...
Unakakuta ka Lucas mwashamba Lucas Mwashambwa , Tlaatlaah na ChoiceVariable vinatoa mapovu na mishipa kuvisimama vimekondeana humu kusifu na kuabudu. Ila vinaonekana havina uwezo wa kuongoza wanaoweza ni hawa. Ambao huwezi wakuta wakicheza ngoma na kukata viuno kama walalahoi.
Familia ya Rais...
Waziri Mkuu wa Uingereza, Keir Starmer, ametangaza kuwa ifikapo Septemba mwaka huu, Uingereza itaitambua rasmi Palestina kama taifa huru endapo Serikali ya Israel haitachukua hatua madhubuti kukomesha vita na janga la kibinadamu katika Ukanda wa Gaza. Taarifa hiyo imetolewa Julai 29, 2025...
Wakuu,
Huyu Mzee wetu Makamba ni mnafiki sana alitubuana na Jiwe Kwa mambo yake ya Kuuma na Kupuliza
Leo nimeona list ya watoto wa Viongozi wengi sana wakiwa wamependekezwa ili kwenda kupigiwa Kura na Wajumbe
Kitu Kimenifurahisha Mtoto wa Mzee Makamba January Makamba wamemkata!!!
Huyu Mzee...
Pengine baada ya mkeka huu wa leo, utafungua mengi sana tuliyokuwa hatuyajui katika ulingo wa siasa za chama kikongwe,
Tuwe na staha katika kuwasema waliokatwa, kwenye siasa chochote kinaweza kubadilika kwa muda wowote! na wakati usiotarajiwa!
Tuwape muda...pengine ukarasa mpya wa mabadiliko...
Dar ni kawaida sana watu kurogana kwa matakwa mbalimbali either
☆kuroga ili wapate kazi fulani
☆Kumroga mume wa mtu awe wake ili amuhudumie
☆Kumroga rafiki afukuzwe kazi ili yeye apate hio kazi.
☆ Kumroga boss ili akupende wewe upate cheo.
☆ Kumroga mshangazi akupende ili ufaidike.
☆ Kumroga...
Ikumbukwe kwamba jamaa alivyomtukama mwadhama Pengo eti anavaa pampasi Pengo alikaa kimya akamwachia Mungu apambane naye. Sasa laana imeanza kushika kasi. Huwezi kutukana mpakwa mafuta wa bwana halafu ubaki salama.
Ikumbukwe yeye uaskofu wake haujulikani umetoka wapi na umetokana na nini...
Habari wanajamvi, najua mmekesha na kusubiri mkeka wa wagombea. Ila naomba kuwapa swali kidogo: nikiwa najisaidia haja ndogo halafu nikijishika korodani, tumbo linaanza kuniuma sana. Tatizo nini?
Natumaini tuko poa wabongo tuache roho mbaya nipo godown la mbaazi kama karani kwa wachina
Unakuta mchina analipa kila gari kushusha mzigo 150k mbongo mwenzako kisa yeye salange anawalipa wenzake kila gari 50k inaumiza sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.